Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mheshimiwa Kombo Hamisi Kombo pale akichangia hoja ya maswala ya muungano amepewa taarifa ya kwa nini rais wa muungano hatoki Zanzibar pale alipodai kuwa zanzibar haijapata raisi tangu Mwinyi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukifanya tathimini ya haraka uragundua kuwa pinda ndie waziri mkuu anayeongoza kwa kuliongopea bunge kwa kutoa taarifa zisizo na uhakika, mfano alivyozungumzia mauaji ya Arusha na Spika kumlinda...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
5 July 2011 Dar es Salaam - My column, going by the above title last week, evoked the following response from a reader working with a donor organization; and I quote:"Professor, I follow this...
1 Reactions
3 Replies
882 Views
Naibu waziri wa mambo ya ndani amekanusha habari za watu kuuwawa katika mgogoro wa machinga na mgambo. chanzo tbc habari saa 2000hrs
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wana jukwaa, binafsi napenda nieleze dukuduku langu linalonisumbua sana sana! tunao wawekezaji nchi hii ambao wamekuwa wakinyanyasa raia na hata kutukana viongozi wetu tena hadharani na wazi...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Nimesikitishwa sana na kitendo cha Mbunge anayejipambanua kama mcha Mungu, msomi na mwakilishi wa mama zetu Mkoa wa mbeya kwa tabia za udokozi na wizi. Mimi naamini maadii yamefutika kabisa ccm na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
THE Tanzania economy recorded relatively good economic growth over the last decade; but it could have done much better than that...A new study on Dar's investment climate indicates that the...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Wakuu, Kama mnavyokumbuka kulikuwa na mdau hapa alikuwa anatuhamasisha kwa nia njema kabisa ya kuishawishi BAE system juu ya kutozihalalisha pesa zetu kwa serikali ya kisanii ya Rais msanii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbunge wa CCM jimbo la Kisarawe Bw. Selemani Jafo akizungumza leo bungeni kwa hisia kali ameitaka serikali kutoa maelezo ya kuridhisha na kuyarudisha mafuvu mawili iliyoyachukua ili yazikwe, pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hayumkini ni nadra sana kwa mtu mwenye akili timamu ukiambiwa hatari inakuja huwezi kuwa kama tomaso ambaye mpaka aliposhika ndo akasadiki hakika huyo alikuwa Masihi. Taifa la leo hatuhitaji...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Mohamed Raza The government has been challenged to make sure that all key issues of the union, including areas of contention, are included in the new constitution review process for fruitful...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
...........Tangu bunge la bajeti lilipoanza nilikuwa nasubiri kwa hamu bajeti ya wizara ya utumishi wa umma,na jana bila kusita wala kuona aibu waziri wetu ambaye natilia shaka uwezo wake wa kuwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mtu mzima kashahama chama......unafanya mchezo nini!!!!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
KUSEMA NI KUSEMA HATA KAMA HAWATATEKELEZA KWA UKAMILIFU WOGA UTAKUWEPO NA , TUTAWAHUKUMU KWA HANSARD.. NATOA RAI TUKIFIKIA WAKATI WA BAJETI YA WIZARA YA HABARI BASI TUULIZE NI KWANINI MAGAZETI YA...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Watanzania wenzangu, nashauri tuanzishe utaratibu wa form za kiapo kwa wagombea woote, hasa wagombea wa nafasi ya urais na ubunge. Ahadi zote watakozozitoa majukwaani tunasema "OK FINE BUT PUT...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais ajaye atakuna nyoyo zetu kwea kuikabili rushwa vilivyo? Rushwa ni donda ndugu, na ni kansa inayotisha kwa sasa nchini Tanzania tunafikiri ya kuwa watu wote waliobainika kujihusisha na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tumekuwa na tarbia na sasa naona imekuwa kama ada kwa kiongozi wa Tanzania Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuzungumza na wananchi wake kila inapofikia mwisho wa mwezi kwa nia ya kutoa ufafanuzi wa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Nilifurahishwa na makala ya Mabala gazeti laMwananchi la Jumapili. Mojawapo yahoja alizotoa ni kuhusu posho wanazopewa waheshimiwa je katika hali waloyonayo Watanzania tuendelee kutoa posho kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo Bajeti ya Ofisi ya Rais, imepita! Hata hivyo ilikuwa wazi kwamba ingepita. Ni kupoteza fedha za walipakodi kujadili "Ndiyo". Mnyika,Lisu na wengine wamejitahidi kuondoa Shilingi, kwa hoja...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ili tuweze kuwachukulia serious watawala wetu na hasa wabunge wetu kwenye suala la rada wakati umefika kwa Wabunge wote kukubaliana kuunda Kamati Teule ya Bunge ambayo itafanya uchunguzi wa wazi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom