makinda amuomba mh. kafulila aulize swali la nyongeza kwenye wizara ya madini ila asichafue hali ya hewa TBC Bungeni now.......jamani huku sikuzibana midomo kweli...?
MIONGONI mwa watu wanaotajwa kuwa kwenye mzunguko wa mwisho kuelekea ikulu katika uchaguzi mkuu ujao ni Bernard Kamilius Membe.
Mbunge huyo wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi na waziri wa mambo ya...
Ilikuwa masaa, siku, na hatimaye miezi toka Mheshimiwa Reginald Mengi na baadae Mheshimiwa Harrison Mwakyembe walipotoa malalamiko dhidi ya mwenendo wa baadhi ya wafanyabiashara na wakubwa katika...
Wana JF,
Jana kwa mara ya kwanza nilikubali kwamba makamu wa kwanza wa RAIS wa zanzibar ni mwanasiasa aliyebobea anayeamini katika ukweli.Kwa wale walioangalia taarifa ya habri ya ITV saa mbili...
Simbachawene mbunge wa Kibakwe CCM ameliambia bunge kuwa kwa sasa hakuna Mtanzania anayeshindwa kunywa chai kwa siku. Sisi kule kwetu, kulingana na hali ngumu ya uchumi chai ni 'mashikalo mageni'...
Purukushani za hao wanaofanya michakato,mbinu maarifa na mengineyo ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015,wajue moja Watanzania wa leo,bila viatu vya Baba wa Taifa Mwalimu Julius...
NYOTA za wanasiasa machachari wanaotoka kambi ya upinzani na kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), zinazidi kungara kwa baadhi yao kuchaguliwa kushika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama...
Mbunge wa CUF, HAJI Khamis Kai wa Jimbo la Micheweni amesema kuwa anawapongeza sana CDM kwa kui'copy CUF kule Zanzibar na kufikia muafaka wa Udiwani na CCM kule Arusha.
Amemaliza kwa kusema kuwa...
Monday, June 27, 2011, 6:29
Habari, Mtanzania
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimekubali kufanya kazi bungeni na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Taarifa...
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu...
MBUNGE wa Jimbo la Maswa Magharibi (CHADEMA) Bw.John Shibuda, amesema utendaji mzuri wa Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda, unavurugwa na baadhi ya
mawaziri aliodai ni mzigo ambao hawana utashi na...
Imekuwa sasa ni fashion kwa watendaji wa serikali kunyamazisha hoja za wazalendo kwa kudai eti huyo mtu anatafuta umaarufu hii kauli sasa imekuwa kama ndo mtindo mpya wa kuzima hoja za watu na...
HOTUBA NA NAPE YALIZA WATU MKUTANONI,
MBUNGE WA CUF NA WAFUASI WAKE WAMSHANGILIA
NA BASHIR NKOROMO, KILWA
HOTUBA aliyotoa Katibu wa NEC Itikati na Uenezi CCM Nape Nnauye, juzi
katika mji...
Wana JF napenda nichukue nafasi hii kuwahabarisha yanayoendelea bungeni,inawezekana wengi hamko karibu na tv au chombo kingine cha habari!Ilikuwa ni jukumu la GHORST RIDER sijui MODS wamempiga...
Kila lenye mwanzo lina mwisho na pia majuto ni mjukuu.Chama cha CHADEMA sasa kinaelekea ukingoni na hii ni kutokana kudhihirika kwa yale yalokuwepo chini ya Blanketi.Tangu siku nyingi chadema...
na Abdallah Khamis
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemtaka Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Said Mwema, kutoa ufafanuzi wa zaidi ya sh bilioni 220...
Kwa nini serikali inatufanya sisi kama watoto? Yaani inamaana katiba mpya kuzinduliwa bila maoni ya wengi? Lazima ikumbukwe luwa katiba mbovu uchumi mbovu, katiba nzuri uchumi mzuri. Sasa hawa...
Sunday, 26 June 2011
ASEMA anawakejeli Watanzania, ni sehemu ya matatizo
Hussein Issa na Fidelis Butahe
KATIBU Mkuu wa Chedema Dk Wlibroad Slaa ameunga mkono kauli ya Mbunge wa Monduli,Edward...
Nimejaribu kupitia magazeti leo jumapili sioni hata moja lililocover story ya serengeti ikiwa serikali imenawa mikono kutokana na shinikizo la marekani...embu ona serikali ilijifanya kichwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.