Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jamaa yupo Dodoma kukanusha ishu nzima ya Rostam!! Ngoja tusubirie kwanza, inaoneka siasa uchwara ni za Nape, Na yy Nape anamshutumu JK ndiye mwenye Siasa uchwara nae ajivue gamba, ngoja tuone...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MKOA UNAAONGOZWA NA MAGAMBA KWA MAJIMBO YOTE SASA UTAINGIA MIKONONI MWA CHADEMA HASA BAADA YA WANANCHI WA WILAYA HII KUAPA KUIDHALILISHA CCM KWA KUMFANYA VIBAYA MBUNGE WAO ROSTAM AZIZ ALIYEKUWA...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
TUTACHAGUA UPINZANI ILI KUIONYESHA CCM KUWA WALICHOMFANYA MBUNGE WETU HATUKUPENDEZWA NACHO CHADEMA INAPEWA NAFASI YA JUU KUTWAA IGUNGA THIS Tym
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu yangu Nape! nimefurahi sana kukuona ndani ya JF ukijibu hoja mbali mbali humu, ingawa sina uhakika 100% kama ni wewe maana wajanja wengi wanaweza wakagushi ID na kujifanya ndio wewe. Kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wahoji jeshi kutumika katika kilimo Kwanza Send to a friend Wednesday, 13 July 2011 20:48 0diggsdigg Hussein Issa KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni, imeuponda mpango wa Kilimo Kwanza na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akitolea ufafanuzi kombora lililorushwa na David Kafulila, Waziri wa Uhusiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta ameikejeli kambi ya Upinzani kuwa ni wanafiki na waliojaa kauli nyepesi na za Ujanja...
0 Reactions
219 Replies
17K Views
Nimekuwa nikifuatilia Bunge kwa Karibu sana Pamoja na Njama za Serikali kuanzisha Mgao wa Umeme ili Tusione Minyukano mikali inayoendelea katika Bunge hili lililojaa Changamoto Mbalimbali ( Mpaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
- Resignation is a formal act of giving up or quitting one's office position, after failing to own up to the office's responsibilities as expected by those who trusted him and put him/her in that...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu aka Mr II ametutumia taarifa hii kuhusu kukamatwa kwake jana na yanayoendelea Mbeya Mjini leo TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Jana tarehe 8 Julai...
17 Reactions
205 Replies
21K Views
  • Closed
Nimekuwa nikifuatilia muda mrefu movement za hawa watu na mara zote nathubutu kuwafananisha na kundi la mtandao la EL, JK, RA na AC lililoanza kama ushirika wa kirafiki wa kisiasa(political...
2 Reactions
93 Replies
7K Views
Written by zenjiboy // 12/07/2011 // Habari // 3 Comments Na Juma Mohammed, MAELEZO Zanzibar Waziri wa Kilimo na Maliasili wa Zanzibar, Mh. Mansoor Yussuf Himid amesema mfumo wa muundo wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kinachotokea kwa hivi sasa bungeni ni dalili za wazi za CCM kuaga uongozi wa Taifa hili. Kwanza kabisa wabunge wa CCM wameshindwa kabisa kufanya kazi yao ya kuisimamia serikali na badala yake...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Mheshimiwa Spika, Anna Makinda Shikamoo mama. Mimi Gurudumu (bila gari), raia wa Tanzania, nachukua nafasi hii kukuagiza kwamba ufunge bunge haraka sana pindi tu upatapo ujumbe huu kupitia...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Dodoma imekuwa ni ngome ya 'magamba' kwa muda mrefu sasa hivyo kuendeleza madudu mengi ktk mji wetu eg,malalamiko dhidi ya cda, ujenzi wa kusua sua wa barabara,miradi tata ya umeme ktk chang'ombe...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi bwana Wilson Mukama alipokua katika kipindi cha "Je tutafika?" kinachorushwa na Television ya channel ten amesikika akitilia mkazo na kufafanua Kwa kusema kuwj...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Japo Mimi si mkubwa sana kiumri lakini nakumbuka hadi miaka ya 80 hali ya kuomba omba haikuwa kama iliyopo leo hii. Uongozi wa awamu ya kwanza ulihimiza kujitegemea na kupinga ubinafsi. Baadae...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Boss wao ndo ivo kaondoka kwenye uongozi wa CCM huku akirusha madongo kibao. Mtanzania walikuwa watu wa kuibeba sana CCM. Je wataungana na Boss wao kuanza kuiponda? Je hili ni pigo kwa CCM? Je CCM...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa amemchangia Mufti Mkuu wa Tanzania sh 13 mil kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo na shule ya watoto yatima kilichopo Kigamboni jijini DSM. Mbunge huyo...
0 Reactions
74 Replies
7K Views
Wakati akichangia bajeti ya wizara ya ulinzi Mh Zitto ameweka nia ya kuwasilisha hoja binafsi kutaka iundwe tume kuchunguzwa kwa deni la m
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Hali CCM mtaani ni mbaya sana, watu wanailalamikiae serikali ya CCM, wabunge wa CCM wanachokifanya bunge kinaonekana ni vituko vya watoto wadogo, Watu wanasubiri ifike mwaka wa 2011 ili waoneshe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom