Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk. James Wanyancha kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB) kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia Juni 3 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hao wawili walikuwepo Chuo kikuu Mzumbe kwenye mjadala wa Changamoto kuelekea jumuiya ya afrika mashariki, Mzumbe inaonyesha wanamkubali sana Sitta ila alipokusia tu suala la posho kijasho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JE HII NI SERIKALI YA CCM? Ndugu zangu kuna jambo naona tukiliacha liendelee hivi linavyoendelea linaweza kutuletea shida baadae,nalo ni hili la wabunge wa CCM na msemo wao wa Serikali ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana wanaJF, naomba nioneshe msimamo wangu kuwa mimi ni CHADEMA damudamu, lakini kuna mambo mawili nataka niwashirikishe. 1. Wakati naangalia kipindi cha Bunge Juzi jioni niliona namna...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Katika serikali ya kikwete ni rahisi sana kupata haki yako pindi unapodhulumiwa au kunyanyaswa, mimi binafsi nilishawahi kutwangwa barua ya kulipa sh milioni mbili na TANESCO, kisa jamaa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Written by makame silima // 25/06/2011 // Habari // 6 Comments Mbunge wa Chwaka Yahya Kassim Issa(ccm) Saturday, 25 June 2011 09:59 Kizitto Noya, Dodoma HOJA kuhusu Muungano imeibuka upya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wajumbe kwa mujibu wa taharifa zilizonifikia Dr. wilbraod Slaa leo live viwanja vya kampala ndani ya jimbo la ukonga .ukifika gongo la mboto mwisho kuna kiwanja cha kampala karibu na kiwanda...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 24/06/2011 // Vidio // 7 Comments Related PostsVideo:Z’bar inatisha kwa uingiaji na utumiaji wa madawa ya kulevya. Video:Min. Farrakhan’s Full Press Conference...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwanza nianze kwa kusema ninamheshimu sana Waziri mkuu wangu Pinda, ajiitaye mtoto wa mkulima, lakini kwa hili la kutoa hoja dhaifu kuhalalisha posho za vikao naomba kutofautiana naye.Hebu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
HONGERA CDM Si rahisi kutoa hongera yangu kirahisi rahisi. Katika muda huu na nyakati hizi, natuma salamu za Hongera kwa wabunge woote wa CDM Dodoma. Kazi nzuri, hoja nzuri, mmejipanga vizuri...
12 Reactions
102 Replies
10K Views
25th June 2011 Bpe Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo Serikali imesema suala la kuondolewa kwa posho za vikao kwa wabunge linawezekana isipokuwa mchakato ni lazima uanzie katika kamati ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni jambo la kushangaza na kusikitisha kwa watanzani kumpa mtu cheo ambacho akimudu na kusababisha malumbano yasiyo na tija ndani ya chombo cha kutunga sheria. Huyu mwanamke anauwezo...
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Katika pitapita zangu katika kucheck news papers asubuhi ya leo katika mtandao nikakutana na comment hii katika Mwananchi. Naomba kuwasilisha JAMANI JAMANI JAMANI!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!! tuache...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Peples power. Watu wote ambao wamejitambua, kesho tarehe 25.06.2011. Tutakuwa na kikao cha watu wote kutoka ukanda wa Kikuyu. Wanaohitaji kadi za CDM wote mnakaribishwa na mgeni rasimi ni MP Wetu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NASEMA OLE OLE KWANGU NA NCHI YANGU Sina hakika kama kweli ,mimi ndimi kiongozi hasa mchaguliwa wa Wawadanganyika,kama ndiye basi ole wangu na kama siye basi ole wangu zaidi maana yawezekana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anasema serikali isipochukua hatua wananchi wa nzega watafunga mgodi
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Yaani Tanzania ina viongozi vilaza sana embu angalia video hapo chini baada ya habari hii ndipo utajifunza kitu Sakata la kashfa ya uuzaji wa rada kwa Tanzania kutoka kampuni ya Uingereza- BAE...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mbunge wa Vunjo (TLP), Augustine Mrema, ametoa malalamiko bungeni akiitaka serikali kumlipa posho zake za kustaafu cheo cha Naibu Waziri Mkuu alichopewa na Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Siku ya 3 sijatia tonye la maji mwilini, zaidi ya jasho linalonitiririka usiku kucha,kwa sababu viyoyozi ni kitendawili kwani hakuna umeme mitaa ya kwetu. Nikifikiria nguo zangu nlizovaa wiki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe Alipotakiwa na NIPASHE kueleza utaratibu alioutumia kulirejesha gari hilo, Mbowe alisema alifanya kama alivyokabidhiwa awali.Alisema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom