Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hivi, ile jana wakati tunajadili kitu muhimu kama hiki, kuna mtu mmoja anaitwa Mkandara, alikuja akatoa kaushauri kuwa hii mada haifai, hivi haifai kweli? We need to discuss this matter kusema...
2 Reactions
247 Replies
20K Views
Nape Mnauye baada ya kupewa jukumu la kuwa katibu mwenezi alianza kazi kwa moto na nguvu nyingi za soda huku akiamini anaweza kurudisha imani na taswira ya matumaini kwa chama chake, imani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Copied here fairly....THANKS TO SIKIKA It may be too late though... I am disappointed to say that kamati ya bunge ya huduma za jamii haikufanya kazi na iliegemea kwenye personal expectations...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi karibuni tumeshuhudia mijadala mbalimbali ya bageti ikiendelea bungeni. kitu cha kushangaza wabunge wengi wameonekana wakiwasahau wapiga kura wao na kujita ktk kutetea maslahi yao. Wabunge...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
CCM bila ufisadi inawezekana. Maneno hayo yalisemwa na Nnape akiongea na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. Austine Mtwara. Aliwaeleza vijana hao kuwa historia ya chama chetu ni kuwatetea wakulima na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ktk picha hii (kwa hisani ya Mjengwa), wabunge wa bunge la JMT wakipata kifungua kinywa leo asubuhi, uwanja wa ndege JKNIA DSM baada ya kutoka Malaysia kuichunguza na kubaini uwezo wa kampuni...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Siku za hivi karibuni kumekuwa na kundi kubwa la watu waliojipambanua kuwa wao ni wakosoaji wa Nyerere na hata baadhi yao wamethubutu kumwita dikteta ingawaje kwa miaka mingi Nyerere amekuwa...
0 Reactions
170 Replies
15K Views
ndugu wa Tz wenzangu ivi ni kwa nini kwenye ile picha inayoonyesha jinsi Tanganyika na Zanzibar walivyoungana ina picha ya kiongozi wa upande mmoja ie Nyerere akichanganya udongo bila kuwepo mzee...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nami nashika kalamu, namuandikia mjomba, Kusema tena sina hamu, sasa nataka kuimba, Nayosema ni muhimu, sio kwamba mimi natamba, MJOMBA JAMANI MJOMBA, SIKIA HAYA MJOMBA..!X 2 Mpoto kaianza zamu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Bleak future as power crisis expected to worsen By Florian Kaijage 10th July 2011 As the country continues to suffer unprecedented 12 - hour a day power rationing, it has emerged that the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katibu wa TLP taifa ametimuliwa kazi leo na Mwenyekiti wa chama hicho mh. Mrema. Source: ITV habari
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Britain to launch public inquiry into $40m payment Posted Sunday, July 10 2011 at 10:55 THE EAST AFRICAN Britain is to begin a public inquiry into the $40 million BAE Systems compensation to...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Ndugu wana Jf nimefikiria na nikaona kuwa kabla hujazungumzia upinzani, Serikali na CCM vinachuana sana. Waziri wa Utawala bora Ofisi ya Rais Mathias Chikawe amemsafisha Chenge lakini kauli ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wahisani waikomalia serikali Na Jacob Daffi - Imechapwa 06 July 2011 Mwanahalisi WAFADHILI wa serikali wameonyesha kuwa hawatatoa fedha kwenye bajeti ya taifa hadi watakapokuwa wamepata maelezo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shukrani kwa mwanakijiji hili song la kitambo kidogo, Nimeweka ili wadau mjikumbushe na wasio kuwa nalo wawe nalo!!.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Friday, July 8, 2011, 11:05 Habari kuu, Mtanzania *Mbunge wa Ubungo hajui kwanini ulianzishwa *Lissu asema haukuridhiwa na Wazanzibari wote *Adai Mwalimu Nyerere alimzidi ujanja Karume *Mnyaa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu watanzania wenzangu, nimeona nijitokeze hadharani na kuiweka wazi nia yangu ya kugombea urais wa zanzibar kupitia CUF. Nimeshawishika kugombea urais wa zanzibar ili kutekeleza yafuatayo: 1...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Aliwahi kushika nyadhifa kadhaa kwenye chama cha wananchi (cuf) na hata kuwahi kuwa mkuu wa kambi ya upinzani bungeni (kama kumbukumbu zangu ziko sawa). Kukatokea mtafaruku cuf, akavuliwa wadhifa...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
- Salaam wananchi wenzangu, kuelekea uchaguzi wa 2015 ni muhimu sana wananchi tukaanza sasa kujadili wanaotufaa kwenye nafasi za uongozi wa juu yaani Rais na Mawaziri, na sababu; wasiotufaa pia...
6 Reactions
207 Replies
13K Views
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema tofauti ya kipato kati ya matajiri na masikini, rushwa na ufisadi vinatishia mustakabali wa amani nchini na kusisitiza kuwa mafisadi ndani ya CCM...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom