Nimeona tangazo kwenye magazeti ya Mtanzania, Dimba, na Rai kuwa waziri mkuu wa kenya Raila Odinga anategemewa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi mpya wa magazeti ya fisadi Rostam Aziz
Odinga...
Hivi wananchi waliomwomba kikwete awapeleke mafisadi ku-face justice au kujiuzuru? Kuna kitu kikwete ana-miss hapa na hizi tactics za danganya toto ndio zinafanikiwa only kwa wajinga. The major...
Nataka kujua tuu hawa TBL hii ni coincidence au ina maana na wao wapo kwenye vita dhidi ya mafanikio ya JK? Maana kwenye kampeni yao ya miaka 50 ya uhuru wameonyesha tulipotoka, tulipopitia...
Sioni kabisa kinachozuia Tanzania kufanana na Somalia. Kila indication zinaonekana kabisa kwamba tupo katika hali ya kuitwa 'failed state'Sasa hivi tuna viongozi wasiochaguliwa na wananchi na...
Kuelekea kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Taifa letu.
Tuwaenzi na kuwapa heshima za dhati Viongozi mashujaa wa Taifa letu.
Tuwataje kwa MAJINA na kwa MICHANGO yao mbalimbali, mashujaa wa Taifa...
Si siku nyingi zilizopita tumeona jinsi watu wananzia wanaopigwa na mgao wa umeme au unaweza kukuta hata nyumba zao hazijaunganishiwa umeme wakizimia na kulia siku ambayo RA aliachia ngazi kwa...
HOTUBA YA NGELEJA
Katika hotuba yake, Ngeleja alisema mradi wa MW 100 wa Dar es Salaam utakamilika Desemba, mwaka huu, lakini utaanza kuzalisha umeme miezi 18 ambapo serikali itakuwa inajenga...
Nawapa hongera sana Wabunge wa CCM chini ya kamanda wao Spika Makinda. Mshikamano wanaouonesha hivi sasa ndio unaotakiwa kwani unaondoa kabisa matumaini ya Watanzania kuwa anaweza akatokea...
Huyu mzee anaonyesha huko magamba yuko kwa bahati mbaya maana ameongea kwa uchungu sana juu ya Meremereta na amesema hataunga mkono hata kidogo hoja ya Ngereja. Eti jeshi wameona wamemaliza madini...
Kumbe Mawaziri wetu ni wakarimu kiasi hiki!
Jana Mbunge Machachari Mh.Anne Kilango,Akichangia hoja ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Sauti ya Msisitizo na Kiapo kikali alisema katu hataunga mkono...
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wazazi ya Sangu ilyoko Mbeya wamelalamikia CCM kuwalazimisha kushiriki kwenye maandamano yao yatakayofanyika leo huko Mbeya.
Chanzo: Nipashe.
CCM nawashauri...
wana jf huko mbeya tumepata taarifa ya diwani wa chadema kujiuzulu,
tunajua jimbo la mbeya limeshikiliwa na chadema,
tunaombeni taarifa tatizo kubwa lililopelekea huyo jamaa kuachia ngazi,
au...
Taarifa za ndani, zinapasha kwamba katika harakati za uchaguzi wa Rais za mwaka 2005, Kikwete alijiandaa kuhamia CHADEMA iwapo NEC ya CCM isingempitisha kugombea Urais. Na inasemekana kwamba...
Ktk hali ambayo siielewi ktk suala la siasa hasa ktk jiji la Arusha, leo majira ya kuanzia saa 8:30 asubuhi limepita gari la matangazo almaharufu RAHA PROMOTION la jamaa mmoja anaejulikana kwa...
Katika kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu aliulizwa ni lini Mh Sitta ataondoka kwenye nyumba ya Spika huko Masaki maana sio Spika tena. Kwa maelezo ya mbunge aliyeuliza swali ni...
nilivutiwa sana na mjadala bungeni jana, ni dhahiri baadhi ya wabunge walionyesha hisia kali kutokana na serikali kutokuwa na maamuzi muafaka juu ya mgao wa umeme na matatizo mengine kwa...
By In2EastAfrica - Sat Jul 16, 12:26 pm
Industry, Trade and Marketing deputy minister Lazaro Nyalandu
Kawe legislator Halima Mdee (Chadema) has said that a foreign company, Al Ghurair...
Ndugu zangu,
Jana nilipokea barua kutoka kwa Mtanzania anayeishi Ujerumani. Barua hii imenigusa sana. Imechapwa kwa ujumla kwenye http://mjengwa.blogspot.com . Nitaweka hapa mwanzo tu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.