Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao...
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa Kamanda Lema mbunge wa Chadema jana alipopolewa kwa mawe katika mji mdogo wa Sirari. Lema alikuwa katika harakati zake za kuchochea maandamano kwa wafiwa ndipo...
kutokana na vipindi viwil kushikiliwa na ma rais kutoka bara imesababisha kukutetereka kwa muungano wetu sasa kipindi kijacho iwe zamu ya znz ili kuimarisha muungano na iendane na kutamkwa na...
Kutokana na mambo yanayoendelelea hapa nchini nilitegemea sana CDM kama chama cha upinzani kikuu kingetoa tamko na msimamo wa kichama juu ya issue ya RADA, UMEME,SYMBION, Nk, Lakini tena wasisi wa...
Walipasua daraja la kwanza kidato cha sita
Wazawadiwa kitita cha fedha, kompyuta
Watambulishwa bungeni, Bunge larindima
Wanafunzi 20 waliofanya vizuri katika mtihani wa Taifa...
Spika anataka kufuta kabisa utaratibu wa maswali ya papo hapo kwa Waziri Mkuu bungeni, kigezo tu eti maswali mengi yanamdhalilisha PM.
Huu utaratibu alianza nao EL na yy ni mwanadamu maswali...
Madiwani wa CDM katika halmashauri ya wilaya ya Bukombe mkoani Shinyanga
imemshutumu vikali Mwenyekiti wa halimashauri hiyo,bw Mathias Nyororo kutozingatia kanuni za kuongoza baraza la madiwani...
Wana JF na Invisible natumaini wote ni wazima, naona kama ingekuwa vyema ikaanzishwa forum ya mawazo ya wanaJF kuhusiana na kikao cha bunge kinachoendelea, hii ni kusaidia hata wabunge wenyewe...
Saturday, July 2, 2011, 7:21
Second Lead, The african
By Hilal K. Sued
This continent will never abandon its being showcase as a butt of all the jokes. It has become an ostentatious – or...
Mwandishi Wetu
29 Jun 2011
Toleo na 192
Asema hadanganyiki na kesi za dagaa
Wazungu watoa ripoti kwa donors inayotaja ufisadi
Wawataja Lowassa na Rostam
Rostam aitwa mtengeneza...
Nimekuwa nikifuatilia bunge la Tanzania na hizo hoja za posho,ikanibidi nianze kufanya utafiti.bunge la uingereza,kenya, na hata marekani yako simple sana lakini wanaonge mambo ya msingi.hapa...
kuna taarifa zimepatikana kuwa ofisi nyingi za serikali tanzania zimeshikiliwa na wageni waliojipenyeza tanzania miaka mingi na kufanywa watanzania na watu maalum wanaofanya juu chini kuhakikisha...
Na Nova Kambota,
Binafsi nimeshtushwa sana na kauli za baadhi ya wana CCM kuwa chama chao kimeshajivua gamba , wanatumia mabadiliko ya safu ya uongozi ndani ya chama hiko yaliyofanyika hivi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Msingi wa Maendeleo ni Haki.
"Ninawasalimu wote .
Hivi karibuni tarehe 21 Juni 2011 siku ya jumatano kuna taarifa nyingi ziliandikwa katika vyombo vya habari...
sheria ya 1984 na 15 ib 6 (2)kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhim kwa maisha na shughuli za wananchi na pia juu ya...
Na Saed Kubenea
RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kukaa kimya huku viongozi wake wakianza "kutoana roho" kwa urais wa 2015, MwanaHALISI limeelezwa.
Benard Membe, waziri wa mambo ya nje na...
LAZIMA TUISAIDIE CCM SASA.
Kwa muda mrefu napata shida kujua wapi kama taifa tunaelekea wapi?Maswali ni mengi zaidi kuliko majibu.Kwanza wenzangu tukubaliane kuwa hii ni nchi yetu sote bila...
Nimeshangazwa na siasa zinazoendelea kichinichini kuhusu umri wa Chuo Kikuu Cha D'Salaam.
Kuna pililapilika za kusherehekea miaka 50 ya Chuo hicho ifikapo October mwaka huu.
Maana yake ni...
mimi mwanajf nawapongeza madiwani wa cdm kufikia muafaka na cha ccm kule arusha huu ndio ukomavu wa kisiasa, namshanga slaa kuunda kamati wakati taarifa za vikao vya muafaka alikuwa nazo, je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.