Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
  • Closed
Na Flora Amon MCHUMBA wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Willibrod Slaa, Bi. Josephine Mushumbusi, amekiri kumtumia ujumbe mfupi wa simu (SMS) Mbunge wa viti...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
1. RAIS.............................. 2. WAZIRI MKUU..................... 3. SPIKA SAMWELI SITTA 4. PRO MAGUFULI 5. MRS MALECELA 6. PINDA 7. ZITTO KABWE 8. MREMA 9.MEMBE 10. MBOWE...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Imeandikwa na Ansbert Ngurumo MIAKA mitano iliyopita, Rais Jakaya Kikwete aliandika historia kwa kukiri hadharani kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa kimeshinda uchaguzi kwa mapato...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Wamefanyiwa upasuaji(operation) katika hospitali moja nchini India ijulikanayo kama Apollo iliyopo mjini Hyderabad. Prof Lipumba ana tatizo la figo na keshafanya upasuaji na alishindwa KUELEZEA...
0 Reactions
94 Replies
8K Views
habari hi nimeambiwa na mwandishi wake jana kuwa kila wiki atakuwa anatafuta sababu asiwemo bungeni siku ya alhamisi ili kuepuka maswali ya papo kwa papo wiki hii anaenda brazil akiludi next wiki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika vitu ambavyo vingeweza kuidhoofisha CCM na kuiondolea uhalali mbele ya wananchi ni suala la Umeme Usiokidhi Mahitaji hususan Mgao huu mkali wa umeme unaoendelea nchini, lakini cha ajabu ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Wakati chama cha Mapinduzi(CCM)kikijiandaa kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema kuwa chama hicho kimekusudia kuanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natupa memory zangu nyuma i think ni 2008 kuna mwandishi mmoja anakwenda kwa jina la Rosemary Mwakitangwe aliwahi kuandika makala kwenye the number one newspaper in Tanzania almaarufu kama Raia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sunday, July 3, 2011, 12:03 Habari, Mtanzania *Adaiwa kumkingia kifua mbunge asikamatwe Na Kulwa Karedia MKURUGENZI wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI), Robert Manumba, amedaiwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hatimaye Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamshi Vuai Nahodha ambaye amekuwa akiishi hotelini kwa miezi nane sasa atahamia kwenye nyumba yake kuanzia wiki ijayo, NIPASHE Jumapili imebaini...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Imetolewa na;Julius Mtatiro, Naibu Katibu Mkuu CUF – Tz Bara, Jumapili, 03 Julai 2011 saa 5.00 Asubuhi – Dar es salaam. UTANGULIZINdugu waandishi wa habari,Nchi yetu hivi sasa inakabiliwa na...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
  • Closed
Kuna taarifa (toka TBC1) kuwa leo Zitto katoa tamko rasmi kuwa ana mpango wa kugombea urais wa Tanzania mwaka 2015 na akawaomba wananchi wampe kura nyingi ili apate hadhi ya kuweza kugombea urais...
0 Reactions
496 Replies
36K Views
http://youtu.be/GhlEEAJIShE kuna majimbo mengi kama la ukonga ni mfano mzuri kwa nini limekwenza ccm? hii ni kutokana na watu kutopiga kura
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Imekuwa ni kawaida kwa wabunge na viongozi wengine wa chadema kuwa karibu sana na wananchi na kuwatetea mahala husika, Hali hii ni tofauti kabisha kwa huyu mkurugenzi wa halmashauri ya bunge John...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Wana jamvi poleni na majukumu, Mod naomba usi ni ban..nawakilisha ninachoamini na wala sina interest na chama chochote wala sijamtukana mtu, Nashindwa kuelewa wala kuamini uongozi huu kwa tabia...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimeipa serikali mwezi mmoja kuanzia jana, kuwalipa Sh13 bilioni wanazodai walimu vinginevyo itatangaza mgogoro utakaosababisha walimu kugoma nchi nzima.Hatua hiyo...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amempa ‘rungu’, Mdhibiti na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu Hesabu za Serikali (CAG) la kuwafikisha moja kwa moja kwenye vyombo vya Dola, viongozi wa Serikali wanaoiba au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati akiendelea na hoja zake mambo yafuatayo yamekuwa ni ushindi kwa CHADEMA. Kuhusu mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi - sasa wamekubaliana na hoja ya CDM ya kutaka ufanyike uchunguzi na...
3 Reactions
90 Replies
8K Views
ilikuwa kila post ambayo chadema hawaipendi wanavurumisha mimatusi na pia wanaanzisha posts zisizo na mshiko. ccm magamba wameamua dawa ya moto ni moto. wamekuja na nguvu mpya baada ya kujivua...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu nawasilisha..... Nimeshangazwa na hatua ya Benard membe pale bungeni kutumia nguvu nyingi ili kutuaminisha kuwa serikali/taasis ya uingereza inadhalilisha taifa letu.ukweli ni kuwa sisi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom