Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Serikali itandoa polisi wote wanaolinda mgodi wa North Mara Gold Mine. Polisi wataondolewa kwa awamu katika kipindi cha miezi miwili ijayo. Serikali kupitia polisi imeshaitaarifu Barrick Gold...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Imejitokeza mara kadhaa katika nchi yetu viongozi wanaotuhumiwa kwa ufisadi wanapojiuzuru nyadhifa zao mara warudipo majimboni kwao hupokelewa kama mashujaa na washindi wa vita.Hali hiyo iliwahi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamaa anapresent facts za mafuta na mengineyo!ni mtaalamu wa mafuta for the last 20 years!Pia ni consultance anaweza fanya consultation bure Anasema aliandaliwa na Sokoine kwenye sector ya mafuta
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Uchaguzi wa Tanzania hasa kwa wapinzani hauminiki. 1995 Mrema alikuwa ni mmoja wa viongozi waliotikisa ccm. alipata kura nyingi kuliko mgombea mwengine wa Upinzani. hadi leo record yake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mada ni mikataba inayo nukia ruswa ivujwe?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nape amedai ataendelea kutetea matumizi mazuri ya Rasilimali za Taifa!Kadhalika,kuna baadhi ya watu matajiri hawapendezwi na jitihada zake na wamepanga kumchafua! Jamani mie Mkweche mnisaidiage...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Hotuba yake kwa Wabunge wale wale ambao miaka sita baadaye wameamua kumgeukia Ngeleja; Wabunge wanaosahau kuwa Kikwete huyo huyo ndiye alikuwa Waziri wa Nishati na Madini na hawakumkoromea hivi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo ni kama siku ya pili hivi, tangu mbunge wetu Rostam ajivue gamba kutokana na kashifa za kuiingiza serikali loss kubwa mpaka nchi yetu kujulikana duniani kote kutokana na madeni mengi mpaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawashangaa sana mtu ambaye ni Kijana,mwenye kujua dunia ipo vipi leo ulimwengu wa ICT, ukawa ni mwanachama wa CCM!. Haiwezekana! ni aibu. siwezi kushanga saana maana pia wapo wanaoabudu shetani...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Thursday, 14 July 2011 * Lowassa aweka mambo hadharani JANE MIHANJI, DODOMA na Hamis Shimye, Dar MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, amesema atatangaza uamuzi kuhusu nyadhifa zake ndani ya...
0 Reactions
70 Replies
8K Views
Nimefuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea hapa JF uliokuwa ukijadili kuhusu Zitto,JK VS gazeti la tanzania daima na mmiliki wa gazeti hilo amabye ni Mbowe. Kuna mengi yamesemwa lakini lililoniku na...
2 Reactions
253 Replies
18K Views
Nimekerwa na kufedheheshwa sana na wabunge wa chama cha mapinduzi kwa kudhani kuwa nchi hii ni ya wana ccm million 5 au 6 tu??? Umefika wakati kuwapumzisha ili wajue kuwa nchi hii ni yetu sote
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tatizo watu hamsomi historia wala kufuatilia mambo halafu mnang'ang'ania kuwaambia watu haya mambo yanafanyika kwa mara ya kwanza. Kikwete hana la maana kabisa. Mwalimu alifanya maamuzi mengi...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kujiuzulu kwa RA, kumesababisha niwaze jambo hili. Endapo chama chochote kitapungukiwa na wabunge wake ama kwa kujiuzuru, kufukuzwa n.k. Ni nini uwiano wa viti maalu? Je, viti maalum vitapunguzwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimesikiliza kikao cha bunge jioni hii kwa kweli inasikitisha sana kwa Nchi hii mpaka leo tunalia na mikataba feki has ya madini.Hivi tatizo ni shule ama ufisadi uko katika mishipa ya damu.Hawa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
..najua kuna madogo wengi sana hapa wa miaka ya 90. ..hawa watashangaa kusikia kwamba Tanzania kulikuwa na viwanda vya ku-assemble malori ya Scania na matrekta ya Valmet. ..viwanda hivyo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa ameendelea kumkalia kooni Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge na sasa amewasilisha serikalini uchambuzi wa ushahidi utakaosaidia kumtia hatiani...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Written by Hassan10 // 14/07/2011 // Habari // No comments Sitta aikataa nichani(Medali) ya uhuru wa nchi yao leo. Niharamu na zambi kumbwa kwa Mzanzibar kumuona anaikataa Zanzibar yake, Sisi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nilkuwa napita-pita karibu na kibanda cha chips. pana ka-TV kadogo kama inchi 17 hivi. mara nikaskia mtu anaongea kwa madaha ati "serikali iliyoko madarakani imejaa watu wazalendo wa kweli na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
sasa hivi bungeni yupo anachangia mhishiwa mansoor mbunge wajimbo la kwimba,anaunga hoja ya ngereja mkono,lakini maelezo yake anasema kati ya kata 15 zilizopo jimboni kwake ni moja tu yenye...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom