Naomba nitoe maoni yangu kuhusu mustakabari wa nchi yetu Tanzania. Watu wengi wamekuwa wakidhani ufisadi wa Lowasa na Chenge ndo sababu kubwa ya matatizo tuliyonayo Tanzania. La hasha!!. Na...
Na Grace Michael, Dodoma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe, jana aliibua kashfa nyingine dhidi ya serikali ya upotevu wa sh. bilioni 20 zinazolipwa na kampuni za madini.
Kutokana na...
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, amesema haitoshi kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kuweka ukomo wa kukamilika kwa katiba mpya ifikapo mwaka 2014 ,bila kuweka ratiba ya mchakato wa kupata katiba hiyo...
Katika hali inayoonesha kuwa serikali ya Zanzibar angalau inaweza kusoma alama za nyakati, kuanzia bajeti ya mwaka huu, shughuli zote za wizara, taasisi na idara za serikali zinazohusiana na posho...
HATIMAYE Mbunge wa Jimbo la Busega wilayani Magu, mkoani Mwanza, Dk. Titus Kamani (CCM), amejisalimisha kwa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, kujibu tuhuma zinazomkabili za kula njama kutaka kumuua...
Bill ana miradi mingi sana hapa tanzania ingekuwa busara kama watanzania wangejua amekuja na nini kimemleta
kama kuna kitu kinaendelea nchi mwetu ni haki kujua sia kupigwa kama mshangao
mbona...
Kuna uzinduzi wa sherehe za miaka 50 ya uhuru unaofanyika kimkoa katika kiwanja cha jengo la azimio la Arusha, jirani na mnara wa mwenge jijini Arusha. Viongozi wa halmashauri zote wamehudhuria...
Kuna aina nyingi sana za uongozi/management style ila hii ya JK nimeipenda sana. Nashauri ma CEO wa makampuni waitumie.And serious if you want your organization to be successfull then apply this...
Ukweli ni kitu chenye thamani kubwa kuliko uongo. Laki mara nyingine uongo nao huwa na faida kuliko ukweli japo huleta madhara. Mwisho ukweli unabaki kuwa na thamani kwani uongo huwa na faida kwa...
Jamani hivi ni kwanini thamani ya shilingi ya TZ inaendelea kuporomoka? Sasa hivi Dola moja ni sawa na shs 1600/-. Wakati huo nchi kama Rwanda pesa yao inapanda thamani kuliko ya kwetu. Pamoja na...
nani atasima kumtetea tanganyika hapana wote tu ndani nani anaona anavyonyanyaswa wote je watawala is that all.lakini liko swala moja naomba kuliweka wazi kila siku naumia na kuwaza ila nakua sina...
By Christine Otieno in Dar es Salaam
With the UK's decision to go ahead with the sale of a $40m air traffic control system to Tanzania, the government here announced its "delight and happiness"...
mbunge wa kahama james lembeli amewashangaawabunge wanao jadili na kunyoosheana vidole juu ya maandamano na migomo inayoendelea hapanchini na kusema tanzania sio kisiwa kwa kuwa maandamano na...
Jana nchi yetu ilitembelewa na mmoja wa matajiri wakubwa duniani lakina hili siyo la kushangilia sana.. kwani nchi hii ni tajiri kuliko kichwa panzi anavyofikiria... na wala hatuitaji huo msaada...
Kwasasa tumefunikwa na sakata linalohusu posho za Wabunge. Wapo wanaodai ziondolewa na wengine wanataka ziendelee. Kwa uchunguzi usio rasmi ni kwamba kazi ya Ubunge imekuwa ikiwavuta watu wengi...
WanaJF nimeamua kujitangaza babu yangu (ukoo wa baba) ni mbunge wa Kahama (James Lembeli) kupitia Chama Cha Magamba (CCM)
Kwa hiyo mwenye kero yoyote aiandike alafu nitampigia simu nimweleze then...
Leo asubuhi nilikuwa nikiangalia mahojiano ya mtangazaji wa tbc Gabriel Zakaria akiwahoji Aggrey Mwanri yule wasiri wa Tamisemi na dada Halima mdee kuhusu masuala ya Tamisemi.
Huyu Agrey alijaribu...
Nimepigiwa simu na Katibu wa ccm katika wilaya moja ya mkoa wa Iringa , ikisema kuwa Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Iringa amekamatwa kwa Rushwa akiwa Iringa Mjini, anatuhumiwa kwa Tendo la Utoaji...
tarehe 07/01/2011/ taasisi ya haki za binadam ya aford , ilipeleka malalamiko kwa igp said mwema ikimutaka achukue hatua dhidi ya kikao cha umafia kilichofanyika kwa mch. Rwakatare lakini...
Katika pitapita yangu kusoma habari za nyumbani nimekutana na habari hii nikaona hebu nishare na wanajamii
Nchi Ya Wapiga Porojo Itaendelea Kwa Muujiza Upi?
Na Nova Kambota
Kama kuna jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.