Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nina hoja ndogo sana ambayo nadhani si vibaya viongozi wetu wakaiangalia. Siku hizi wanasiasa wetu wanachaguliwa kutoka katika nyanja mbalimbali za maisha. Kuna waganga wa kienyeji, kuna waalimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niliwahi kusema na kufanya watu wafikili juu ya hili na baada ya hapo kila mmoja takuja na jibu lillo la msingi baada ya hapo dhamira yangu itakua wazi na dhahiri kujenga maamuzi mema kwanz...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
naombeni msaada,nafikiri nina tatizo kubwa la kuwa na jealous na nchi yangu, najisikia vibaya ninavyosikia wageni wanakuja hapa na kufanya mambo ya ajabu, kuna thread ipo hapa sasa hivi inasema...
0 Reactions
3 Replies
966 Views
Kwa maelezo ya wabunge wanaotetea posho ni kwamba zinawasaidia kutoa misaada kwa raia wao wanaowazonga kila siku kuomba misaada mbali mbali! nami nasema hivi wafuatao nao waunganishwa kwenye mfumo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huyu Diwani ni mpiganaji ila Kama kweli walirubuniwa wakaingia kwenye mtego wa kupokea chochote toka kwa wanamagamba mpaka kumtambua meya Wa Arusha sijaelewa ni kwa nini walimgeuka mheshimiwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa kweli hotuba ya Wenje imenitoa machozi kwa kweli nchi yetu inaporwa wizi wa wanyama pori kupitia kia, kagoda, deep green, udini, undugulization, kutochukua maamuzi magumu, mikataba mibovu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Yaani huwezi kuamini hivi sisi watanzania tumerogwa ? Ni nani alietuambia kwambwa Chama tawala kitatuleta maendeleo ? Chama hiki kilipewa jukumu la kuongoza nchi ya Tanzania kwa miaka hamsini...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Ni serikali ili promote dawa ya Samonge. Wenye akili tukasema serikali makini haiwezi ku promote dawa ambayo haijathibitika kuwa inatibu. Tukaendelea kusema kwa kuwa watu watadhani wamepona na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwishoni mwa miaka ya sitini,na mwanzoni mwa miaka ya sabini, kulianzishwa "Operation vijiji" watu walikuwa wakikamtwa mijini nakupakiwa kwenye magari kwenda kuanzisha vijiji vya ujamaa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
By In2EastAfrica - Tue Jun 28, 2:55 pm Father of the Nation Mwalimu Julius Kambarage Nyerere With the 50th anniversary of the independence of the then Tanganyika (now Mainland Tanzania) being...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, bungeni. WABUNGE amesahau wajibu wao? Inawezekana wamesahau wajibu wao kutokana na ushabiki kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sitta ajitosa mjadala wa posho WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amejitosa kwenye mjadala wa posho ulioanza bungeni hivi karibuni akieleza kuwa suala la kujadili posho za...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naandika nikiwa na furaha!!!! kivipi? kwani hakika anguko kubwa la chama cha Magamba limekaribia sitaki kuwa shehe Yahaya (the late RIP) lakini ni mambo yanayo onekana kwa uwazi kabisa (Black and...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani pamoja na kwamba kiingereza ni muhimu lakini kuna kushobokea kwingine kuna kera. Hivi hili bunge ni la wananchi au la nani? Sasa unakuta Bunge la Tanzania nchi ambayo wananchi wake wengi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I wish tungekua na utaratibu wa wakuu wa mashirika au idara muhimu za serikali kuwa wanahojiwa na bunge kuhusu utendani, mafanikio na challenges za sehemu zao za kazi ili kuongeza ufanisi kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Chadema kama kweli mna uchungu na Taifa letu pelekeni hoja binafsi bungeni kupinga viinua mgongo, achaneni na habari ya shangingi moja la Mkuu wa kambi ya Upinzani Mbowe, Kila mbunge ataondoka na...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa kumbukumbu zangu ni Muswaada Binafsi uliwahi kupita ni mmoja tu wa Bro Lau Masha wa kutumia picha ya Karume kwenye Pesa ya Tanzania; Pamoja na Miswaada Lukuki inayopelekwa na Wabunge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutoka kitabu cha ‘Binadamu na Maendeleo’ kilichoandikwa na Mwalimu Nyerere, Mwalimu alisema ili binadamu awe huru anatakiwa awe na uhuru katika njia tatu;- 1. Uhuru wa Kujitawala, 2. Uhuru...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Basi jamani Tanesco kama kuna kosa tuliwatendea tunaomba mtusamehe! Adhabu mnayotupa ni kubwa mno!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mgao umeanza upya, gesi imeadimika kutoka Songosongo
0 Reactions
697 Replies
81K Views
Back
Top Bottom