Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Poleni ndg zangu kwa kero ya umeme,ama kwel watanzania tunavumilia mengi,watanzania wengi hatupendi kujua mambo au hata kama tunajua basi tunapenda kujua kwa juu juu tuu ili hali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunamngojea mzee wa Monduli Ndg EL ajivue gamba naye! Patamu hapo......pples...!
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Nimezunguka jana na leo karibu kila nilipotembelea nimesikiliza watu katika makundi kwa furaha au huzuni wakizungumza kuhusu dhana ya kujivua gamba kwa wanachama na viongozi wa CCM. Katika hili...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimemsikia Ndugu Shamhuna akilieleza Baraza la Wawakilishi Zanzibar , kuwa suala la mafuta ni la uchumi wa zanzibar na halina uhusiano na muungano. Kwa hiyo litatolewa katika shughuli za muungano...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tanzania tumepata pigo baada ya kiwanda cha san flag cha mjini Arusha kuamua kupunguza wafanyakazi 3,000, hii ni baada ya kuwa wanapata umeme saa 6 kwa siku huku wao wakidai mitambo yao huanza...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hizi ni tetesi,... kwamba shibuda anaweza kujiuzuru ubunge na kuipondea chadema kwa sana ili apate nguvu za kurudia ccm tofauti na pale atakapo ondoka chadema kwa kufukuzwa,... Its time,either...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Ndugu waziri wa Ulinzi, (na serikali kwa ujumla) tafakari zaidi kabla ya utekelezaji wa Mujibu wa sheria JKT. Kutokana na hali ya uchumi ulivyo, itakuwa vigumu kuwalea watoto wetu huko jeshini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This is happening in 2011:- Greece Cannot Be Saved: If Italy and Spain Follow, So Goes the Entire EU "If a reconstruction plan does not come soon, Europe's leaders will be charged with 'the...
0 Reactions
1 Replies
951 Views
Wanazi wa chadema napenda kujuwa mmefikia wapi kuhusu: 1) Muafaka wa Arusha na wakili wenu bwana Marando uchunguzi wake umefikia wapi? au maji ya shingo? maana nilisikia Maalim Seif katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waandishi mara nyingi wamekua ving'ang'anizi na maswali uchwara kwa lengo la kusimamia upande fulani wenye maslahi na serikari. Kimsingi bunge ni kwa ajili ya kutatua matatizo makuu ya wananchi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama kawaida ya leo Alhamis ni maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Bibi Kiroboto kitini GR leo ndani ya Mjengo
0 Reactions
42 Replies
4K Views
kwa mara ya kwanza nimeipoteza kura yangu Kumpa Bulj. Mbunge wa Mafia. kwani baada ya kutumia Umri wa kupiga kura na kuamua kumigia mbunge huyu, sasa najuta, na nalitangaza Jimbo letu kuwa Lipo...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Siafiki michango mingi iliyotolewa hapa JF baada ya rostam kuamua kujiuzuru ubunge wa lgunga..nadhani ni vyema watu wengine wasaidie watu wa lgunga kwanzakubaini na kuainisha ajenda za maendeleo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo asubuhi Mh. Zitto kamchachafya kidogo spika wa bunge Zitto: Mh. Spika kuna kiti kiko wazi kwa maana kwamba mwenzetu mmoja ameamua kubwaga manyanga kwa taarifa tulizonazo. Sasa tungependa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nilikuwa nafuatilia Bunge na nikakuta sehemu ambayo walikuwa wanazungumzia suala la Bima za Wabunge - wakijadili kauli ya Kafulila kuwa Wabunge ni "privileged class" kuwa wanapata huduma ya afya...
6 Reactions
80 Replies
11K Views
Nnamaliza Likizo yenu lini? Sina mashaka wala hofu juu ya Likizo hii ndefu ya serikali ambayo inadhihirishwa na uwajibikaji hewa na mipango muflisi inayokinzana na utashi wa wananchi walio...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
mkuu baada ya kujivua gamba hapo jana hali ya kisiasa igunga ikoje? Upepo upo upande upi, magamba or upinzani?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu mafisadi ni wakati wa kujeukia Mungu kwani uovu wenu umekidhiri na umemfikia Mungu mwenyewe na malipo ya uovu wenu ni hapa hapa Duniani angalia mnafedha nyingi wala hamna amani nyie na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nasikia kuna Mikoa mipya Tanzania bara yaani Njoluma,Katavi na Geita sijui Simiwi ni upi!!Ila sasa nashangaa haipo kiutendaji bali kisiasa zaidi.Hakuna ofisi wala...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hatimaye, yale yeliyosemwa sana, bila kujua mwisho wake, sasa yamefika. Mheshimiwa Aziz ametangaza rasmi kujiuzulu nafsi zake zote za kisiasa na kubaki kama mwana CCM wa kawaida! Probably it was...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom