Sasa imekubalika kuwa wengi wa wana JF hawaipendi CCM (na haimaanishi kuwa wote in turn ni wana CHADEMA kama inavyodhaniwa). Kutokana na hili wamekuwa wakiiandama serikali ya CCM kiasi kwamba...
Napenda Waheshimiwa Wabunge wetu watambue kuwa kama wakiamua kwa kushirikiana na Serikali tunaweza kabisa na ndani ya muda wa kati kuifanya nchi yetu kuwa tofauti kabisa na ilivyo sasa.
Kutokana...
Kufuatia tamko la CUF dhidi ya serikali kwamba hata kama bwawa litakuwa limefurika bado kutakuwa na mgawo wa umeme. Serikali/TANESCO inatakiwa waoneshe kuwa maneno hayo ni uongo kwa kutoendeleza...
nimevutiwa sana na discussion ya CV ya spika. La msingi hapa tujiulize ni kwamba usomi wetu umesaidia nini. Angalia sokione, mrema na kawawa walikuwa statemen. Lakini wasomi wetu ni bure kabisa...
SOURCEsOURCE bUSINESS tIMESDate: Fri, 24 Jun 2011 17:09:20 +0100
Subject: Legitimacy crisis mounting over Tanzania's undisciplined regime (BT)
Written by Times Reporter
Friday, 24 June 2011...
Ndugu wanajamii forum, ni nafasi nyingine tena ya pekee kuweza kuongea nanyi kuhusu maswala ya taifa letu ambalo tuseme ndiyo maisha yatakayoongoza vizazi vyote.
Nchi yetu tangu Mwalimu...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, leo imethibitika kuwa Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu hajui majukumu yake kwa sababu kwa mujibu wa Tangazo la Serikali analotoa Rais baada ya...
kwa kuzingatia kuwa serikali ya kikwete hakuna cha maana ilicho kifanya ambacho kinawagusa wananchi moja kwa moja , imeibuka na mkakati wa kuzunguka nchi nzima kuwalazimisaha wanachi waamini...
1. jatropha in gambia
December 12, 2010 THE PROMOTION OF GROWING JATROPHA IS GOING WELL Posted by jatrophagambia under 1, Help needed, Press No Comments Over the last weeks so much has...
Habarin wanajamii wenzangu mwenzenu nmekerwa na kitendo cha mh shibuda mbunge wa maswa kwa tiketi ya chadema kutounga mkono sera ya chama chake kuhusu posho kwangu mm namwona kama msaliti...
kama shibuda ni bakuli tupu kabisa. watanzania hatuhitaji misemo wala nahau zake. kama anataka nahau aende kwenye chama cha mwana-nahau mwenzake kikwete wakapige porojo za misemo:
ukitaka kula...
Kuna mengi yanasemwa kuhusu spika makinda kwa kuonyesha upendeleo wa wazi na dhati kwa serikali na chama tawala(CCM). Lakini la muhimu ni kufahamu kuwa spika makinda aliteuliwa kwa sifa zipi...
World Bank approves $59 mln infrastructure loan for Tanzania
DAR ES SALAAM, July 1 (Reuters) - The World Bank said on Friday it has approved additional financing of $59 million to support the...
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philip Mulugo amekanusha kuwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma hawabaguliwi kufuatana na itikadi zao za vyama. Alikuwa akijibu swali la nyongeza la...
Sunday, 03 July 2011 20:25
Raymond Kaminyoge
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kinapita katika hatua ngumu ya mabadiliko, kimetangaza kurejea kwenye mizizi yake kwa kufanya kumbukizi la Tanu...
Nina maswali magumu ya kumuuliza.
tafadhali baba rudi jf tujadili ile posho kubwa ya milioni 7.5
ninayo maswali mengine kuhusu mchumba wako wa kudumu kuwatumia waheshimiwa sms za mipasho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.