Hatimaye CCM imefika mwisho baada ya kuchukiwa na watu wa kada zote kufuatia tatizo kubwa la umeme linaloikabili nchi. Watu wa rika, kada, kabila na dini zote hivi sasa wanajuta kuipa kura CCM na...
Ndugu wana jf na imani kuwa wote humu ndani tuna akili timamu hakuna punguani hapa jamvini wa kubisha kuwa Nape Nauye ni mwarobaini wa sumu anayomwaga Dr slaa look ushahidi wa wazi ni jinsi Nape...
hatuhitaji kusifia vyombo na taasisi za serikari zinazofanya kazi kwa mashinikizo, bali si kwa mazingira halisi.
Tunahitaji maelezo ya kina kuhusu richmond, epa na zingine.
Kumekuwa na mwenge wa uhuru unaokimbizwa mikoa yote ,kuzindua miradi mbalimbali ambayo mwishoni ni mibovu,ubadhirifu na ufujaji wa mali ya umma imegundulika ndani ya miradi hiyo mfano shule,visima...
Je utaratibu huu wa mbunge kabla ya kutoa mchango wake anakuwa na orodha ndefu ya watu wa kuwapa shukrani, nashukuru mtoto wangu mdogo, nashukuru bla bla.
Je haya ndiyo mambo wananchi wanahitaji...
Naamin una watumishi wengi wa umma hawapendi mambo fulani yanavyokwenda au yanavyopelekeshwa. lakini tatizo linakuja ushirikishwaji wa fanyakazi nao ni finyu. Serikali inajiweka kwenye Risk kubwa...
Ni zaidi ya wiki mbili sasa tangu mwafaka wa arusha upitishwe na madiwani wa chadema na ccm,Diwani wa Levolosi kamanda Nanyaro amejipambanua kuwa mzalendo,na mpigania haki wa ukweli,kwa kupingana...
ccm na selikali yake wachukuwa maamzi magum mgawo umeme unawaka masa2 giza masa22 kasi mpya kufa hatufi chamoto tutakiona hadi 2015 watalegeza mgao tukiwapa kula mambo yanaendelea kama kawaida yao
Huwa nashangazwa na viongozi wetu, wanapokuwa madarakani hawaoni hali mbaya ya wananchi. Lakini wanapoastaafu wanaanza kugundua kuwa hali ya wananchi ni mbaya, rejea kauli ya Lowassa, Mkapa...
Nakumbuka wakati wa May Mosi, JK aliahidi kuongeza mishahara ya wafanyakazi katika mwaka huu wa fedha. Wakati huo huo tayari waziri wa elimu naye alishaahidi kuongeza pesa za mikopo kwa wanafunzi...
Taarifa ya serikali kuwalipa fidia wafugaji wa Longido, Monduli, na maeneo mengine ya mkoa wa Manyara ni kielelezo kingine kuwa uchaguzi ulitakiwa ufanyike tena mwakani, ili tupate serikali...
Hivi jamani embu tuulizane kwa kirefu kuhusu mafirst lady wa mapresident wetu huku Afrika, hivi kweli wanajua wajibu wao? wanatekeleza au ndiyo kazi kuwapigia kampeni waume zao tu? tena nasikia...
Hayo yamesemwa na Mh.Tundu Lissu bungeni muda mfupi ingawa kwa uzalishaji madini ndio sehemu ya nne kwa Uzalishaji madini barani Africa je wanapaswa kama inavyostahili wananchi wa eneo hilo...
Ndugu wanajamvi, wiki iliyopita mmoja wa wabunge toka chama cha CUF wa jimbo moja la kusini. Katika kuchangia hotuba ya Waziri Mkuu mbunge huyo alisema inaonekana bila shaka kwamba mauaji ya...
WanaJF:
Sasa ni wazi kabisa umaarufu wa CCM umeanza kupungua kwa kiasi cha kutisha kiasi kwamba hata zile shughuli za kitaifa zinalazimishwa kuwa ni za CCM. Leo hii JK alifungua barabara ya 60km...
Minael Msuya
CHAMA cha Wananchi CUF, kimemshauri Rais Jakaya Kikwete kuacha kupoteza muda mwingi kwenda nje ya nchi kutafuta wawekezaji na badala yake atafute uvumbuzi wa tatizo la umeme.
Kwa...
Watanzania hatutosahau miaka 10 ya awamu ya nne ya rais JK. Katika awamu yake ndipo tumeshuhudia mateso makubwa kwa watanzania yaliyotokana na ufisadi. EPA, RICHMOND,DOWANS nk. Ni miongoni mwa...
Inauma na kusikitisha pale Watanzania tunapo jitenga katika makundi mbali mbali kwa kusudi la kufaidisha wachache badala ya kuendeleza taifa kwa pamoja. Kuna makundi mbali mbali yanatumia tofauti...
Ndugu wana JF
Naomba niwasihi chadema kuwa Mh Shibuda atakivuruga chama ni heri kumuondoa mapema na walifanya kosa kumchukua sasa.
Upande mwingine swali kwa chadema je hizi posho mlikubaliana...
Wengi wetu hatujui kilichopo nyuma ya pazia la Jumuiya ya Africa Mashariki. Laiti tungejua tusingeridhia kuuza nchi yetu kwa wageni.
Huu ni mpango mahsusi wa wakenya ambao ndio nchi yenye uchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.