Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa...
Wednesday, June 29, 2011, 8:07
Makala na Uchambuzi, Mtanzania
Na Otilia Paulinus, Dar es Salaam
KUNA mambo mengi yanayoweza kuvuruga amani ya nchi, kuanzia yale ambayo chimbuko lake ni ndani...
Na Daniel T. Kamna, Dar es Salaam
WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton, alifanya ziara hapa Tanzania katika shughuli zake mbalimbali nchini alizindua mitambo ya Dowans...
Utake usi take huo ndio ukweli
Niirejee makala yangu hii kwa kumshuru
muumba wetu kwa kutujalia kuwepo katika
hali hii tulio nayo hii leo,pamoja na sala na
salaam kwa kipenzi chetu muombezi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, Tuzo ya UN ya mshindi wa pili ya...
LICHA YA KUTOLEWA SIKU TISINI AMBAZO KIMAHESABU ZIMEISHA JUMAMOSI YA TAREHE 25 JUNI 2011 BADO MAGAMBA YAMEGANDA CHAMANI
HAWA JAMAA WANA UTANI KWELI NA WATANZANIA
WACHA TUONE WATAKUJA NA SERA GaNI...
The quote from this book quoting Arthur Lewis (1965), might be explaining what is happening now in Tanzania:
......Successful politicians receive, even if only elected to parliament, salaries two...
Tangu kuanza kwa vikao vya bunge cjawah kumuona mzee ndesamburo akichangia hoja yoyote ndani ya bunge. c ile ya posho wala ile ya kususia vikao vya bunge.... wala si ile ya budget ya nchi...
Wa Tanzania wachangamkie fursa za soko la East Afrika,
hiyo ni Kauli ya Raisi Kikwete aliwahi kuitoa,
kwa wakati huu kuna fursa ya biashara ya vyakula kweny nchi za pembe ya Afrika na Kenya...
Wabunge hawa walioko London mliokimbilia huko baada ya kusikia BAE imeamua kutaka kutoa kupitia NGO's mnajidharirisha
kwa sababu nyie kama wabunge mmilishindwa kufanya kazi yenu kusimamia kodi za...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza huenda likamkamata Mbunge wa Busega kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Titus Kamani, ili kumhoji kuhusiana na tuhuma za kutaka kumuua aliyekuwa Mbunge jimbo...
..mtu wangu wa karibu ndani ya CCM amenieleza kuwa wanapanga maandamano hapa Dar kwenda ubalozi wa Uingereza.
..wanataka kushinikiza kwamba serikali ya CCM ipewe "change" iliyozidi ktk mauzo ya...
Wakuu, nimekuwa nikijiuliza mara nyingi nini kifanyike kubadili mwelekeo wa nchi yetu. Tunashuhudia nchi ikiangamia kwa kukosa huduma muhimu kama umeme na maji, huku maisha yakizidi kuwa magumu...
Napenda kumuunga mikono miwili M. M. Mwanakijiji katika makala yake hapo juu kwenye gazeti la MwanaHALISI la june 22-23, 2011.
Ukweli Baba wa taifa marehemu JULIUS K. NYERERE hana mfano kwa...
Kweli ukomunisti ni unyama. Siasa za kuimba kwaya , kucheza gwaride na kubeba juu picha za viongozi barabarani zilikuwa hazina maana yeyote bali ni utumwa tuu. Nchi za ulaya mashariki zilikuwa na...
Here is a game created for my college to build some familiarity with the cast of characters involved in the struggle for independence in sub-Saharan Africa.
How well do you know them?Who would...
Kama ingetungwa sheria inayozuia kutajwa chama fulani bungeni au ilani ya chama fulani ningeifurahia sana, Kwa nini?
Hakuna maslahi ya taifa siku hizi bali maslahi ya chama, mbunge yuko radhi...
Kama tunataka kuwa na bunge lenye staha,basi kiti cha spika kitumike ipasavyo. Mlioko nje kupitia runinga zenu bila shaka mmeshuhudia vituko vya humu ndani kanuni ya 68(7) iko wazi....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.