JK , Pinda na serikali ya CCM
Hivi mnaelewa kuborehs maisha ya watu sio lazima kila mtu afike Chuo kikuu au hata Form six.
Hivi mnajua sera bora ya michezo ikiwepo na ikitekelezwa itazalisha...
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
Ofisi ya Bunge imesema bado inaendelea kulifanyia kazi utetezi uliowasilishwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, (Chadema), la kudai...
Tunasherekea kumbukumbu ya kuzaliwa TANU chama kilichotupatia uhuru na sasa tupo na chama cha mapinduzi ccm iliyotupatia maendeleo mengi ya barabara,shule,hospital,maji,vyuo.ccm inayo mthamini...
Wakuu nimeshtushwa kidogo na huu mradi uliopewa jina kama Daraja la JK . Kinachonishtua ni gharama ya mradi huo
Bofya hapa kwa habari zaidi: Kikwete Ndoto yangu imetimia
RAIS Jakaya Kikwete...
nimevutiwa sana na kuonyeshwa kwenye taarifa la tbc matukio ya zamani maandamano makubwa ya kulaani mauaji ya karume. Tz tangia zamani tumekuwa tunafanya maandamano ya kuunga mkono au kupinga...
FACEBOOK: by William Malecela on Tuesday, July 5, 2011 at 8:40pm[/h]
@ NEW YORK CITY-US: The biggest political joke this week, ilikuwa ni ushauri wa maamuzi magumu kwa Serikali kwa Kiongozi...
Je kama Mungu akikujalia uzima na afya tele Novemba 2015 atakapo apishwa raisi mpya utajisikiaje? Je uta huzunika JK kuondoka? Je utafurahia yoyote yule kuingia ikulu ilimradi tu JK anaondoka? Au...
Hivi anaposema tupambane kuhusu maadui 3 wa Watz yaani UJINGA, MARADHI NA UMASIKINI...
Hivi nikweli mpaka leo Maadui ni watatu tu??Leo tuna matatizo ya RUSHWA, UFISADI, NJAA(Kwa kadri ya waziri...
Katika kipindi cha 45 minutes cha ITV leo jioni , mtoa mada alikuwa CD Msuya, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, enzi ya Mwalimu.
Kwa hakika amenikosha sana.
Bado ana data na current za...
TANZANIA imetajwa kama nchi yenye uchumi unaokuwa kwa kasi barani Afrika. Katika taarifa yake ya hivi karibuni, Tanzania na hadithi ya mabadiko Afrika, Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF)...
Ndugu zangu, tutafakari kidogo.
Kwa miaka mitano ya utawala wa JK, nchi yetu imekumbwa na balaa la hali ngumu sana ya maisha. Leo Watanzania tunakabiliwa na balaa kubwa la mfumuko wa bei katika...
Hii ni kauli aliyo itoa JP Magufuli jana huko Kigoma, Walianza kulumbana baada Mbunge wa CUF from Z'bar kusema CCM ni chama cha Mungu na kujiuliza, sijui ni Mungu huyu tunaye mwabudu wote au...
Niliwahi kumwabia rafiki yangu kuwa wewe ishabikie CCM nami naipinga ila watakaporudi madarakani sote tutaumia. Hakunielewa ingawaje ni graduate wa PSPA UDSM. Sikujua kwanini alikuwa na ata leo...
Mojawapo ya ukosoaji mkubwa wa wakati wa Nyerere ni kuwa "watu walikufa na njaa" na kuwa tulilazimika "kula yanga" na kupanga mistari kusubiri mgao - the infamous "duka la kaya". Ukiwasikiliza...
Naona simsikii sana siku hizi huyu mbunge wa zamani wa karatu. Yupo?
Ana mpango wa kugombea tena urais au atarudi karatu kuendelea na shughuli ya ubunge?
Mara nyingi tumewasikia viongozi wa CHADEMA wakisema kuwa wanakijenga chama na kukiandaa kushika dola baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa 2015, lakini hawasikiki wakielezea kwa msisitizo ulio sawa...
Taifa linajiandaa kusheherekea miaka 50 ya uhuru, kilele chake ni tarehe 09/12/2011. Mimi binafsi kwa haraka naona mafanikio mawili tu
1. Kiswahili kuwa lugha ya kutuunganisha.
2. Muungano [Ambao...
Ndg,wana jf kuna hatari kubwa ya kutokea mtafaruku kati ya wananchi ambao sehemu kubwa ni masikini japokuwa hakuna aliependa awe hivyo lakini kwa kuwa hali hiyo imesababishwa na chama cha magamba{...
Jana waziri wa Utumishi Management ya Umma Hawa Ghasia, jana kaituhumu Chadema mbele ya Bunge.
Kadai bajeti yenu ni tril 9, kwa mujibu wa Waziri Ghasia, mkilipa
mishahara ya wafanyakazi kima cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.