Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nameanza Kupata Kitambi nilichokuwa nakitafuta sana nionekane kama mheshimiwa Misosi Bab kubwa Kwa Offer hii ya Chef Pride Restaurant kuanzia saa nne Usiku kila siku kwani hii offer imekuwa ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nadhani hii ni ''biggest joke statement of the year from JK'' Anawaambia watendaji wake ''Nawashangaa viongozi/watendaji wangu wengi wa CCM wamejisahau, hawafanyi majukumu yao na wanaendekeza sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katibu Mwenezi wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi Bw. Nape Nnauye ametajwa kama mlengwa wa waraka wa siri ambao unakituhumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa mpango wake wa kupinga...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Mwandishi Wetu 6 Jul 2011 MAJIBU ya wiki iliyopita ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda bungeni, yanaweza kuwa yamevuruga hoja ya waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna wale ambao siku zote inaposemwa kwambahistoria ya nchi imepindishwa wanakuja juu kuitetea CCM kwamba haikuipindisha popote. Humu JF wamejaa wengi wa aina hiyo Aina hii ndio wale ambao CCM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gazeti la mtanzania la leo tarehe 8/7/2011 front page kuna maoni kuwa Dr.Slaa hamtendei haki Andrew chenge. Sasa sijaelewa hawa mtanzania wana nia gani? Sijui wanajamvi mnalionaje hili swala,au...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
nawashangaa sana ccm wanavoteseka na mtandao wa chadema. hivi katika dunia hii unaweza vipi kuvunja mtandao?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Mwanza, Francis Mkambenga, alisema hali ilikuwa tete na kwamba operesheni hiyo ilikuwa imepangwa kwa ajili ya kuwaondoa machinga katika eneo hilo la msikiti na...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
DILA ndio njia mwelekeo na mwongozo wa lolote lile tunalolitenda.Hata vijijini walikotoka wazazi wetu,kabla ya utekelezaji wazee wanakaa wanatoa mwelekeo kuwa jambo hilo lifanyike kwa namna hii na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuanzia saa 2 hii asubuhi kumezuka mapigano kati ya police na machinga maeneo ya katikati ya jiji watu wanakimbizwa huku na kule. Maduka yamefungwa, sokoni hakuendeki! Watu watano wameripotiwa...
7 Reactions
263 Replies
30K Views
Ukimaliza kusoma hii article utazidi kujua jinsi gani wasomi wa Afrika kweli ni mitihani tupu, Africa yangu hii S.Africa urged to put squeeze on Swazi king Thu Jul 7, 2011 3:30pm GMT...
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Gazeti la Tanzania Daima la leo linatutaarifu ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru Dr. Hosea ameitikisa Ikulu baada ya kubainika aliongea na Shushushu wa Marekani juu ya JK kuwa ni kikwazo cha...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Na Restuta James Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imependekeza kuundwa kwa serikali tatu; ya Muungano, Tanganyika na Zanzibar, ili kuondoa hisia za upande mmoja wa Muungano kunyonywa pamoja na...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
* It is fascinationg the ruling party for the case of it being valuable and respected they go back to embrace TANU and trying to Correct their Meany Demenor by Embracing Tanu the Party which was...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Niliposoma heading hii kwenye gazeti moja nilifurahi sana nikajua rais wangu umeanza kuziona kero za wananchi wako, cha ajabu niliposoma habari yake nikagundua ulikuwa huwaambii watanzania ulikuwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu . Usiku huu nime bahatika kusema na mkubwa mmoja huko serikalini akiwa amechukia aliitwa kwenda kwenye matukio ya mauaji ya Mwanza , ghafla wamesitisha safari .Nikamuuliza kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais huyu ni bora zaidi ya awamu zote.. 1.anaunganisha mikoa yoote ya tz kwa barabara zenye kiwango cha lami.. 2. hajayaonea aibu mafisadi anayashitaki... 3. Ni mvumilivu mnooo.. licha...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimeshtushwa na habari iliyo katika Mwanahalisi ya Leo Toleo namba 249 yenye Kichwa "Mzozo wa Lowassa na Pinda: Ni uamuzi Mgumu, Utapeli au ajali ya kisiasa?" Ukurasa wa 11. Nanukuu baadhi ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa wale wanaofuatilia sakata la Umeme, majina mawili mtakuwa mnayafahamu vizuri sana. January Makamba na William Ngeleja. William Ngeleja ni Waziri aliyeteuliwa na Rais JK, na January Makamba ni...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Ndugu zangu, kuna uwezekano mkubwa kwamba itakapofika kiangazi mwaka huu, Taifa letu linaweza kujikuta kwenye upungufu mkubwa wa chakula ambao siyo tu unatishia maisha ya watu wetu bali pia...
0 Reactions
235 Replies
26K Views
Back
Top Bottom