Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wananchi wa kijiji cha segese wilayani Kahama wamechimba barabara iendayo Kakola ili kuzuia mawasiliano ya barabara wakimtaka mbunge wao atekeleze ahadi alizowaahidi kwenye kampeni zake za...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
By JOHN MBALAMWEZI Posted Sunday, June 26 2011 at 09:30 Tanzania plans to construct a Tsh2.3 trillion ($1.5 billion) railway line to open up its mineral rich southern region and boost the...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Sikieni alichokisema jana; kuwa anawashukuru sana watu wa manicipal ya Tabora kwa kumchagua kuwa mbunge... nafasi ambayo amekuwa akitafuta kwa muda mrefu...Kwamba Tabora hawadanganyiki kwa kuwa...
1 Reactions
68 Replies
6K Views
Wengi hawaridhishwi na utendaji wake pamoja na ule wa baraza lake la mawaziri. Ameshindwa kutatua kero mbalimbali za wananchi. Je akijiuzulu tumshitaki kwa makosa gani aliyoyavunjia sheria?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Inasemekana kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Willison Mukama anafanya kampeni ya kuzifanya kamati nyeti za bunge zinazoshikiliwa na wapinzani ziongozwe na wabunge wa CCM. “CCM ina...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nyerere: wafungwa wafundishe Sekondari za kata Send to a friend Monday, 27 June 2011 08:53 0diggsdigg Hussein Issa KUTOKANA na uhaba wa walimu nchini, serikali imeshauriwa kuwatumia...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
SITAKI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ahubiri siasa za kuomba huruma. Wiki hii bungeni, alilitaka bunge, Watanzania wote na wenye nia nzuri kwa taifa hili...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
hatimaye Dr slaa aongea na wanavyuo hasa DUCE.alzungunzia hasa taifa atakulokuja kuliongza lnaitaji crititical thinker wnackilza k2 na kukifanyia utifiti na co kupelekwa kma chuo kikuu cha...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
* Sasa kutumika kuung’oa uongozi * Milioni 50/- za hongo zawatesa * Ujumbe wa Dk. Slaa wapondwa NA SHAABAN MDOE, ARUSHA HALI si shwari ndani ya uongozi wa CHADEMA wilayani Arusha, baada ya...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanajanvi, haya ni maoni yangu kwamba Babu wa Samunge ana akili na ubunifu kuliko serikari yote ya ccm na wataalam wa uchumi.Babu alibuni kikombe na kuweka gharama ndogo ya malipo. Jambo hili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Rashid Mkwinda,Dodoma MBUNGE wa Jimbo la Maswa Magharibi (CHADEMA) Bw.John Shibuda, amesema utendaji mzuri wa Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda, unavurugwa na baadhi ya mawaziri aliodai ni mzigo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
TFF ilifanya kosa kubwa sana kumpatia timu ya taifa ya vija under-23 kwa kocha mzalendo Jamhuri Kihwelu.Matokeo yake vijana wetu wameishia kutolewa na Nigeria kwa sabau za uwezo mdogo wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ni jambo lililo wazi kuwa wenzenu ccm wamepora maeneo mengi sana ambayo kimsingi yalikuwa ni ya umma.mfano wa maeneo hayo ni viwanja vya michezo. Nionavyo ni kwamba hata chama kingine...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejaribu kuangalia Historia nimejikuta ninawazimia sana hawa jamaa wakati wa uongozi wao George Bush - US Adolf Hitler - Germany Benito Mussolini - Italy Hideki Tojo - Japan Ferenc Szálasi -...
0 Reactions
156 Replies
15K Views
kwa mfano kama wasilamu wangekuwa hawahadaiki kiulaini na viongozi wa sasa kwa kisingizio cha kiongozi wa msafara bwana jk kuwa msilam basi na wakiristo kuhubiri amani na upendo kwa vitendo basi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
yule mtu anayechukiwa zaidi rajabu kilavu na yule mzee mchawi john tendwa wapo bungeni,ovyoo kwelikweli!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa evaluation yangu hadi sasa,wabunge wafuatao hawafanani na chadema kabisa,msaada wao kwa chadema ni sifuri 1.Rose Kamili alihamia chadema baada ya kuangushwa kwenye kura za maoni ccm,toka...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Mkuu wa wilaya ya mvomero huenda akaingia matatizoni endapo tuhuma dhidi yake zitathibitishwa.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni bora Andrew Chenge angekuwa ni spika wa bunge la jamuhuri wa muungano wa Tz, kuliko Anne makinda, kutokana na CV ya Chenge, kwani amekuwa mwanasheria Mkuu wa serikali kwa kipindi kirefu kuliko...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MBIO za kusaka urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kumrithi Rais Jakaya Kikwete tayari zimeanza na zinakwenda kwa kasi kubwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mbio hizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom