VIONGOZI wa dini mbalimbali nchini wamesema wamechoshwa kuona wageni wakinufaika zaidi na rasilmali za taifa kama madini ambazo ni mali ya Watanzania huku wakiwaacha wananchi wakibakia kwenye...
Wakati mwingine nasikitika sana kwa mambo yanayoendelea kuipa sura hii jf, inanisikitisha. Pamoja na yote yanayoendelea na kusemwa kote JF bado ni mahali ambapo ukipita utapata kitu, hutatoka...
Serikali imesema suala la kuondolewa kwa posho za vikao kwa wabunge linawezekana isipokuwa mchakato ni lazima uanzie katika kamati ya uongozi ya Bunge.
Kauli hiyo ilitolewa juzi jijini Dar...
Wanavyuo wa elimu ya juu dar,wana kongamano lililoandaliwa na wanachadema CHASO tawi la DUCE.Litaanza saa nne asbuhi.viongozi wa chadema makao makuu watakuwepo,pamoja na Dr. A.LWAITAMA.litafanyika...
Wanajanvi,
Jumamosi ya tarehe 25, June 2011 Dr. Slaa (PhD) atakuwa moshi kwenye kongamano la CHADEMA kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya moshi. Ataambatana na makamanda wengine wa CHADEMA. tafadhali...
Ndugu zangu wanawaJF na wasiyo kuwa wanawaJF ambao huwa wanapita humu kwakuperuziiii na kudadisi ASALAAM ALYKHUMUU.
Nimeamua kutoa mtazamo wangu juu ya anguko la TAIFA hili kwa kile ninachokiona...
By Judica Tarimo
Whether or not the General Budget Support (GBS) is a visible modality for attracting foreign aid to support Tanzanias development strategies, the question is still a subject...
Si jambo la tetesi tena kwamba sera na mrengo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni ule wa Kikristo. Hii ni kutokana na hatua yake ya kuweka wazi urafiki wake wa karibu na Chama cha...
For the record I support this company when they decide to Invest on Power but here is the backgroud of their CEO
OTTAWA The Canadian Forces have hired a private-security firm in Afghanistan...
Vitu vya anasa, magari,pesa, mali, posho lukuki, ccm ikikukosa kwenye hivi itakuhesabu kwamba wewe ni mwanasiasa hatari sana kwa maana mitego hii imewakumba wengi kama dr.karbolou ambaye alikuwa...
Yafuatayo ni maamuzi yaliyotolewa na baraza la chuo kikuu cha Dodoma UDOM kufuatia sakata la kusimamishwa kwa wanafunzi maelfu wa chuo hicho wiki chache zilizopita na hatma ya wanafunzi hao...
Yakaribia wiki moja sasa tangu ewura watoe tangazo la pingamizi kwa mtu yeyote dhidi ya symbion power kwani wanataka kupewa leseni ili waiuzie TANESCO umeme.Wakati huohuo Symbion wamesema mitambo...
Watu wengi wanataka kuona wenzao wakiwajibika kuliko wao kuwajibika, utakuta mtu yeye mvivu balaa na ana matatizo chungu nzima lakini yeye wala hana habari na yeye mwenyewe anaangalia wenzake tu...
Wadau ninaangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku,ninaona TBC1 wamecover maandamano ya CHADEMA mkoani shinyanga kwa muda wa kutosha na kwa kurudia rudia ile video,Je hii inaashiria TBC1 imejivua...
Juzi niliweza kufuatilia majadiliano Bungeni. Nilifurahishwa na umakini, ujasiri na uzalendo wa Lissu, Zitto na Mnyika. Kwangu mimi niliona hawa ndio aina ya Wabunge ambao tunawahitaji...
Nimekuwa nikifuatilia masuala yanayohusu taifa letu(TZ), miezi kadhaa iliyopita nilisikia ktk vyombo vya habari eti 'wahisani waipongeza TZ na waitaja kama mfano wa kuigwa ktk mapambano dhidi ya...
Nimelazimika kulisema hili ili ndugu zangu tujaribu kuchanganua, leo nilikuwa napita maeneo ya chuo SUA kwa mbali nikaona poster kubwa ina bendera ya taifa ikanivutia sana na nikalazimika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.