Ukifurahia kusaidiwa na kutatuliwa matatizo na jirani yako , rafiki yako au mtu mwingine yeyote ujiandae kupokea majukumu ya kulinda masilahi yake. Hakuna bure duniani, na hakuna msaada ambao...
Wakati huu tunapopanga bajeti ya serikali, na tunapojiandaa na raha za weekend, tujiangalie tena uwezo wetu wa kutumia fedha zetu chache na tujilinganishe na wenzetu;
1. Wajerumani: Allianz...
Mfumo uliopo wa sasa wa CCM unastahili kufanyiwa marekebisho makubwa kwani ni mzigo mkubwa kwa watzanzania na hasa ukizingatia unatumia kodi za watz ambao ndo kwanza hawana maji, hawana umeme...
alianza kwa mkwara na wadau tulitabiri kuwa atazima tu,...kiko wapi??viwanja vya wazi kibao vimeporwa anajua na atafanya kitu,..hiyo ndio ccm,...nitavunja plaza....kigamboni hakuongea chochote cha...
jana niliongea na rafiki yangu mmoja ambayo nilikuwa sina mazoea ya kupigiana naye simu. Huyu kijana baba yake ni kapteni. Nikamuuliza kuwa vipi mgao wa umeme hapo Tanzania? Akaniambia kuwa hajui...
Malumbano ya hoja yasiyo na uvumilivu na yaliyojikita katika kuenguana hayawezi kukisaidia CDM.
Watakao iua CHADEMA ni wanachadema wenyewe kwa kuwashinikiza viongozi wetu kujenga moyo wa...
Imeandikwa na Mwandishi Wetu;
Tarehe: 23rd May 2011
HABARI LEO
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, January Makamba amemshutumu Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja kuwa...
Hayo yote tunayoendelea kuyashuhudia ni kutokana na moto mkali uliowashwa na CDM. Tunaweza kusema hivi kama sio Chadema je Lowasa angejuzulu? kama sio CDM CCM wangejivua Gamba? katiba kusitishwa...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa , ni baada ya Rostam kung'oka rasmi, huku Chenge akiwa katika kumi na nane ya kufikishwa kunako korti kuhusiana na udalali wake kwenye sakata la Rada, lakini kuna swali...
Kwa vyovyote hiki kitakuwa kiburi tu, mtoto akianza kudharau wazazi mwisho wake unakuwa mbaya.
Kitendo cha serikali kuwakaanga wananchi waliowapa kura kwa kupandisha gharama ya mafuta ya taa ni...
Kwa mara ya kwanza toka namsikia Mheshimiwa Zungu leo kaongea kama Mzalendo,UNYAMBILISI makampuni ya simu yanayowatendea watanzania.
Anasema Taifa limekuwa SHAMBA LA BIBI,kwenye REVENUE WATCH...
TBC hapa kuna Waziri anatumia muda mrefu kweli kwenye majumuisho ya Wizara yake...
anataja waheshimiwa kibao waliochangia kwenye majadiliano, kwa majina...na kumalizia..Mheshimiwa...
Dear CDM chairman and secretary!
I am moved with your strategy to cause hard time to CCM!!
I was a ccm fun for the past twenty years but now I am starting to re-think about my future with this...
Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya taarifa, Bashe amepata ule wasaa aliokuwa akiutamani na ambao ulimponyoka bila yeye kutarajia-kuingia mjengoni. Vyanzo vinasema kuwa Rostam anahakikisha kuwa jimbo...
Ndugu zangu,
Wahenga walinena; " Baniani mbaya, kiatu chake dawa!".
Na kuna kisa nilipata kusimuliwa. Ni kisa cha mwandishi wa habari wa Kitanzania aliyekamatwa na makachero wa Idi Amin mpakani...
Salaam wanaJF!
Katika siku za hivi karibuni television ya TBC1 imekua na kipindi kiitwacho Enzi Hizo; kipindi ambacho kinarushwa wakati wa taarifa ya habari ya saa 2 za usiku. Toka nimeanza...
chama cha wanainchi cuf kitazindua kampeni zake za kueneza mtandao wa chama mkoani tabora mwezi huu wakazi wa tabora mjini na viunga vyake wakae tayari kuupokea ugeni wa kitaifa kuanzia sasa. kwa...
Watanzania wenzangu,
Nimeisoma kwa kuirudia KATIBA yetu ya sasa ya JMT sijaona mahala popote panapompa Mbunge wa Bunge la Jamhuri yetu nafasi ya kuacha Ubunge kwa kujiuzulu kwa hiari yake kama...
Hivi kweli wana cdm twaweza tumia mbinu zipi tukaweza kulitwaa jimbo la Igunga? Wana igunga wameonyesha chuki za wazi dhidi ya ccm kuwa siasa za fitina ndani ya chama hicho tawala zimepelekea...
CCM: Kwa sababu ya 'siasa zao uchwara' wamesababisha mbunge kipenzi wa wananchi wa Igunga ajiuzulu.
CDM: Walikuwa wa kwanza kumtangaza RA fisadi, wameendelea kumbana na kuibana Serikali imfikishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.