Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Na Joster Mwangulumbi Sub category: Wazo Mbadala CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kilianzisha mradi mchafu kilipobaini uwezekano wa kusombwa na kimbunga cha mageuzi na kukataliwa na wananchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By In2EastAfrica - Sun Jun 26, 2:24 pm Minister of Finance and Economic Affairs, Mustafa Mkulo No matter how many times the opposition camp may raise pertinent issues in the Tanzanian...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
hiyo post nimeitafuta sana, lakini nimeikosa...ama ame-edit ama ame delete. lakini ninhependa kuwaonya ndugu zangu wa CCM ambao ni memba wa forum hii kwamba poasts zenu zenye mrengo wa kupinga...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Viongozi wa dini: Tumechoka wageni kunufaika na rasilmali za Watanzania Saturday, 25 June 2011 10:15 Fidelis Butahe Mwananchi VIONGOZI wa dini mbalimbali nchini wamesema wamechoshwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Gazeti la Mwanahalisi mmetuchosha sana. Hivi hamna webiste editor au kazi imewashinda? """" Hii habari ya Rostam na Lowassa kumzima Kikwete"""" mtaiondoa lini imekaa kwenye front page wiki ya 2 na...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
The United Republic of Tanzania is located in eastern Africa, consisting of mainland Tanzania and the islands of Zanzibar with the population of around 42 million (official projections for...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Mafuta tunayopaka katika miili yetu ni kitu kisichozungumza, lakini athari zake ni kubwa. Ubaya au uzuri wake husikika na kuonekana kwakuhisi harufu za aina mbalimbali yanazotoa na hatuwezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye hii article tunaomba atuletee hapa Huyu jamaa alimwaga nondo ya kufa mtu maybe wengine wanaweza kufaidika nayo tena
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu!!naombeni kueleweshwa juu ya hili jambo,hivi karibuni 2mekua 2kisikia kuwa ccm imejivua gamba,na wanachama wake wote wanao2humiwa kwa kashfa za ufisadi{hasa lowasa,rostam na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa jinsi nielewavyo mimi nchi inasimamiwa na mihimili mikuu mitatu(Bunge, Mahakama na Serikali kuu). Kili mhimili unafanya kazi zake "independently" ili kutekeleza majukumu yake. Kazi ya bunge ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chama cha mapinduzi kina sera endelevu ndio maana kinazidi endelea kupeta kwenye zama hizi za siasa za ushindani. Nianzie karibu ili nisiwachoshe.JK aliingia kwa gia iliyokuwa ikisomeka kuwa ARI...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tuanza na hili, Richmond(rushwa)-----Dowan(rushwa)-----Symbolic power( AGENDA 2015)= Marekani kutukuza rushwa kwa kukubali mitambo hiyo inunuliwe na kampuni kutoka nchini mwao. Na kubariki ununuzi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii ndio capital city yetu lakini inashagaza na kutuangusha sana; Uchafu Foleni; (mwendo wa kilomita 1 unakwenda masaa3). Watu tuliiii – kisa amani!! Barabara mbovu na chafu……...tena ktk maeneo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya minyukano kadhaa ya kifikra na maoni ndani ya bunge na kwa wananchi kiujumla for the last one month. Nimejikuta nimeikumbuka barua hii ya Mwanamapinduzi wa karne Che Guevara akimuandikia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Zitto, alituhumu Baraza la Mawaziri kushawishiwa na watu fulani ili kulifuta Shirika Hodhi la Mali za Mashirika ya Umma (CHC) kwa faida ya wachache ambao wana maovu yao katika taasisi za fedha na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepigiwa simu muda si mrefu jimboni kwa Mh E. Maige kumewaka moto baada ya mbunge huyo kuwaahdi wananch wa jimbo hilo kuwa atawaletea umeme na kuwajengea barabara na matokeo yake kafunga...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Ktk utetezi wa posho, mtoto wa mkulima Pinda alisema zinasaidia wabunge wakitoka milangoni wanakita kuna wananchi wanawaomba hela kwa mahitaji tofauti. Kwa tafsiri rahisi haijalishi ni ndugu au la...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Zaidi ya wiki moja tumekua tukifuatilia swala la kurudishiwa pesa yetu ya radar kutokana na rushwa kwa viongozi wetu niseme RUSHWA kwa kua serekali yetu inaonekana bado haitaki kukubali kwamba...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
BAE nao pia ni wezi tuu kama our tainted tz gov. Mi nadhani kama wanataka kuwapa NGO then fedha wapewe serikali ya uingereza halafu wao ndio waratibu huo ugawaji. La sivyo kwa hiyo E-mail BAE...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom