SERIKALI inatumia zaidi ya sh milioni 50 kwa mwezi kwa ajili ya kugharimia malazi na chakula kwa ajili ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha, anayeishi katika Hoteli ya New Afrika tangu...
Imeandikwa na Shadrack Sagati, Dodoma; Tarehe: 29th June 2011
NAIBU Waziri wa Fedha, Gregory Teu, leo ameshindwa kujibu swali lililomtaka aeleze hatua zilizochukuliwa na Serikali kuhusu maofisa...
27 June 2011
Dar es Salaam - The government should prepare regulations to guide investors in the power sector, businesses appeal.Their plea comes at a time when the country is grappling with a...
Wana JF,ninakerwa sana na Chama cha Mapinduzi kupinga kila hoja ya upinzani hata kama hoja hiyo ni ya msingi na tija kwa taifa.......kila jambo na hasa litokalo kwa CHADEMA basi watalivalia njuga...
Kuna vitu viwili vinaendelea hapa tanzania
na jf pia..............
Watu wengi wanazungumzia haja na madai ya kuwepo kwa katiba
mpya...
Ambayo itakuwa ya watanzania,ya wananchi.
Itakayowapa uhuru...
Asema kazi ya jamii forum ni kuchafua watu akichangia hotuba ya Waziri Mkuu ,mimi nadhani pia angetoa uwiano wa uelewa wake wa Jamii forum kama vile nani kachafuliwa na kwa nini
Idi Amin Dada (dictator)
Idi Amin Dada who was president of Uganda from 1971-1979. Idi Amin killed more than 500,000 Ugandans including opposition leaders, foreign investors, and even...
By In2EastAfrica - Wed Jun 29, 10:56 am
Zanzibar Minister for Justice and Constitutional Affairs Abubakar Khamisi Bakari
Zanzibar Minister for Justice and Constitutional Affairs Abubakar...
By In2EastAfrica - Wed Jun 29, 11:00 am
Permanent Secretary in the Ministry of Energy and Minerals, Mr David Jairo
Exim Bank of China has submitted a USD700m proposal to the government to fund...
Hakuna sababu zozote ambazo Serikali inaweza kuzitoa na kukubalika kuwa sababu kuu kwanini tunakabiliwa na tatizo la ukosefu wa umeme kwa sasa. Sababu kuu na ya pekee iliyotufikisha hapa ni uzembe...
Polisi kumkamta Mbunge kwa nguvu
Na Cosmas Mlekani
29th June 2011
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza huenda likamkamata Mbunge wa Busega kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Titus Kamani, ili...
KITI cha Spika wa Bunge, Anne Makinda jana kilitikiswa kufuatia malumbano makali baina ya wabunge hasa wa kambi ya upinzani walipokuwa wakichangia hotuba ya ofisi ya Waziri Mkuu, huku mbunge wa...
Misamaha ya kodi na mgawo wa umeme vyakwamisha TRA
Tuesday, 28 June 2011 20:26
Mussa Juma, Arusha
Mwananchi
MISAMAHA mikubwa ya kodi na mgawo wa umeme unaoendelea nchini, ni miongoni...
THE CONSTITUTION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Article:
67. Qualifications for Member of Parliament
(l) Subject to the provisions contained in this Article, any person shall be...
tolea namba 248 la gazeti la Mwanahalisi (tarehe 29/6 - 5/7/2011...la leo) lina kurasa 8 za nyongeza za Hotuba ya Kiongozi wa kambi Rasmi ya Upinzani Bunge la JMT, HE. F. A. Mbowe (MP). Hii...
Huyu mama ni kilaza balaa. Leo katumia muda mwingi kuponda UDOM. Amedhihirisha ukweli kuwa CCM inawezekana waangalia sifa ya ukilaza katika kugawiana nafasi za utawala hasa hawa viti maalum...
Wadau, nahitaji mchango wenu, kwa yeyote anayejua kuhusu Sera ya Kilimo na Mifugo nchini, je, imefanya kazi ipasavyo? Imewanufaishaje Watanzania hasa wale wa makundi yaliyosahaulika ama...
SERIKALI inatumia zaidi ya sh milioni 50 kwa mwezi kwa ajili ya kugharimia malazi na chakula kwa ajili ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha, anayeishi katika Hoteli ya New Afrika tangu...
Salaam wanajamvi,
Jana tuliweza kuuthibitishia umma wa watanzania ya kuwa jamii forum ni home of great thinkers,tuliweza kuonesha mapunguf makubwa yaliyopo katika jimbo la kilindi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.