Bajeti ya Shamuhuna yapitishwa kwa mbinde
Send to a friend
Tuesday, 12 July 2011 21:49
Salma Said, Zanzibar
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha kwa tabu bajeti ya Wizara ya...
Hivi karibuni tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia Bwana Nape ambaye kwa nia ya dhati ulimkabidhi madaraka ya ukuu wa Wilaya ya Masasi ambayo ni madaraka ya kiserikali akizunguuka nchi nzima kwa...
Ndugu wana JF,habari zenu! Kwa uchache ninapenda kuchokoza mjadala kuhusu upatikanaji wa huduma bora za afya vijijini,ambako zaidi ya 80% waTanzania wanaishi...
'Wanashirikiana na baadhi ya vyombo vya habari'
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (NEC), Nape Nnauye, amefichua mkakati mzito wa kumchafua, unaodaiwa kufanywa na wapinzani wake...
wakubwa vipi utekelezaji wa maazimio ya CCM ya kuwapa miezi 3 mafisadi walioko ndani kujiondoa ? nakumbuka mwisho ilikuwa julai 10,mwaka huu sijui nani kajiondoa ? au wameongeza muda
KUNA wanaodhani eti kuna kasoro na udhaifu mkubwa bungeni hivi leo. Siamini hivyo. Hili ninadhani linatokana na yale mazoea ya kuwa na bunge ambalo lilikuwa legelege na linalolala na kuuunga mkono...
Nchi yetu imefanikiwa kupata maraisi wa nne toka uhuru, na kwa sasa tunaongozwa na na serikali iliyo jaa ma dakto wengi kuliko zama zilizopita na wasomi wengi kwa ujumla wake wa kusema mtu ni...
Katika hali ya kushangaza, bunge la leo kwa vipindi vyote viwili asubuhi na jioni limeisha uku likiacha wabunge wananungunika: hoja zimetolewa-wabunge wakaomba mwongozo wa spika pamoja na...
SIAMINI kama siasa ni mchezo mchafu kama ambavyo watu wengi wanavyodhani, isipokuwa siasa ni njia ya kuwapitisha viongozi waadilifu wanaoweza kujua wapi tulipo toka na wapi tunapokwenda.
Siasa...
Habari za jioni wakuu
Kwa muda sasa nimekuwa nikipitia pitia thread katika jukwaa hili na kwa kusema ukweli, mengi yasemwayo yanaumiza saaana.
Yapata miaka 50 sasa tokea tupate uhuru. Serikali...
Dakika tano zilizopita umeme umekatika/umekatwa ndani ya majengo yote ya ukumbi wa Bunge na hivyo kulifanya bunge kutokuweza kuendelea .
Alikuwa waziri wa Afya ndio ameanza kutoa majibu ya hoja...
Napata shida sana kusikia na kuona kuwa serikali yangu inaridhia muunda wa kiutawala Jijini Dar ambao unatuonyesha kukosa umakini katika kupunguza matumizi ya fedha za umma yasiyo ya Lazima...
The economist wanasema tz ni ya saba kwa kupewa misaada duniani ati twaambatana na nchi kama iraq,sudan tena nchi ambazo daily wanapigana!What a shame!Biga up Kafulila kwa izo statistics bungeni jana
Kafulila David katumia muda mwingi kuichana vema serikali kwa vigogo kupata matibabu nje ya nchi, huku Mh. Maige akijaribu kuelezea watoto wake walioko kijijini bila kutaja fungu na kuonekana hana...
Nianze kwa kusema jamani tembea uone. Wiki iliyopita nilisafiri kwa gari yangu nikitokea south africa ili nije nyumbani tanzania kwa likizo ya mwezi mmoja. Nimepita vizuri katika nchi zote...
KAMATI Kuu ya chama cha TLP imeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kupangua uteuzi wa madiwani wa viti maalumu na wa mkoani Arusha ambao waliteuliwa kwa nyaraka za kugushi na kutaka wahusika...
Tanzania ina matatizo mengi. Miongoni mwao ni yale matatu ya ASILI kutoka kwa Baba wa taifa ambayo ni (1) Umaskini; (2) Ujinga na (3) Maradhi. Haya ymeendelea kuwepo kwa kuwa na yafuatayo:-
a)...
magdalena sakaya mbunge wa viti maalum wa cuf jana amewasilisha ushahidi kwa spika wa bunge juu ya yale aliyozungumza wiki moja iliyopita juu ya wakuu wa wilaya kuchukua mifugo ya wanainchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.