Juzi tumeona Kaka wa Rais anafunga ndoa kwenye IKULU ya Bagamoyo.
Nikajiluliza Tz tuna Ilkulu ngapi?
Wakati wa Mwalimu ,nilikuwa nasikia Ikulu ndogo ya Chamwino,sikuwahi kusikia IKULU ya...
Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya utawala bora kama ambavyo wamekuwa wakisema viongozi mbalimbali wa serikali na chama tawala. Nijuavyo mimi utawala bora unafuatana na uwajibikaji, majukumu...
Atatoka Kaskazini mwa Tanzania, nimetathini na kutazama kwa makini na hali halisi iliyopo. Nafasi itapatikana ya walio WACHAFU kusafishwa ili WANG'AE na KUMETA. WASAFI Watachafuliwa ili wanuke...
Chonde chonde wabunge, hasa wa CCM.
Tunawaasa msiipitishe budget ya Wizara ya nishati na madini, mkilogwa au kuhongwa mkaipitisha mtakuwa mmetangaza mgogoro kati ya wabunge wa CCM na wananchi...
Katika kuchangia hotuba ya Ngeleja, Mh.Hamad Rashid amewataka wabunge wenzake kubadili sheria za madini kwa kutumia kamati za bunge ambazo zimepewa mamlaka hayo kisheria.Wazo hilo la Hamad Rashid...
Tanzania ambayo mtu alihukumiwa na umma kwa udhaifu wake leo haiko. Bali imezaliwa Tanzania ambayo dini kwanza hoja baadaye. Ukimshambulia mkosefu wa umma leo hakikisha uko karibu na shimo la...
MH RAIS- Tatizo la umeme ni kubwa sana ,uchumi wa nchi unashuka,elimu inashuka ,umaskini unazidi kuongezeka.ushauri wangu fanya maamuzi magumu kopeni fedha kwenye mabenki ya ndani na mnunue...
Wabunge wemepewa mamlaka makubwa kupitliza.... Swala la mishara na posho, na marupurupu makubwa chanzazo ni mamlaka waliyopewa ya kujipangia mishahara na kila kitu juu yao.
Walatin wanasema nemo...
From a Correspondent in Zanzibar
SIX religious leaders have appeared before Ethics Committee for Religious Leaders and Community Privileges and confessed to have been engaged in drug trafficking...
Bunge limekuwa likiburuzwa na wingi wa wabunge wa CCM kwa mambo yasioyo na tija.Wana JF ule utaratibu wa kuondoa shilingi bungeni uliokuwa ukitumika miaka ya zamani hauwezi tumika na wapinzani...
Tumekua tukishuhudia miezi zaidi ya sita kuhusu sakata la kujivua gamba kwa mapacha watatu Rostam,Lowassa na Chenge mpaka sasa mbali na propaganda na siasa za majukuwaani hakuna...
Kwa wale wana JF wa zamani watakumbuka kuwa ilishawahi kuwekwa nyuzi humu kuhusu Mbilinyi kuwa ni mkimbizi wa Kirundi nchini Uingereza, Jee, ni kweli? kama ni kweli, ana uhalali wa kuwa mbunge wa...
Habari zenu wana JF.
Naomba msaada kujua ni radio gani inarusha matangazo moja kwa maja toka bungeni? nitashukuru kama mtanitajia na frequence zake.
asanteni sana
Wakuu leo nilihudhuria katika mkutano wa CCM uliofanyika Mkoa wa Dar, Wilaya ya Kinondoni, Jimbo la Kawe, hapo Tegeta Sokoni. Mgeni rasmi mwanzoni baadhi yetu tuliambiwa ni W. Mkama...
WanaJF
CHADEMA, tuongoze ili twende zaidi ya Shinikizo kwa Baraza la Mawaziri.
CHADEMA, itisheni maandamano ya Kitaifa ili watu tuseme basi!
CCM wapo vitani wao kwa wao na hatma ya nchi...
Katika hali isiyokua ya kawaida yule mh Betrice Shelukindo aliejinasibu kua ni Mpambanaji wa Ufisadi katika Bunge la tisa ameibuka na kumshangaa mh.Sitta kwa kusema wote waliolifikisha taifa na...
Nimetafakari kwa muda mrefu sana lakini sipati jibu, kuhusu makampuni ya simu hapa nchini, kuzitumia nyimbo za wasanii kama caller tone kwa wateja wao, na kukatwa kiasi cha pesa kwa kila wimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.