Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
  • Closed
Si jambo la tetesi tena kwamba sera na mrengo wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) ni ule wa kikristo. Hii ni kutokana na hatua yake ya kuweka wazi urafiki wake wa karibu na chama...
3 Reactions
228 Replies
23K Views
Kuna makongamano yanaendelezwa na hawa watu vioo vikuu.walianza Moshi wameenda Mzumbe morogoro na sasa week ijayo wako Mbeya na hapa UD naona maandalizi yanafanyika.Jaman wanamaanisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naangalia bunge live tbc jioni hii, huyu mbunge amewachana serikali ya ccm kuwa maendeleo kwa wananch ni wajib wa serikali na si ombi,amewaambia wabunge waache kupongeza/kupiga makofi kupongeza...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
With a few exception... Wabunge wa CCM mnaotembelea hapa JF hivi haya ndio tuliowatuma..Kumshukuru Mungu kwa kuwa bungeni?Kutoa ahadi za kuwatumikia wananchi?Kupongeza bajeti?Kuwa wasemaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
LEO asubuhi wakati Mnyika anaanza kujenga hoja zenye kuonesha maana ya bunge, zikielekezwa kwa waziri mkuu baada ya kusaidia kama kinda na spika, walikata umeme ghafla. Tena ukarudishwa jioni saa...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Tanzania ina tatizo kubwa sana la kutenganisha na kusambaza madaraka. Bunge limekua chombo cha kuridhia kila jambo linalo fanywa na serikali na kupitishwa na baraza la mawaziri. Wakuu wa mikoa na...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania ni maneno yaliyopo kwenye beti za wimbo wa Taifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mtazamo wangu nadhani tunapaswa tuombe Mola/Mungu aendelee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Stephen Kebwe,mbunge wa jimbo la Serengeti anaonyesha kabisa kwamba suala la elimu ya uraia kwake ni tatizo. Anajenga hoja kwamba kuna wanasiasa wanaotaka kujifunza siasa kupitia uhamasishaji wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nape Moses Nnauye katibu wa itikadi na unezi wa CCM jana alitembelea ofisi za Mwananchi communication na leo ametembelea Global Publishers. Ziara hizo zimevunja minon'gono ya hapa na pale...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna wabunge wachace sana CCM ambao hawataki non sense bungeni kama huyu mbunge wa Nkasi Kaskazini. Ameongea juu kutowajibika kwa serilali. Mengine ni pamoja na tabia ya wabunge kuisifia...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Watafanyiwa Usajili upya utakuwa J'mosi na J'pili ijayo. Isipokuwa watu 15 ambao majina yao yametajwa na wale wanaodaiwa ada. Source: TBC1
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Thursday, June 30, 2011, 6:57 Habari kuu, The african BY JAMES KANDOYA CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Central Committee (CHADEMA-CC) has appointed a team of four people to investigate...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tamko la kuwafukuza madiwani wote wa chama hicho Jijini Arusha ambao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika historia ya Bunge letu mwaka huu na kipindi hiki cha Bunge neno 'wanatafuta umaarufu' limetumika sana. Na niseme kweli na mimi nimekwazika sana na maoni ya baadhi ya Wabunge hao kulitumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tamko la kuwafukuza madiwani wote wa chama hicho Jijini Arusha ambao...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mbunge wa kahama james lembeli ameunga mkono migomo na maandamano vinavyoendelea hapa nchini kwa kudai kuwa tanzania sio kisiwa kwa kuwa migomo na maandamano vinatokea pote duniani. Lembeli pia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwenu wadau, hivi kama sijakosea siku tisini tulzoahidiwa na ndugu zetu wa magamba si tayari.., sa mbna wajomba zetu wamekaa kimya...nepi, mukama na kiranja wao??? tuwekeni wazi basi.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza na kuuliza bila mafanikio kama Nyerere aliwahi kukutana au kama alikuwa na uhusiano wowote ule na Dr. Martin Luther King Jr. Hebu angalia hiki kipande cha...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Nina haki ya kusema ninavyoamini. Kwakuwa makampuni mengi ya nje yamejionesha kuwa eidha ni mali ya waTZ na viongozi wa CCM naamini pia kuwa waweklezaji wote matapeli kwenye madini na secta mbali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
From NASONGELYA KILYINGA in Dodoma, 29th June 2011 @ 13:00, Total Comments: 3, Hits: 672 THE multi-billion dollar Tanga-Arusha-Musoma Railway will not cut across the hotly contested stretch in...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Back
Top Bottom