Zidumu fikra za Mwenyekiti.
Nimeona ni vyema nikaanza na salamu hiyo kwa sababu kuu moja, fikra za Mwenyekiti, Marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zimedumu kwa muda mrefu hatimaye tumefika...
Mkakati uliopo ndani ya CCM KWA SASA NI KUONGEZA MIAKA MI NNE MBELE KWA AJILI YA WATUHUMIWA KUJIONDOA KWENYE NYAZIFA ZAO NDANI YA CHAMA NA HII MIAKA MI NNEITAKAMILIKA WAKATI WA UCHAGUZI UJAO...
Watanzania tumekumbushwa dhana ya maamuzi magumu ambayo serikali imekuwa inashindwa kuchukua. Bahati mbaya, kila mara wapinzani walipokuwa wanazungumza kauli ya kuitaka serikali kuchukua maamuzi...
Akijibu hoja ya Mbunge kuhusu ni lini serikali itatoa fungu la kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Musoma ambao ulishaanza mwaka tangu 1985 kwa kuhusisha nguvu za wananchi, Waziri wa...
Mwenyekiti huyo wa Jukwaa la Katiba alisema mchakato wa utoaji wa maoni ndio msingi wa kupata katiba bora hivyo ni vema michakato hiyo ifanyike kwa amani, usalama na utulivu ili kuepuka...
Naomba msaada kuhusu aina/mfumo wa serekali zanzibar hivi sasa.Je ni .
1.serekali ya umoja wa kitaifa.
2.serekali ya mseto.
3.serekali ya mapinduzi.
Pili upo uwezekano wa aidha serekali ya...
Kuna taarifa nyingi za serikali ni za kutengeneza hali wabunge wakiangalia uongo huo ukiendelea
kwa mfano
Membe anapoziita hela za RADA charge ali rada tulinunua kwa karibu £30milioni na sasa...
Kumekuwa na mjadala mzito juu ya uwezo wa Julius Mtatiro na John Mnyika, natoa changamoto watu watafute ukweli wa hili ila mwishowe watakuja kubaini kuwa Mtatiro anaweza kujenga hoja na ku-take...
Ndugu wana jf leo nimemkuta jamaa mmoja ndani ya daladala ameshika kitabu kilichoandikwa na professor Rwekaza Mukandara kinakwenda kwa jina la From proud faces to beggers aisee nilipitisha macho...
Kulingana na katiba yetu mamlaka ya juu kabisa ya kuamua iwapo mtuhumiwa wa kosa lajinai afikishwe mahakamani hao la, ni Mkurugenzi wa mashitaka; lakini hivi majuzi wakati Pinda anahitimisha...
pasipo siasa bora ni vigumu kuwa na uchumi imara, pia pasipo uchumi imara ni vigumu kuwa na siasa bora. Kwa madhumuni ya kuleta maendeleo nchini mwetu kuna haja ya haya mambo mawili (siasa na...
- Wananchi JF, ninaomba kuwashukuru kwa sala na salam zenu za kheri kwa mzee wetu Malecela, hatimaye juzi ametua hapa US, akifuatana na mama, ni mzima wa afya sana na tunamshukuru sana Mungu kwa...
Nilikuwa nafuatilia kipindi maalum toka bungeni, mtangazaji anawaweka wabunge waliochangia bajeti ya w/mkuu waliokuwa wanaunga mkono kauli ya lowasa. Ameanza kwa kuisifia hotuba ya uchangiajia...
Natoa wito wa kumpunguzia Raisi wa JMT madaraka makubwa aliyonayo pamoja na kupunguziwa uwezo wa kuendelea kutaja majina kwa ajili ya kuteuwa viongozi na wakurugenzi mbali mbali. Vivile kuondoa...
President Kibaki and Vice- President Kalonzo Musyoka of Kenya have bowed to public pressure and paid up their tax arrears, further isolating Members of Parliament resisting the constitutional...
Rais Jakaya Kikwete, mkwea pipa maarufu, sasa amepanga kufanya state visit Afrika ya Kusini mwezi ujao (19 to 20 July 2011). Hii itakuwa ni mara ya 3 kwa Kikwete kutembelea Afrika Kusini mwaka...
Yaani baada ya kuandika kote wiki hii nzima bado kuna watu wanaamua kuwapotosha Watanzania kwa makusudi. Ninaamini imeandikwa na mtu wa Ikulu au Mambo ya Nje.
JK, Waziri Uingereza wajadili...
Tatizo kubwa la Watz ni ukosefu wa elimu, umasikini wa mawazo kwa wenye elimu. Maana ni vigumu sana kumtofautisha msomi na asiyesoma. Msomi ananena na kutenda sawa sawa na asiyepata nafasi hiyo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kuishtaki Kampuni ya Kalamazoo ambayo ilichapisha makaratasi ya kupigia kura chini ya kiwango, jambo ambalo limesabisha karatasi hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.