WanaJF nilikuwa napitia gazeti la The East African lililotoka Jumamosi tarehe 16.07.2011 nikakutana na kichwa cha habari kisemacho A record Four East African Presidents Set to Retire. Mwandishi...
Tunajadili Jairo aliandika barua kwa idara za wizara kuchanga hela za kuhonga ili bajeti ipite
Tunasahau jambo muhimu la kuuliza hilo fungu limemegwa kutoka bajeti ipi ya wizara
isije kuwa ni zile...
Kama Betrice shelukindo kawasilisha ushahidi wake na w/mkuu akaukubali, kwanini ushahidi hii wa waziwazi
Jakaya kikwete anakaa kimya kama hajui? Rostam Aziz ndo kagoda na ushahidi ulishaletwa hapa...
Nawashukuru wana jamii kwa updates zenu zenye ukali kama ndimi za moto. Tena Forum imekuwa kama weakleaks ya TZ. Tukio la kufurahisha ni la RA kukimbia baada ya kujitetea kwa muda mrefu akisaidiwa...
Inaweza kuwa alilofanya Jairo wenziye wa wizara nyingine hulifanya....hivyo wote wachunguzwe....mimi nilikuwa sielewi watu woote kujazana Dodoma wakati wa bunge kumbe ndio hili?......no wonder...
Inapendeza kuwaona wabunge wamekuwa pamoja kwa kupinga budget ya Nishati na madini. Hili ni swala la kitaifa zaidi kuliko chama. Hili ni fundisho kwa serikali kuwa haitaweza kuwafanya rubber stamp...
Na Fundi Segeredi
LEO nataka nieleze kichekesho cha mmoja wa watumishi wa Mungu aliyekuwa mtiifu na mwaminifu kwa Mungu kiasi cha kuweza kumlalamikia baada ya kukuta kiti cha Enzi kikiwa...
Serikali ya CCM in Hovyo maana imeundwa au inaendeshwa na watu HIVYO. HOVYO kwa maana ya wengi hawana uzoefu, uadilfu, ujuzu, na majukumu yao hayapo clear. Wapo MaDCs ambayo ni darasa la...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI MHESHIMIWA CRISTOWAJA MTINDA (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2011/2012...
Hivi jamani mpaka saa hii JK hajatoa tamko au hajaamka? Mimi nilitegemea pale Kisutu saa hizi David Jairo yuko kwenye msitari akisubiri kupanda Tdi ya polisi kuelekea Keko! Yaani hata hapo...
Kama rais wako
mwenyewe hajui kwa nini mpaka sasa
Tanzania ni masikini licha ya kuzungukwa na
rasilimali nyingi, je atawezaje kubadili
rasilimali kama upepo, makaa ya mawe, jua
n.k kuwa umeme?
Inatia shaka kuona jinsi mambo yanavyokwenda katika serikari yetu,
tunasikia habari za wizi wa fedha za serikari, hatuoni hatua za dhati zikichukuliwa tofauti na viini macho kufanyika.
Tunasikia...
Ni dhahiri kwamba hii habari inaendelea kuishi na in umri mkubwa tu na watu wengi wamefaidika sana wanaendesha maisha yao ya kila siku na kuiendeleza jamii yao kwa kiwango cha pekee, mifano ya...
Wapendwa wanaJF
Ninawaomba kwa yeyote mwenye direct access na Mbunge yeyote awaye, amuombe kuhoji Serikali juu ya kuporomoka kwa Elimu hasahasa ya Msingi hususani katika kipindi hichi cha Mh...
Ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia haya mashindano yanayoandaliwa na kituo cha television cha CNN.kwa waandishi wa habari na watangazaji,kila mwaka.mbona watanzania cwaoni wakiibuka washindi...
Tatizo kubwa la nchi yetu ni watu kuweka mategemeo makubwa bila kufikiri. Kachini ujiulize Umefanyia nini nchi yako hata kesho ukifaa utawacha kumbukumbu ipe Tanzania?? Tatizo letu nikulalamika...
Na Waandishi wetu, Mbeya
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mbeya kimewataka makada wasaliti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliosisi Chama cha Jamii (CCJ) akiwemo Waziri...
Wakati Mh. Waziri wa Nishati na madini akijinadi huko bungeni kwa "Miradi lukuki ya Umeme" hivi sasa nchi nzima ipo "gizani kutokana na kuchomoka kwa gridi ya taifa. Mwendelezo wa makali ya mgawo...
Hivi nyie manokaa USA mmeshindwa kuwaambia hawa HP kuwa umeme wa kiwanda cha SIDO hatuna japo tuna mali ghafi zote za kuzalisha umeme...sasa iweje wao wanataka kuja kufungua kiwanda Tanzania ...
Kwa hakika tuombe Mungu Watanzania wasijue sana kuhusu madini na maliasili zao, kwa kuwa wakijua sana kuhusu hayo Madini na Migodi yao yenye Dhahabu na Alimas [MUNGU ALIZOWAPA GOLD AND DIAMONDS]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.