Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Na Ilunga Msekela Mpambanaji, Wakati tunazidi kuhesabu siku za mwaka huu 2011 kuna mambo kadha wa kadha ambayo watanzania wanayazungumza , watanzania wengi ukiacha wale wenye nacho huwa na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
The Evolution of CCM and Then Spot the Differences
0 Reactions
1 Replies
913 Views
WANAJAMVI: Hii ya Jenerali safari hii ni kali kweli kweli – kwani sikioni kisicho cha ukweli kuhusu sisi Waafrika. Tangu zama tulionewa sana -- utumwa, kutawaliwa, na sasa tunendeleza...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Tanzania: Kikwete Calls for United Stand Against Extremism Orton Kiishweko AS the 9th Annual Langkawi International Dialogue (LID) in Malaysia recently illustrated, more leaders are eager to...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Kwa Mwaka wa Fedha wa 2011/2012 ni zaidi ya shilingi bilioni 80 wakati ambapo Serikali "haipeleki" fedha yoyote kwenye shule zetu za Sekondari kama CAPITATION GRANTS kwa ajili ya kuendesha shule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
sita kuwambia wabunge wanaopinga kulipwa posho kwa wajibu ambao ni wao umejipalia moto nani atakusaidia kuuzima ,mwanzo nilidhani kuwa unafaa kuwa kiongozi ila kwa leo mchana bungeni ndo...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
anawachana wabunge na mawaziri kwa kutibiwa hospitali nzuri huku wananchi wakiwa hoiii
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Na Jabir Idrissa - Imechapwa 06 July 2011 Kalamu ya Jabir KATIKA mazingira ya mfungamano wa kiutendaji uliopo ndani ya Jamhuri ya Muungano imekuwa vigumu Zanzibar kujizongoa na kile...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Zikiwa zimebaki siku 8 tangu ROSTAM, LOWASA NA CHENGE kupewa siku 90 na CCM ikiongozwa na mwenyekiti wa itikadi na uenezi Ndg NAPE NNAUYE kujiondoa wenyewe, mambo yamekuwa tofauti na CCM...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
*Makamanda wa shughuli waanza kurudi nyuma *Siku 90 zayeyuka, kikao NEC maswali magumu Na Tumaini Makene WAKATI Watanzania wakisubiri kwa hamu kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Written by zamko // 11/07/2011 // Habari // 9 Comments Asalam-alaikhum ndugu wazanzibari wa ndani na nje ya Nchi yetu tukufu ya Zanzibar. ama sina mengi yakusema ila kumshukuru (AS) kwakutupa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
It will now cost more for foreign workers and firms seeking an opening in Tanzania. Investors and local businessmen will, too, be required to pay nearly double the current cost to hire foreign...
0 Reactions
1 Replies
951 Views
  • Closed
Katika facebook wall yake, Zito Kabwe amelilaumu gazeti la Tanzania daima kwa kuandika habari inayohusu Zitto kujengwa na Kikwete. Binafsi sina shida na lawama alizolitupia gazeti, kwa kuwa...
0 Reactions
352 Replies
24K Views
Leo asubuhi nimepitia pale Ubungo stand ya mkoa na kukuta hali ya giza ambayo sikuamini kabisa kwani kama nchi iliyopata uhuru miaka 50 iliyopita leo stand yetu kuu inakosa hata taa (Umeme) na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
DRC transport infrastructure needs more investment focus By: Natasha Odendaal 8th July 2011 Source: MiningWeekly The Democratic Republic of Congo's (DRC's) increasing copper and cobalt...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Maalim Seif Sharif Ahmad, anaonge anaelezea habari za Zanzibar, na CUF, CCM, zilivyounda serikali ya umoja wa kitaifa
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana jf taarifa nilizozipata kutoka Urusi ni, Wanafunzi watanzania waliohitimu shahada zao mwaka huu(june 2011) katika chuo kikuu cha urafiki(Lumumba)nchini Urusi chini ya udhamini wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Drama iendeleeeeeeee hakika muda utasema,"WHAT GOES AROUND COMES AROUND",STRATEGY NZURI KAMA INGETUMIKA HIVYO KWA WABONGO KITAANI,HAKIKA WANGEFANIKIWA,NI LAHISI SANA KUZIDANGANYA AKILI ZA WASOMI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Monday, July 11, 2011, 7:18 Habari kuu, Mtanzania *Ni Tundu Lissu na John Mnyika *Wawapeleka puta mawaziri "Waondoa shilingi, CCM wawazidi ujanja Na Waandishi Wetu, Dodoma WABUNGE wa Chama cha...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Bungeni Jioni Hii….Giza haliondoi kivuli. Herbet Mtangi… Ukisimama na kivuli kinasimama, Kivuli hakifukuzi mwanga bali kinafuata Mwanga. Hivyo giza haliondoi kivuli Bajeti mbadala ya upinzani...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Back
Top Bottom