Ktk MAKADIRIO YA MATUMIZI YA OFISI YA RAISI, mbunge viti maalumu CCM Mh.Munde Tambwe Abdala amesema wikiliksi walisema uongo kuwa TAKUKURU Inashindwa kuwakamata wala rushwa wakubwa sababu raisi...
jamani tuwe wakweli, kwa wanaofuatilia bunge wanakubali kuwa wabunge wa chadema ndio watetezi wakubwa wa watanzania. sio kwamba watz hawaoni kuwa tatizo lao ni namba tu. kuna mwanamagamba ninae...
habari za jioni ndugu zangu ,naangalia kikao cha bajeti sasa hivi ,jamani serikali ya ccm imefika pabaya watuachie nchi yetu sasa inatosha sasa,kwa maamuzi wanayopitisha hatuna wabunge ndani ya...
MBUNGE wa vunjo augustine mreme ameendalea kudai maslahi yake ambaye anadai kutokana na nafasi yake naibu waziri mkuu aliyowahi kishika miaka ya tisini. Mrema anasema hakufukuzwa hazi hivyo...
Wana jamii naomba kuelewa the action taken by makinda on zitto's issue.Naona iko kimya au ni kama Lema alivothibitisha then ikawekwa kapuni!Wenye information please welcome.
Ni wakati wa kupitisha vifungu vya wizara ya hawa ghasia . ambopo Mbunge Lisu akuridhika na majibu mepesi ya waziri Chikawe aliyekuwa anamjibu lisu kwenye issue ya Rada na takukuru kwa niaba ya...
Inasikitisha sana bungeni pale mheshimiwa Tundu lisu anapotoa hoja zenye ukweli kuhusu mambo ya Rushwa lakini anapingwa kutokana na uwingi wa wabunge wa CCM.
Binafsi sidhani kama hii voting...
Nimetafakari sana na kuona tunahitaji kikosi kazi kitakacho mshauri Rais jinsi ya kulivusha Taifa,katika kipindi hiki kinachohitaji busara kubwa sana.kwani Siku za nyuma Watanzania walipopita...
Written by makame silima // 05/07/2011 // Habari // No comments
Mwenye raha amjali mwenye shida
Mimi nimefuatilia sana ktk vikao vyetu vya ndani vya Baraza la wajumbe wa Uwakilishi na kumalizia...
Ni sawa pesa ya rada ilichukuliwa serikalini tunakubali, lakini serikali haina duka wala shamba. Chanzo cha pesa za rada ni kodi za wananchi. Serikali ilipewa dhamana ya kuongoza matumizi sahihi...
Ni kijana Mdogo aliemaliza Chuo kIkuu cha Tunguu Unguja hIvi juzi na kuombwa kugombea Ubunge.
Pombe alikuwa haijui. nini lkn sasa baada ya kuingia Jengoni na marupupu kidekide anakunywa hadi...
Japo mimi ni kipenzi kikubwa cha hotuba za baba wa taifa hasa pale alipokuwa anajaribu kutumia lugha nyepesi nyepesi kuzima mambo makubwa yaliyokuwa yanatishia amani ya nchi kwa umakini mkubwa...
Jamani, mi nimezaliwa nkakuta wabunge, madiwani na kwa hali ya juu mawaziri na rais wakiitwa waheshimiwa. Napenda nijue kuna hadhabu gani ya kisheria au kikanuni iwapo ntamwita kwa jina lake?
Mi...
Mnyika amemjia juu Rais Kikwete na ikulu kuwa ndio chanzo cha mapungufu yote katika serikali. Akichangia bajeti ya hotuba ya ofisi ya rais amesema katiba imempa mamlaka makubwa na watumishi wote...
Ijumaa iliyopita Waziri Mkuu Pinda katika hotuba ya majumlisho ya bajeti ya wizara yake alisema moja ya maamuzi magumu ya serikali ya awamu ya nne ni kuvunja baraza la mawaziri lililotokana na...
Hizi ndizo sifa zimfaazo mfuasi na mwanachama wa CCM
1. Kuwa mtumwa wa mawazo (akili ya kushikiwa)
2. Uwe unalamba miguu ya mafisadi
3. Ujifanye kama huoni matatizo ya watanzania (umeme, foleni...
Dah yule mbunge(CCM)ni mtu mzima kwelikweli...
Kasema mshahara wake wa kwanza 1970's ulikuwa 1200, alinunua kitanda, radio na sofa kwa ajili ya kumkaribisha GF(girlfriend) wake!!
Huyu ndie...
Salaam wana JF,
Jamani mimi nimekuwa nikiangalia vikao mbalimbali vya Bunge Letu, kugundua Mapungufu Mengi yanayohusiana na mabo ya sheria na Jinsi ya kutafsiri sheria, tatizo ambalo limepelekea...
Kwa upande wake, Rais Kikwete alisema kuwa wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini wamemchagua Zitto kuwa mbunge wao, lakini pamoja na hilo Zitto hana serikali, bali Serikali ni ya Chama Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.