Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini (Chadema), alisema "mimi ni kiongozi wa Kanisa Katoliki, viongozi wanazungumzia udini na tuhuma kwa baadhi ya vyama vya siasa nashangaa hawachukui hatua.
Wewe ni...
WIZARA ya Nishati na Madini imeingia katika kashfa nzito ambapo baadhi ya maofisa wa wizara hiyo wanatuhumiwa kuwahonga baadhi ya wabunge katika Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kwa kile...
Nimekua nikizirekodi kauli na hotuba mbalimbali wanazozitoa wabunge wa CCM pamoja na viongozi wao. Na leo Bungeni ndo nimepata mambo mengi sana ambayo yataiua CCM kwa kasi zaidi 2015. Mwaka 2015...
nimeshangazwa sana na chama cha demokrasia na maendeleo chadema kwa upuuzi kinaoendelea nao huko Arusha je wanataka watu wafe ili wapate umaarufu au ndio upuuzi gani??mmekwisha ccm wamekwisha...
Ni jambo la kushangaza sana kuona wasomi na akili zao zote wanakubaliana na mambo yasiyokuwa na msingi yoyote kisa tu wako kishabiki zaidi ya kizalendo. CCM ni chama tu ambacho hakiwezi kudumu...
Siku zinapita na tunaona kazi za kikwete na huyu mtoto wa fisadi mwinyi bado wanashikilia nyadhifa za serikali bila ku-take any kind of rensibility au accountability kwake na bosi wake...
Tangu Serikali ya awamu ya nne ichukue madaraka mwaka 2005, kumekuwa na malalamiko yasiyoisha kwenye fasheni, kuwa Serikali hii inaogopa kuchukua maamuzi magumu.
Waandishi na wachambuzi...
Kama mtanzania, ninapitia bajeti ya serikali yetu na ninaona ina mapungufu mengi na ya msingi, nashangaa kuona wabunge 81 tu ndio walioweza kuona mapungufu hayo na kuipinga, wabunge 234...
Kwa wale walioangalia maadhimisho ya miaka 50 ya Utumishi wa umma mtakubaliana na mimi mh. waziri wa wizara hiyo lugha gongana. Mimi niliyekuwa namsikiliza hadi niliona aibu jinsi alivyotuaibisha...
Wana JF, hatua ya kwanza ya kuandika kwa BAE kupinga fedhaa hizi wasipewe serikali imekua ya mafanikio makubwa, hata wabunge walionde huko wamekiri (soma daily news online): Daily News | Chenge...
Napenda kufahamu wana jf,kuhusu hawa watumishi wa umma,wamepandishiwa mshahara kwa asilimia ngapi?
Story toka Raia Mwema:
Mishahara kupanda kwa zaidi ya asilimia 40!
WAKATI Bajeti ya Waziri wa...
Kwenye gazeti la Habarileo kuna taarifa kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe, Ismail Jussa Ladhu (CUF), ameitaka serikali ya Mapinduzi Zanzibar kujaza nafasi za viongozi watendaji katika ngazi...
Wanajamii Forums,
Natumaini hamjambo. Nilikuwa napitia Kanuni za ku operationalize Sheria ya Gharama za Uchaguzi, ( Elections Expenses Act, 2010), No. 4 of 2010 REGULATIONS, (made under section...
Mbunge Huyu naomba angesasidiwa wakalimani ili aweze kujieleza kwa Lugha yake maana Uwezo wake unatia mashaka hadi Spika na Wenyeviti hupata shida kumuelewa kama anachangia au anauliza swali!
Kwa mwenendo huu wa bunge naona ndio mwisho wa CCM.
Chanzo kikuu cha CCM kutofanya vizuri 2010 kinaanzia kwenye bunge la 2007 wakati wa hoja ya Zitto kuhusus mkataba wa Buzwagi kusainiwa London...
Nakubali, kijana ana uwezo mkubwa sana wa kifikra, lakini Napenda Kuuliza, huyu kijana ana uzalendo au ni mchochezi. Mnajua wawekezaji ndio chanzo cha maendeleo yetu, lakini anavyowapinga, mtu...
WanaJF Wasalaam,
Baada ya kimya kirefu na kufuatilia mijadala ya bunge letu, maoni ya wanajf na wadau wengine wa siasa leo nimelazimika kuja na hii hoja ambayo kimsingi nahitaji kuona michango...
Wakati Tundu Lissu anaendelea kuelezea udhaifu wa TAKUKURU na madhambi ambayo serikali inafanya bila kung'ata ng'ata maneno na huyo mgeni mwingine kutoka TAKUKURU kujiona hana maneno, mara ghafla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.