Ndugu zangu,
Hakika, kila siku inayopita akiwa na funguo za ofisi ya Serikali mfukoni, basi, Waziri Ngeleja anazidi kuishushia hadhi Serikali. Tuhuma za rushwa kwenye Wizara yake ni nzito...
Katika hotuba ya 'kuahirisha' kupitisha bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini'u Waziri Mkuu Pinda alitumia lugha ambayo siyo yake tunayoifahamu; hasa pale alipozungumza kuhusu barua ya Jairo...
jamani kila mwaka bunge wabunge wanaainisha matatizo ya walimu lakini hakuna anafuatilia kutatua alafu wanataka maendeleo bila kujua elimu ndy msingi wa maendeleo,ndg zangu walimu hawa ambao wapo...
Kitendo kilichofanywa na serikali kuwahonga wabunge ni kibaya na kamwe hatuwezi kuwavumilia tena,
viongozi wa upinzani naomba mjipange sisi wananchi tupo tayari kuwaondoa hawa watu kwenye bishara...
Barclays' role in providing a controversial $40m loan to Tanzania to buy a radar system at the heart of an international corruption probe into BAE Systems is attracting fresh scrutiny as a UK...
Mtoto Cecilia Edward (14) (pichani), mkazi wa Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, ambaye kwa sasa anaishi na mlezi wake, Mbagala jijini Dar es Salaam, bado anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo na...
Wana Jf.Taarifa nilizozipata hivi leo ni kuwa Mwenyekiti Tume ya Taifa ya uchaguzi Jaji Mstaafu Lewis Makame amestaafu kushikilia wadhifa huo.Mwenyekiti huyo amestaafu rasmi tangu tar 14/6 lakini...
Serikali ya magamba imekuwa kila siku inakuja na maelezo ya kuchakachua kuhusu tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwa serikali. sasa sijui watatuambia nini kuhusu huu ufisadi wa bil 1,050,000,000/=...
Wadau nataka kufahamu hii imekaaje jana PM. Mizengo Pinda anatangazia umma kuwa ameshindwa kuwasiliana na Rais kwa sababu yuko angani hapa inatia shaka inakuwaje Rais anaporuka kwenye Gulfstream...
Pollsters kama kina REDET na wapishi wengine tuliowazoea 2010 mko wapi siku hizi? Kwa wenzenu mlikojifunzia taalauma (?) yenu hufanyika Opinion Polls mara kwa mara kutoa tathmini mbalimbali...
Electricity prices are too low!!! Umeme bei ni ya chini sana!
The core problem is that Tanzania has the view that all government companies are mean't to provide very cheap services by using tax...
Wasalaam Wanajf
Kwa kuwa JF sasa imekuwa ndio Taa huru pekee ya kumulika viongozi wa serikali na kijamii ndani na nje ya mipaka ya taifa la Tanzania.
Napenda Kuchukua fursa hii kukaribisha maoni...
wadau naomba mnifahamishe hili suala, maana mimi nashindwa kuelewa, sasa sifahamu labda ni kwa sababu nashinda kazini muda wote kuanzia asubuhi hadi jioni..!! hata hivyo jioni nirudipo nyumbani...
Yaani napata shida sana nikimuona rafiki yangu wa Tanesco, injia maarufu akiwa aningia bar mabega juu na kusalimia watu kama hamna issue
Hivi huwa mnajisikiaje na hili sakata la umeme...? Je...
Shikamoo Mzee wangu.
Natumaini upo vizuri na unaendelea vyema kabisa na kazi zako mbalimbali either za kujenga taifa ama za kubomoa.
Najua unaweza jiuliza kwanini nimesema za kubomoa taifa.Mzee...
Lowassa ajiandaa kuaga...!! nanukuu
''Taarifa zaidi zimeeleza kuwa endapo Lowassa atatangaza kuachana mojakwamoja na CCM na kujiunga kambi ya upinzani, hatataja moja kwa moja chama...
Inaonekana kila mtanzania anayefatilia habari za siasa za bunge amepatwa na mshangao wa furaha kuhusu kukubaliana kwa wabunge wa CCM na wa Upinzani kuikataa budget ya serikali iliyotengwa kwa...
Dear Great thinkers!! Budget mama (ya Mkulo) imepitishwa. Ndani yake kuna hii ya Ngeleja iliyokataliwa.
Ngeleja atatengeneza nyingine ambayo itawakilishwa bungeni, na hii mpya lazima itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.