Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Vyama Vya Siasa Msingi Wa Ujenzi Wa Vijana Wenye Uchungu Wa Kuchuma? Vyama vya Siasa ndio msingi wa ujenzi wa vijana ambao ndio viongozi wa Taifa la leo na kesho.Kwa mfumo wa mbio za vijiti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hali ya hewa ndani ya vyama vikuu hivi wili kuelekea uchaguzi wa 2015, c mzuri. Huku ccm wakipambana na lowassa anayetaka urais kwa udi na uvumba na akielekea kupata sapoti na kuwaachia NAPE NA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Written by Nassor20 // 11/07/2011 // Habari // 6 Comments WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wameitaka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuwasilisha mswaada wa sheria ya kuanzisha Shirika la maendeleo...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Kujivua gamba CCM hatihati *Makamanda wa shughuli waanza kurudi nyuma *Siku 90 zayeyuka, kikao NEC maswali magumu Na Tumaini Makene Majira WAKATI Watanzania wakisubiri kwa hamu kikao cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Je huu si ufisadi pia? Makampuni ya cm yanatumia nyimbo za wasanii kwa wateja wao maarufu kama caller tone na kuwatoza wateja kiasi fulani cha pesa,swali langu ni hili je wasanii wenye nyimbo...
0 Reactions
4 Replies
987 Views
Leo asubuhi hii (Morning Magic-MagicFM) waziri wa michezo Nchimbi kapigiwa simu, kaulizwa inakuwaje juzi uwanjani neti(nyavu) ilikatika ikabidi ifungwe katani(ilichukua zaidi ya dk 5 kufunga...
0 Reactions
85 Replies
8K Views
Wakuu kati ya CUF; CCM, TLP, NCCR MAGEUZI na Chadema ni chama kipi chenye mawazo bora na yanayotekelezeka..... Kwa CCM ni kipi bora walichotufanyia?, Kwenye kupiga Kura je inafaa kuwe na BOX la...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Zanzibar Kuanzisha Shirika Lake La Ndege. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imesema iko mbioni kuanzisha shirika lake la ndege, badala ya kuendelea kutegemea mashirika ya nje, jambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndio Tanzania imekufa kiuchumi na kijamii na kisiasa. Ufisadi umeshamiri na mafisadi wametamalaki. Kiongozi mkuu wa nchi hana habari na watanzania? Hakuna wa kumuuliza au kumhoji Raisi, Bunge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naombeni mnisadie kujua kuwa mbunge wa jimbo la Rorya, Mh. Lameck Okambo Airo (CCM) yuko bungeni Dodoma au yuko wapi? Na kama yuko bungeni anafanya nini kwani hajaongea hata siku moja pale...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau wenzangu hapa JF! nimekuwa najiuliza hi swali sana, kuwa ni nini kitatokea baada ya Zanzibar kuwa huru? nimejiuliza sana hilo swali kwakuwa znz inaunganiswa na visiwa vikubwa vya Unguja na...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndugu zangu nafikiri kuna kulaumu serikali kulikozidi,wananchi pia tuna wajibu wa kutenda na kuisaidia serikali,mfano katika suala la umeme je wahandisi umeme wa nchi nzima wakijitolea kutafuta...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Tunaelekea miaka 50 toka uhuru wa Taifa letu pendwa Tanganyika. Kwa faida ya kumbukumbu kwa sisi wa vizazi vya hapa karibuni na vile vijavyo, nakaribisha wakongwe na vijana kuchangia maada tajwa...
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Chama cha mapinduzi kina mapacha yanayotakiwa kuvuliwa magamba kwa kifupi yanajulikana kama RACHEL na ndani ya Chadema kuna mapacha yanayojulikana kama SHIKA ambayo nayo yanatakuja kuvuliwa hivi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi wajumbe wa baraza la wawakilishi na viongozi wa juu wa Zanzibar wanakula viapo gani kabla ya kushika madaraka?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tafadhali nawaomba viongozi wa Chadema hekima ya hali ya juu itumike kulimaliza tatizo la Shibuda. Nawaomba msikurupuke. Najua alifanya makosa kwenda na msimamo wa chama, lakini kwa vile Chadema...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Na Mabere Marando, GAZETI la Citizen la 20 Aprili 2011, lilichapisha makala ya Ayub Rioba, ikimsifu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilson Mukama, kwamba ni mtu mwenye uwezo wa kukifufua...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
TANZANIA YA MIAKA IPATAYO KUMI NA SITA SASA IMEJAALIWA KUWA NA VIONGOZI, WANASIASA NA WATAWALA MAJEURI!!! Wanajibu watakavyo kana kwamba wale wanaojibiwa sio waliowaweka madarakani pindi...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Wanajamii wenzangu kama kweli itakuja itokee mapacha wafukuzwe ndani ya uzima kama tunavyohubiriwa. Amini mimi siku hiyo nitatafuta choo cha shimo nijidumbukize humo, maana mara imekuwa sio siku...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Tunapoendelea kutafakari miaka hamsini ya Uhuru wa Tanzania bara hatuna budi kupitia mojawapo ya kurasa nyeti sana za taifa letu - uamuzi wa kuondokana na mfumo wa vyama vingi na kuwa rasmi nchi...
5 Reactions
92 Replies
8K Views
Back
Top Bottom