Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
RAIS Jakaya Kikwete, ama ameshindwa au amekataa kujibu tuhuma za swahiba wake, kwamba serikali yake inaumwa ugonjwa wa kutofanya maamuzi magumu, MwanaHALISI limeelezwa. Siku 13 tangu tuhuma hizo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ki-Ukweli Cheo/nafasi/kazi ya Ubunge ni nafasi nyeti, kadhalika ni fursa Adimu sana ya kuwatumikia wananchi wote Jimboni. Ukiwa na kazi kubwa ya kujitoa na kujituma katika kuwaelekeza wananchi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wabunge CCM, posho na kujivua gamba Friday, July 8, 2011, 8:24 Jamii yetu, Rai Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe ameleta songombingo kipindi hiki cha Bunge la Bajeti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WANAOTAKA tujipongeze kwa mafanikio ya Miaka 50 ya Uhuru kwanini wasijiulize: 'Hivi hizi mbio za uhuru na maendeleo si tulianza sawa na Malaysia, Korea Kusini, Indonesia na nchi nyingi tu za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasira alishambulia Mwananchi Send to a friend Thursday, 07 July 2011 11:16 0diggsdigg Leon Bahati, Dodoma WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, (Mahusiano na Uratibu) Stephen Wassira...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
CUF ni chama pekee hapa nchini kilichobahatika kupata viongozi wenye busara na upeo mkubwa wa kisiasa tokea 1992 mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa chama cha CUF kimeweza kufanya siasa za mikiki...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Mtu ukisikiliza vizuri kauli za wananchi unapata picha ya kuwa wananchi walio wengi hawana imani hata kidogo na vyombo vyote vya dola ikiwemo polisi, na kwa ujumla watumishi wote wa umma. Si hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakerwa sana na jinsi baadhi ya wabunge wanavyopoteza muda pindi wanapopewa nafasi ya kuchangia bungeni, utamsikia mbunge akizunguka zunguka bila sababu za msingi............. Asante sana Mh...
12 Reactions
22 Replies
2K Views
Thursday, 07 July 2011 22:59 By Sylivester Ernest, The Citizen Reporter Dar es Salaam. The Confederation of Tanzania Industries (CTI) yesterday differed with a statement made by President...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mada mgao wa umeme mpaka lini? msemaji wa tanesiko aingia mitini mkinga ndani ya nyumba
0 Reactions
101 Replies
7K Views
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta atakahimu nafasi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuongoza shughuli za Serikali bungeni kwa kuwa anatarajiwa kuondoka nchini wakati wowote kwenda...
3 Reactions
62 Replies
6K Views
WENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, amewashangaa baadhi ya viongozi wa chama hicho, akisema hawajituma, wamesahau wajibu wao na wanapenda anasa. Alisema tabia hiyo imejijenga kwa viongozi...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Kwa mtindo huu kazi tunayo: wenzetu hawa ndiyo wanaokuja kutukopa majumbani lakini jioni ya jana walionekana na furaha kuu eti wakikumbuka kuanzishwa kwa TANU, jamani huu siyo usaliti au wenzetu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba kabla ya kunijibu unisaidie hili kufikili kwa nn majimbo yenye wawakilishi wa cdm yana kero sana ya umeme na matatizo plz let us think for that
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Bahati mbaya tumekumbana na barua hizi ikabidi tuwashirikishe! ANGALIZO: Si lazima kuamini nyaraka hii, lakini si ya kupuuza hata chembe.
1 Reactions
417 Replies
34K Views
Katibu Mwenezi wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi Bw. Nape Nnauye ametajwa kama mlengwa wa waraka wa siri ambao unakituhumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa mpango wake wa kupinga...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Keep on turning the heater on them kwenye swala la Radar msikubali kabisa issue ya kwamba watapanga muda mzuri wa kulijadili swala la Radar huo ni uongo wamezidiwa wanataka muachie ili baadaye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ivi jamani unakuta cdm kama akina lissu,mnyika,zitto etc bungeni wanaongea mambo ya maana na kufikia kutoa shilingi hatiamae mwenyekiti anaishia kusema tupige kura.Wabunge wanajibu ndio au sio hii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Chama changu cha Mapinduzi, sasa umefikia wakati sina nguvu ya kukutetea. Matukio yanayoendelea sasa hivi ni kama mchezo wa kuigiza. Nilikutetea sana na dhana ya kuvua gamba, kwa kifua mbele...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
CCM imerejesha hesabu zao kwa msajili na msajili ameonya kuwa atakayechelewa hataruhusiwa kushiriki chaguzi zifuatazo hata zile ndogo. Vyama vingine kama cdm na cuf vimerejesha?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom