Hee leo nimeona maajabu ya bunge baada ya mh waziri kushindwa kujibu swali la mh Lissu kwa madai eti ni SWALI jipya, kumbe serikali inataka maswali ya zamani tu.
Hili lilikuwa swali la nyongeza...
Baada ya mbunge aliyechakachuliwa, mwenyekiti wa chadema mkoa wa shy na mjumbe wa kamati kuu ya chadema taifa, marehemu shelembi kufariki dunia, leo amepatikana mrithi wake. Mrithi wake ni ndugu...
Malumbano yanayoendelea ndani ya Bunge letu tukufu, serikalini na wananchi juu ya posho za vikao si jambo la kufumbia macho, wabunge, serikali na wananchi kwa pamoja wanahitaji kutolea uvivu...
Wadau
kwa wiki tatu hivi nimekuwa nafutilia kisa cha watu waliokuw wanashambulia mitandao na tovuti ya FBI wakaiba data za kampuni za sony. Kwa jina la kitaalam wanaitwa hackers...
Mwandishi Wetu
Dodoma
22 Jun 2011
Toleo na 191
CCM yataka kubadili aliyoanzisha Samuel Sitta
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu Mkuu wake, Wilson Mukama, kimeanza...
CUF, UDP na TLP wanataka pesa za Dowans. Kwanini Wananchi hawakuachagua Wabunge wengi toka hivi vyama? (Chadema viti = 70) Wananchi walishashtuka na kambi za kupandikiza za CCM na kujiita...
In some of my writings I have alluded to one of the most fiery, provocative and incredibly poignant speech by Nyerere to the Tanzanian educated youth. It is one of the few speeches that remains...
UWEZO WA MAKINDA KULIONGOZA BUNGE NI DOGO SANA NA KWA TAARIFA ZA NDANI INASEMEKANA ALIITWA NA KUPIGWA MKWARA MZITO NA WAKUU WA MAGAMBA NA SASA KUNA TAARIFA KUWA HUENDA WAKAMTOA KITINI SIKU SIO...
Wakati Spika anafunga kikao cha Bunge jioni 22/06/11 amesikika akiwatarifu wabunge wote kuwa wamealikwa kwenye sherehe za kuadhimisha siku ya Taifa la Canada hapo kesho. Kwa maelezo ya Spika ni...
Nyerere alipokuwa kazini ni kazini yaani anapiga kazi kama mzalendo na mwenye uchu wa kuleta mabadiliko , Kikwete yeye ni mtanashati zaidi siwezi kumuita sharobaro maana yeye ni raisi lakini...
Huku ni kwa wale wanaoitetea na kuisapoti ccm tu(kama wanaweza kujitokeza hadharanii!!!). Ni kichaa tu,au anayejifanya chizi anaweza kuchangia huku. Tunahitaji wachangiaji ambao WANATETEA MAMBO...
Nimeurudia kuutazama tena ule mkanda wa "Letter to my Fathers" ili kutafuta nukuu ya alichokisema January Makamba kuhusu "sitting allowance" tarehe 6 Februari, 2011...
"Today we had orientation...
Chadema kama ilivyo vyama vingine vya Siasa inaamini katika maamuzi ya wananchi walio wanyonge kwa maslahi ya wanyonge, kwa hili napenda nikipongeze chama cha Chadema.Japo si kila maamuzi ni...
Niko mbele ya Luninga, namsikia Ndugu Tundulisu akichangia juu ya misamaha ya kodi kwa wawekezaji,nikamuelewa vizuri sana juu ya hoja zake.Akasimama mbunge wangu Ndugu H.A Kigwangala(Said Bagaire)...
Nimesikitishwa na jinsi serikali yetu inavyowababaikia wawekezaji kiasi cha kufikia kuwaua raia wake ili kuwafurahisha wawekezaji wa kigeni. Leo kweny gazeti la Mwananchi kuna habari kuwa...
Bungeni muda huu kuna mvutano mkali kati ya serikali na kamati ya fedha kuhusu kuongeza muda wa uhai wa Consolidated Holding Corporation. Kamati na kambi ya upinzani wanataka CHC wapewe muda mrefu...
Leo Mh. Mbowe ameonyesha njia kwa kuwachapa viongozi wetu bakora kumi alizozituo wakati wa kuchangia mjadala wa bajeti ya fedha na uchumi ya mwaka 2011/2012. bakora hizo alizito kwa nyakati...
kwa mwezi yanazalishwa matofali 38 au 40.
kila tofali lina uzito wa kilo 26.
kulipa mishahara ya wafanyakazi na kodi zote linatumika tofali 1.
barric wanaongoza kwa uzalishaji Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.