Hakuna kuficha wala kutafuna maneno katika hili, kweli kabisa, mabadiliko ya dhati yanatakiwa Tanzania katika kila nyanja, hususan uongozi.
Mabadiliko yanayotakiwa Tanzania ni katika uongozi wa...
Ivi karibuni tulikuwa tukifuatilia juu ya wamachinga wa kichina kuondoshwa nchini kutokana na agizo la waziri wa viwanda na biashara.Mpaka sasa hakuna lililofanyika.PIA NIMESHUHUDIA KATIKA WILAYA...
Jamani hayo si maneno yangu, tujadili:
MABERE MARANDO ndiye alikyekuwa na kazi ya kutesa watu kule kisiwani Mafia
Na pia:
mabere marando ..ana kazi nyingi anazodaiwa kufanya akiwa TIS ..MOJA...
UKIANZA KUTAFAKARI KWA MAKINI HALI YA NCHI YANGU TANZANIA KUANZIA 1995-2005,HALAFU KUANZIA 2005-MPAKA SASA UTAONA KWA DHATI KABISA MATATIZO MENGI YA KIPINDI HICHI YANA MIKONO YA WATU HAWA...
Ingawa wabunge wa CCM,Alhamisi usiku walifanya kikao cha kamati ya chama kuweka mkakati wa kutoipinga bajeti ya wizara ya Nishati na Madini,lakini hali inaonyesha kuwa tofauti kabisa.Tayari...
Nampenda sana Samweli Sitta.Sitta mara nyingi huwa hafichi mawazo yake na uchu wa madaraka aliyonayo.Mwaka 2009 kulikuwa na tishio la kumfukuza Sitta uanachama wa CCM.Mara moja nikapenda move...
wanajamiiii kwa hili la rostam kujivua uongozi kwenye ccm mimi naona DR slaa anahitaji pongezi kubwa kwa kuchangia mgamba wamuone RM kua ni gamba la kujibandua ccm naomba maoni pls
Jamani kwa utafiti wangu niliofanya kwa haraka haraka na kwa kusikia toka kwa wadau mbalimbali ni kwamba vyoo vingi vya shule za serikali vimejaa, vinanuka na hakuna wa kusimamia na kurekebisha...
Na hili ni swali la papo kwa papo kwa Mhe waziri Mkuu, Dkt Kayanza Pinda.
Zama za kale wahenga walinena kwamba ngoma ikipigwa Unguja, Bara hucheza (enzi zile za utawala wa Waarabu, Unguja...
Jamani kama kunamtu anasoft copy ya hotuba ya nishart na madini naomba aiweke hapa jamvini....au kama anajua website ambapo naweza kuipata nayo sawa tu nitashukuru sana
Wakuu,
Nadhani kila mtu anaona jinsi watanzania wenzetu wananvyo danganywa na wanamagamba eti wanajivua gamba kwa kuwaomba baadhi ya watu kuachia vyeo ili kukisafisha chama.
Magamba...
TAARIFA KWA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA ZIARA YA KISERIKALI NCHINI AFRIKA KUSINI, TAREHE 18-21 JULAI 2011 1.0 UTANGULIZI Kufuatia...
Human beings by nature want happiness and do not want suffering. With that feeling everyone tries to achieve happiness and tries to get rid of suffering, and everyone has the basic right to do...
Kung'atuka Rostam kwabaki siri ya JK
Friday, 15 July 2011 20:36
Waandishi Wetu
Mwananchi
UAMUZI wa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz kuachia nyadhifa zake ndani ya chama tawala, CCM mapema...
Ndugu zangu wana jamii forums napenda kuuliza hii swali kwenu wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa, kwanini watanzania hatuna uchungu na nchi yetu? nimeuliza hivyo kwasababu hali ya nchi yetu...
Great Thinkers, nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini vyombo vya habari (hususani magazeti=haswa mwananchi) kwa nini kwenye title zao huwa hawaanzi na title ya MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR...
Wabunge wamkaanga Waziri Ngeleja
Friday, 15 July 2011 20:33
Leon Bahati, Dodoma
Mwananchi
WABUNGE jana walimweka kitimoto Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja baadhi yao...
Wapinzani waibua ulaji wa mamilioni kwa posho Nishati na Madini
Friday, 15 July 2011 20:28
Fidelis Butahe, Hussein Issa
Mwananchi
WAKATI Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni ikiiponda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.