Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Na Rachel Balama RAIS Jakaya Kikwete, jana ameanza ziara ya kidola siku nne nchini Afrika Kusini ambayo ni ya kwanza kufanywa na Rais wa Tanzania nchini humo.Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dr. Benson Bana, analysis yako ya jana TBC1 ina mapungufu. Sikubaliani na wewe kulipa credit Bunge letu for just a single incidence ya Wizara ya Nishati na Madini with regard to budget. Bunge letu...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF... Haya ni mawazo yangu binafsi source ni nionavyo mimi.... Ni juzi tu jumatatu tarehe 19/07/011 ambapo Waziri mkuu mh. Mizengo K. Pinda aliliomba bunge kuahilishwa kwa mjadala wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifatilia bunge kwa muda mrefu sasa lakini nasikitika na kuumia baada ya wabunge wa CHADEMA kuwa wazembe na sio wadadisi na wazembe wakutafuta mambo Je hiki ni kizazi cha digital...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Sijui kama wenzangu mlinotice au la.. hivi kwanini Karume apewe heshima ya Kijeshi Tanzania bara na kupokea saluti kwenye siku kuu ya Mashujaa wakati nafasi yake kwenye baraza la mawaziri wa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
kwa wahasibu hasa wa serikalini na kwenye idara neno OC ni kifungu cha matumizi kambacho irefu chake ni Other Charges. kifungu hiki kina majina mengine mengi lakini kwa lugha ya mtaani tunasema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HVI kashfa hii ya rada na fedha zinazodaiwa kutoka Uingereza baada ya kusemekana maofisa wa serikali yetu walipewa chochote ili dili hilo lifanyike si iliwahi kuandikwa na gazeti la Majira...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kama vipi gairo azichange zingine tugawane wabongo wote tukae kimya. SI nasema tuchukue tununue magenereta
0 Reactions
0 Replies
1K Views
...Msuya atupa mzigo kwa Mkapa *Asema ndiye ametufikisha tulipo Na Godfrey Ismaely Majira MAKAMU wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu katika Serikali ya awamu ya Kwanza Bw. Cleopa Msuya ameishauri...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Tangu Rais Jakaya Kikwete aingie madarakani 2005 mpaka 2010, serikali yake imeongeza uzalishaji wa umeme kwa 145 MW tu. Mpango mpya wa miaka mitano wa serikali umepanga kuhakikisha kuwa Tanzania...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, Wenye data za uhakika kuhusu uhusiano wa hao jamaa wamwage hapa. Kuna tetesi kwamba rostam ndiye aliyebeba fungu la kampeni za kumweka madarakani jk na ndiyo maana alipewa cheo cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa kweli furaha niliyonayo mimi lady furahia HAINA KIFANI hili BUNGE letu la sasa halitaki mchezo jana tu nilipoona taharifa ya habari nimeachwa mdomo wazi kwa furaha sijui wenzangu nyie kila...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
serikali ya mkuu wa kaya imeufyata kabisa kutimua wavamizi wa kichina waliorudikana soko kuu la kariakoo wakipora Frame za wazawa kwa bei za kupaa, huku wakitumia frame hizo kuuza viatu na mitumba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kulitakiwa kuwa na Kikao Cha Mh Kikwete kukutana na Watanzania waishio South Africa. Mkutano ulitakiwa kufanyika Sheraton Hotel, Pretoria saa 12 za Jioni. Nimesikitika sana kuhairishwa huo...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
By Florian Kaijage 17th July 2011 For Tanzanians who have tested the benefits and joys of electricity-facilitated modernity, the backward march towards the dark ages is a real threat, as the...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Inasikitisha vyombo vya nje kuvalia njuga mambo muhimu ya nchi km umeme nasi tuna vyombo vya habari kibao na vinavyojiita huru,nimefurahi BBC kufanya interview na baadh ya Watz(waajiri wakuu)...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo nitazungumzia jambo ambalo wengi wenu mmekuwa WANAFIKI na huwa mnajaribu kwa kila hali kulikwepa. Nchi na serikali hazina dini lakini kwa nini Mungu anaimbwa kwenye nyimbo ya Taifa...
0 Reactions
254 Replies
24K Views
Wandugu,Kwa mtazamo wangu, umeme ni kila kitu kwa maisha ya kisasa. Bila umeme nchi inayumba kiuchumi na katika nyanja zote za maisha ya mwananchi. Kinachonisikitisha ni kuwa katikati ya janga...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli amewahadharisha madiwani kujiepusha na ufukuzaji holela wa makandarasi. Ametoa kauli hiyo jana bungeni mjini Dodoma wakati anajibu swali la Mbunge wa Buchosa...
0 Reactions
4 Replies
990 Views
Je wewe ungekuwa Mbunge Ungeuliza swali gani bungeni ili kuwasaidia wabunge wanaolala wawe wanachota maujuzi hapa JF? swali liwe kwenye wizara yeyote au moja kwa moja kwa waziri mkuu maana...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Back
Top Bottom