Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Naomba nianze kwa kutaja Mito Mikubwa 3 tu.Kagera,Malagalasi na Rufiji.Tusitafute Mapolomoko ya Maji bali tujenge Mapolomoko.Mfn;Tusijenge Rusumo tusogee chini zaidi Pale tunapoanza kuupata Mto...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kufuatia kujiuzulu ubunge kwa Rostam Aziz, ni wakati muafaka kuelekeza nguvu zetu kuhakikisha kwamba Rostam anafikishwa mahakamani ili akajibu tuhuma zinazomkabili za kuhujumu uchumi wa nchi yetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF Katika hali ya kusikitisha na kusitajabisha mnamo mwezi wa sitta manisipaa ya temeke ilitoa tangazo la kuuza viwanja 2800 lakini 742 ndo vilivyogwawiwa. siku hiyo wananchi walipanga...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimeamua kutangaza nia yangu mapema nitagombea kupitia chama changu cha CCM katika jimbo lililo wazi la igunga. naomba mniunge mkono wa JF Kidumu chama milele daima. CCM
4 Reactions
43 Replies
4K Views
I am sorry to say this...Kwa kweli ndani ya moyo naamini kuwa the last time we hand as serious premier ilikuwa ni Hayati Sokoine.. Hivi Pinda kama waziri mkuu wa nchi anawezaje ku-sanction...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Wadau naomba tuliangalie hili pia, linalohusu hujuma na matatzo katika jamii yetu ya kiTZ iliyopoteza dira. Wadau inasikitisha kuona kuwa kila sehemu sasa kuna matatizo hapa nchini, hakuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
!Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, ametaka kuanzishwa kwa mjadala ndani ya Serikali wa kuwaadhibu viongozi waliolisababishia Taifa mgawo wa umeme ambao amedai kuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
SIKU moja baada ya Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya, Verena Shumbusho kutamba mbele ya viongozi wa juu wa CCM Taifa kuwa wanachama 497 wa Chadema akiwamo diwani wa Kata ya Nzovwe hapa, Hezron...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mitambo ya IPTL yazimwa Send to a friend Sunday, 17 July 2011 20:43 0diggsdigg Ramadhan Semtawa MATUMAINI ya kupungua kwa makali ya mgawo wa umeme nchini, yamezidi kutoweka baada ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutokana na tetesi na maoni ya watu wengi ndani na nje ya JF yanayopendekeza na kushauri Dr. Slaa agombee ubunge, ni jambo zuri lakini binafsi nachukua fursa hii kumuomba, kama alikuwa na mpango...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Yaani sasa hivi nikisikia CCM ni kama Sindano kwa mtoto, wananitia kichefuchefu ile mbaya, Hebu we angal;ia, Nilikuwa na Kabiashara kangu ka Aicekreem, imekufa kwasababu ya Kero ya umeme, Bidhaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Masaibu ya waTanzania!!! Watu tulichanga na kuchangishwa kuhusu ujenzi wa makao makuu ya chama na serikali Dodoma... Michango yooote ya Tanzania nzima na watanzania wake ilitarajiwa DODOMA ing'are...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa wanajamvi wote! nilikuwa napitia thread mbalimbali za wanajf. kuna vitu nimevikuta mwenyewe nikachoka kuna aliendika kuhusu Gazeti la Kenya,kuna anayesema kuwa analindwa na maruhani yote ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilihidhuria mkutanao wa Hadhara wa CDM hapa Iringa ambao ulikuwa mwezi May mwaka huu! Katika mkutano Ule Msemaji mmoja wa Chadema alisema CCM imekuwa ikicheza Ngoma ya Chadema! Nimetafakari sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
yes walaaniwe, serikali haipo na haina aibu kama ipo hadi siku ya budget ni blackout. Jamani wataopitisha na mikofi na usanii binafsi nitashiriki washindwe na laana hii nasema itawaumbua na wataumbuka
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa nini watanzania hawataki kuongelea mambo ya msingi kwa undani. Mfano elimu ya chuo kikuu leo inafanana na ya shule za kata. wakubwa wanatamba majukwani wameanzisha vyuo vikuu vingi kama UDOM...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Mkuu wa wilaya ya Geita Bwn Sherutete, ameingia kwenye kashifa mbaya ya matumizi mabaya ya madaraka yake. Hayo yamebainika katika kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya hiyo baada...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu nikushauri uende Arusha ukakijenge chama chenu kwani vijana hapa wanahitaji kijana mwenzao awaeleweshe waweze kusupport chama pia uje na Ridhiwani bwana Karibu Arusha.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Anatomy of the power crisis: Who didn`t do what, and when! By Nimi Mweta 17th July 2011Solving the power crisis is rapidly becoming the defining problem of the fourth phase administration, in much...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Wana jf, leo nilikuwa nasikiliza RADIO FIVE ya Arusha wananchi wenyewe bila kiongozi wa chama chochote wameazimia kuandamana hadi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa tarehe tajwa. Lengo la maandamano...
5 Reactions
67 Replies
6K Views
Back
Top Bottom