Julius Mtatiro ni jembe kwelikweli hili halina ubishi hata John Mnyika anafahamu ukweli huu, ila mpaka leo nashindwa kuelewa kwanini mpambanaji huyu hakujiunga na CHADEMA badala yake akatimkia CUF?
Tanzania's top politicians linked to money-laundering deals
p
It is now appearing that the long dreaded money laundering crime is a big business in Dar es Salaam, with its connections...
WanaJF leo saa 2 usiku kwenye taarifa ya habari TBC1 nimeshangazwa na Mbunge mmoja viti maalum alipokua shuhuda wa tukio la Mbunge wa viti maalum aliyeugua ghafla bungeni mapema leo asbh...
wakuu.
Naomba mwenye data kuhusu vile vijisenti vya chenge maana inawezekana a taarifa "official " zilizotoka zikuzipata vizuri au zote
Inasemekana Chenge alisema vile vijisenti ni vya NGO...
Ombi Langu kwa wabunge wa chama changu, si kila jambo kulipinga swala la Posho (sitting allowance) hakuna sababu ya kulivalia njuga na kulazimisha kulipata,wabunge wanapata Mshahara,posho ya kuwa...
Jibu ni rahisi, Nchi yetu ni mskini kutokana na Viongozi wasio na upeo wakufikiria jinsi ya kutumia rasilimali tulizopewa na Mungu. Mungu ametujaalia kila aina ya resource lakini tumekuwa maskini...
TBC 1. Nimemshuhudia waziri wa Tamisemi Mh Mkuchika akisifia shule za kata kwamba zinatoa elimu bora kuliko shule nyingine kwani ktk matokeo ya kidato cha 4 mwaka jana zimeongoza kutoa wanafunz...
Mbunge wa simanjiro kupitia chama cha ccm bwana ole sendeka ametahadharisha baadhi ya watu wanaomwita mwl Nyerere kuwa ni dikteta kwamba serikari itaweka mkakati wa kuwafuatilia pia amehusisha na...
Mbowe asita kususia posho
Send to a friend
Thursday, 23 June 2011 21:54
0diggsdigg
Kizitto Noya, Dodoma
KIONGOZI wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema licha ya kurejesha...
Great Thinkers naomba tujadili maendeleo CCM iliyotuletea toka ichukue madaraka. Ivi kuna kitu CCM imefanya 'beyond the ordinary'? Ni sera gani CCM imeweza kusimamia kwa nguvu zake zote...
Naangalia mjadala wa Bunge na kuna Mbunge ameomba mwongozo wa spika kuhusu uchangiaji akisema kwamba yeye ni wa 16 kwenye orodha lakini ameitwa mchangiaji wa 20 yeye hajaitwa!! Mwenyekiti ameseema...
Inasikitisha kusikia kauli ya Waziri mwenye dhamana katika mawasiliano, Sayansi na technologia, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa kueleza kuwa Tanzania haina watafiti wenye sifa. Taarifa hii aliitoa...
Jana barabaa ya mwenge pale ITV ulipita msafara wa Makamu wa Rais Bilal...cha kushangaza kulikuwa na matrafik wakizuia magari ili kuupisha msafara na magari yote yalikaa kando. Pikipiki ya ya...
Ubaguzi
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sehemu ya tatu kwenye haki na usawa; kifungu cha 13(2) kinasema:
Ni marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na mamlaka yoyote katika Jamhuri ya...
Na imekuwa kawaida kuwasikia wabunge wa CCM bungeni au nje ya bunge wakisema "tunaishukuru sana serikali yetu sikivu" pale inapotimiza wajibu wake.Pia tunaiomba serikali yetu sikivu ifanye hivi na...
Katika nyakati ninazozifurahia sana kuzitazama ua kuzisikiliza, ni wakati anapoongea mtu aliyesahaulika au mtu anayesubiriwa sana na wengi ili anukuliwe kauli zake, wengi hutegemea zitakuwa na...
Tanzania delegation visits London in pursuit of payment decreed by UK fraud office from BAE over radar equipment sale. The country had earmarked the money to improve education
Tanzania still...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.