Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kipo tayari kuwapoteza madiwani wake watatu waliohusika kumaliza kinyemela mgogoro wa kumpata meya wa Manispaa ya Jiji la Arusha, kwa maridhiano ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi jana nimepata kuona wananchi wakiwa na jazba na hamasa kubwa kumwona Mh Japhet Nanyaro diwani wa kata ya Levolosi (CHADEMA) akitembea kwa mguu maeneo ya stand ya viford huku kundi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Thursday, June 30, 2011, 7:32 Makala na Uchambuzi, Rai Na Emmanuel J. Shilatu BABA wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliwahi kuja na falsafa yake kuhusu dhana ya maendeleo. Kwa kutumia hekima...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Juzi kwenye kikao cha Bunge, Mh. Salum Baruan (Lindi Mjini-CUF) wakati anachangia mjadala ya bajeti ya office ya Waziri mkuu alisikika akisema kuwa Rais ni zaidi ya sheria. Sasa mimi nauliza Rais...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
"Tuko tayari kuendelea kuisaidia Tanzania kama mtatupa vipaumbele vyenu," Mwenyekiti mwenza wa Mfuko wa Bill na Melinda Gates, Bill Gates alimwambia Rais Kikwete jana mchana alipofika Ikulu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
INGAWA siasa ni mchezo uliojaa uchafu, hadaa na kujilisha pepo, lazima unahitaji kutumia akili. Pamoja na uchafu wake, bado siasa ni kitu ambacho hatuwezi kuishi bila kuwa nacho. Je, tukubali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa nini neno maamuzi magumu lisikike sana sasa na siyo wakati wa urais wa Benjamin William Mkapa, au Ali Hassan Mwinyi au wakati wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Kwa kiongozi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mara kadhaa tumesikia kauli za wabunge wa CCM 'wakiwaasa' wanafunzi wa vyuo vikuu wasijihusishe na siasa mavyuoni. Kauli kama hizi pia zimekuwa zikitolewa na viongozi mbalimbali akiwepo Nape, na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katiba ndio pekee itatuwezesha kupanga na kujua bajeti ya ikulu kwani kwa sasa watanzania hawatakiwi kuuliza,kuhoji,kujua au kutangaziwa,ni kitu nyeti sana ila safari za rais lazima...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KWA KUWA SHIBUDA "AMEISALITI" KATIBA YENU KAMA MNAVYOSEMA ("Maana yake hakiamini chama, hivyo hafai kuendelea kuwa mwanachama na mbunge wa chama hicho,"alisema Zitto ambaye pia ni Naibu Katibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sasa huyu Mkamia ndio Ametumwa na Mafisadi wa kodi zetu aje atetee unyonyaji wa hali ya Juu, msikilize anavyoongopa, Anasema Eti pesa ya anayolipwa kama sitting allowances anatumia kama pesa za...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Leo katika mbunge pamoja na shutuma mbalimbali , ndg stella manyanya kama mbunde alisema amekuwa anapata message za simu na baada ya kufuatili amegundua zinatoka kwa mke/mchumba wa dr slaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dunia nzima viongozi wema huunda sera za kuwafanya watu wao wawe na umoja, upendo na mshikamano ili kuidumisha amani miongoni mwao, hapa kwetu ni kinyume. Kwa udhaifu walio nao, viongozi wetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangazo la nafasi za masomo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Tz. Tovuti: www.moe.go.tz. Linasema hivi "Waombaji wa Mafunzo ya Ualimu ngazi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Nova Kambota Kama kuna jambo linalowaumiza vichwa watanznia basi ni swali kuwa kwanini kila wanalopanga halifanikiwi? au kwanini wananchi ni masikini licha ya maliasili zilizojaa kila kona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau leo mwenyekiti wa baraza la vijana la chadema amefanya mazungumzo na katibu mkuu wa baraza la vijana la chama kinachoongoza ujerumani cha CDU, NIMETOKA KUZUNGUMZA NA BWANA HECHE kutoka...
0 Reactions
92 Replies
7K Views
WABUNGE wameendelea kuirarua serikali katika mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu mambo mbalimbali hasa utendaji wake na baadhi wakienda mbali wakisema kuwa wapo watendaji wanaomdharua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CWT ni tawi la propaganda la CCM, lakini wanajifanya ati ni Umoja wa Wanawake Tanzania. Jumuia ya Wazazi Tanzania unaweza dhani ni taasisi isiyofungamana na upande wowote, lakini angalia picha hii:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama wakati tunapata uhuru tulikua tunalingana uchumi na China,na mabadiliko iliyopata china ndani ya hii miaka 50,kisha linganisheni na namna tunavyoogelea kwenye umaskini pamoja na utajiri wote...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WA MWAKA WA TATU CHUO CHA SANAA NA SAYANSI ZA JAMII; CHUO KIKUU CHA DODOMA WANAFUNZI WOTE WA MWAKA WA TATU CHUO CHA SANAA NA SAYANSI ZA JAMII WALIOSIMAMISHWA MASOMO...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom