Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Bajameni, tujiongezee uelewa wa posho kwa kuangalia ITV sasa hivi. Hawa wataalam wako ndani ya nyumba. Tumemkosa Mh. sana Mkinga
0 Reactions
12 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kipo tayari kuwapoteza madiwani wake watatu waliohusika kumaliza kinyemela mgogoro wa kumpata meya wa Manispaa ya Jiji la Arusha, kwa maridhiano ya...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu tumesikia budget ya tanzania na tunadelea kusikia bajeti na mipango ya matumiziya mendele ya wizara na idarambal mbali. Napenda kuleta challenge . Assume wewe ni waziri wa wizara yeyote ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika taarifa ya habari ya TBC Saa 2 usiku imeonyeshwa wanafunzi wa shule za kata waliofaulu vizuri. Je wanafunzi wa kata wana muonekano kama machangu doa! Kazi ipo tanzania na serikari ya ccm
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Kwa hali hii kwa nini tusiseme wanachama + wapenzi wa CDM a.k.a MAGWANDA ni wasaliti na wasio watendea haki viongozi wao ?. Mwaka jana wakati wa uchaguzi mkuu walihudhuria kwa wingi kwenye...
1 Reactions
72 Replies
5K Views
Wadau, this is very very serious. Nakumbuka wakati fulani mwaka jana kuna mwandishi wa gazeti moja aliwahi ku-uncover vitendo vichafu vya aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Huwa najiuliza ivi kiwalani kuna madiwani na je mbunge wao nae huwa anawataembelea? Nasikia hajawai ata kukanyaga maeneo kama kiwalani kisiwani barabara mbovu toka miaka ya 1980 nilivyokuwa nasoma...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
mbunge wa kahama james lembeli amewashangaawabunge wanao jadili na kunyoosheana vidole juu ya maandamano na migomo inayoendelea hapanchini na kusema tanzania sio kisiwa kwa kuwa maandamano na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, kiukweli inauma kuona tunaigawa tz yetu kichama. mimi ni mpinzani na nawakulabali sana chadema kwa sababu zangu binafsi na si tu kishabiki. kwa mfano, ilani na mikakati ya chadema inalenga...
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T) dayosisi ya Iringa Dkt O.Mdegella ameibuka na kumvaa katibu wa CCM mkoa wa Arusha Bi.Mary Chatanda kwa kauli yake ya kuwataka...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wajumbe nilipenda kwenye katiba mpya tulipigie mchapuo swala la tanzania kuwa na mabunge mawaili la kila moja kuwa na wabunge chini ya 80 na ili kuongeza usimamizi wa serikali na kupunguza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Maandamano kupinga mgawo wa umeme yanukia Send to a friend Thursday, 30 June 2011 20:42 0digg Kizitto Noya, Dodoma MAANDAMANO makubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Kuvimbiwa kwa watawala: Jibu si kuvua gamba Jenerali Ulimwengu 22 Jun 2011 Toleo na 191 Wahitaji kula haluli kusafisha tumbo SI kazi rahisi kwa yeyote miongoni mwetu kujaribu kueleza, na...
18 Reactions
77 Replies
9K Views
• Adaiwa kutumia Bunge kukwepa maswali na Martin Malera WAZIRI MKUU Mizengo Pinda, jana kwa mara ya pili mfululizo ameshindwa kujibu Maswali ya Papo kwa Hapo bungeni kwa madai ya...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Sijapata bahati ya kukutana na mbunge wa Kilindi, Beatrice matumbo shellukindo lakini anastahili sifa hasa kwa kutafuta, kushughulikia na kutafutia suluhu matatizo ya wana kilindi.nimekuwa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
CCM ni Chama Bora nchi hii kuliko vyote kwa mema ambayo kimewafanyia Watanzania. Kwani hamna ubishi viongozi wake wamekuwa wachapakazi na wenye utu kwa kuwatumikia wananchi wa nchi hii. Na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau, Kuna haya magazeti ya uhuru,jambo leo na habari leo.Imekuwa ni ajabu kwani ni lazima kila siku kuwe na heading kubwa inayouza gazeti inayohusu chama cha demokrasia na maendeleo...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Aldo Kaduma, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Mkoa wa Iringa, akituhumiwa kujifanya Afisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Kada...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chifu Mangungu wale msiomjua alikuwa ni Chifu wa Msowero,Usagara kule maeneo ya Morogoro.Hakusoma na hakuwahi kusafiri kwenda Ulaya,Marekani wala Uarabuni kutafuta wawekezaji.Aliamini kuwa kama...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete akishiriki kupanda mti wakati wa ufunguzi rasmi wa mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika(AU) katika mji mkuu wa Guinea ya Ikweta, Malabo Nyumbani Tanzania Mh tofauti kwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom