2015
1)Samwel Sitta
2)Anna Malechela
3)Ole Sendeka
4)Shibuda(NAAMINI MOYO WAKE NI CCM BADO)
5)Dk Harrson Mwakyembe .
Kwani tofauti kabisa walivyokuwa katika Utawala wa Mh Sitta. Walikuwa...
Habar nilizo nazo katika mkutano WA Kesho mjini MBEYA vuvuzela WA CCM Nape Nnauye atakuwepo pia. Mhhh hii timu ya Nape,Sita, Mwakyembe,Olesendeka,Mama Kilango nasikia na Nyalando imekaaje?kilikoni...
Nakumbuka maraisi waliomtangulia Jakaya Kikwete waliacha wosia au ndio tuiite ni laana! Mwalimu alicha wosia mwingi sana kwa taifa hili hata kwenye Tape zinazouzwa mitaani ni tosha kabisa kuamini...
Wakuu! Salaam.
Nimeona niwawekee hotuba ya John Mnyika atakayoisoma dakika chache kuanzia sasa ili muipitie na kuijadili. Niwatakie majadaliano mema, narudi kuendelea na kikao cha Bunge..
HOTUBA...
Wana wane, ninajaribu kujiuliza iwapo NAPE na CHILIGATI watakwenda jimboni Monduli na Igunga kuelezea falsafa ya kujivua gamba kitu gani kitatokea??
JARIBU KUTAFAKARI
Written by Hassan10 // 15/07/2011 // Habari // No comments
NA HII NDIO TANGANYIKA KABLA YA MUUNGANO, KIPI WALICHO LOOSE? KATIBA,BENDERA AU NEMBO YA TAIFA LA TANGANYIKA?"]
HII NDIO TANZANIA YA...
Ni ile inayohusu kutangazwa kwa mgao wa umeme kama Janga la Taifa! Mh Mnyika alitoa hoja hiyo wakati akisoma Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na kudai kwamba Bunge lisipopitisha Azimio...
Katika kipindi cha maswali na majibu kwa waziri Mkuu leo bungeni, Mbowe alisema viongozi wa upinzani wanajitahidi sana kuzuia watu kufanya maandamano kwa ajili ya umeme.
Kuna ukweli jamani...
Kwa waliosikia mwanzoni clouds fm jana ingawa nilichelewa kidogonikakuta tu mh mmoja wa uvccm kkwa wakati huo
alishajitaja jina akihojiwa na kuelezea baada ya rostamnani anafwata..kijana huyu...
Nimeshangazwa sana na kauli ya naibu spika bwana Job Ndugai wakati wa kufunga bunge mchana tarehe 15/7/2011kutangaza kuwa kwa kuwa mtoa hoja wa kambi ya upinzani alipomaliza kutoa hoja hakuuliza...
Mwigulu Mnchemba leo bungeni kauliza swali la nyongeza zuri saaana kuliko alivyokuwa anoamba miongozo ya ovyo ovyo kwa spika siku za nyuma. Kauliza hivi; Kwanini serikali isichukue hatua za...
With or without ndiyooooo za maCCM na Spika/Naibu Spika wao CHADEMA tunataka maandamano nchi nzima, vinginevyo tutaamini na nchi hamna dhamira ya kweli ya kukomesha huu usanii wa kuuziwa giza...
Ndugu zangu,
Habari kubwa imetufikia; Rostam Aziz kaachia ngazi CCM. Ni habari kubwa.
Wengine wanasema, kuwa Rostam amejivua gamba. Kuna wanaodai, kuwa ni CCM
ndio iliyojivua gamba. Ni...
Mbunge mmoja alitaka kujua kwanini serikali haibadilishi sheria na taratibu zake ili kuwezesha ununuzi wa mitambo ya kuazlisha umeme ambayo imeshatumika ili iweze kuingia nchini kwa haraka...
Hili ni swali lililojitokeza indirectly katika kipindi cha majadiliano cha Star TV Tuongee Asubuhi kuhusiana na mustakabali wa pesa za Rada kurudi Tanzania. Lengo la Star TV lilikuwa ni...
Nampenda sana Mbunge kijana, machachari na mahiri, Zito Kabwe. Lakini katika wazo la kusema kuwa Tanzania ivunje uhusiano na mataifa yanayoishambulia Libya ambalo Kabwe amelitoa leo Bungeni...
Ndugu,
Watanzania wenzangu, binafsi nawakubali sana watu wa zamani, kwa sababu kila walilolifanya wakati huo lilikuwa na maana kubwa wakati huo na hata baada ya muda mrefu. Hivyo ni jambo zuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.