Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
katika majumuisho ya bajeti ya wizara ya fedha mhe,Mkullo amekubali kushusha bei ya Diesel na mafuta ya taa,kwa kushusha kodi na tozo.
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Baada ya kikundi cha watu wachache kujitengenezea mfumo wa posho kama mastahili ya kujikimu watu pekee ambao hawapokei posho japo ndio wanafanya kazi kubwa zaidi ni wakulima. a. Mkulima...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
MBUNGE wa Jimbo la Dole, Sylvester Mabumba (CCM), amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuifuta Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa kushindwa kazi na jukumu la kupambana na rushwa na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naibu waziri wa kazi Mheshimiwa Makongoro kaulizwa swali kuwa, kwa kuwa wastaafu wanaishi katika maisha magumu na pengine hufa mapema serikali inaonaje kama itawalipa wastaafu kila mwezi katika...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
By JOACHIM BUWEMBO Posted Sunday, June 19 2011 One of the cruellest things you can do is to offer a shiny new pair of shoes to a guy who lost his feet in a landmine blast. What use is the...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
HOTUBA YA MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI WIZARA YA FEDHA, MHE.CHRISTINA LISSU MUGHWAI (MB) KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA FEDHA, 2011 UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakati wa Nyerere Tanzania haikuwa na utata katika masuala ya siasa za Kimataifa; tulitambua POLISARIO na PLO kama vyama vilivyokuwa vinawakilisha maslahi ya watu wa Western Sahara na Palestina...
1 Reactions
162 Replies
13K Views
Huyu mzee yuko wapi wakubwa
0 Reactions
20 Replies
6K Views
JAJI mstaafu Mark Bomani, amesema wakati wa kujadili Katiba mpya, Watanzania hawataepuka kuzungumzia mfumo wa Rais, awe Rais mtendaji au asiye mtendaji na nani asimamie mamlaka ya utendaji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sio siri kwamba Rais Jakaya Kikwete anapenda sana kusafiri.Kuna vijimikutano vya kimataifa mbavyo kwa hakika visihitaji Tanzania iwakilishwe na Rais na badala yake akaenda Waziri Mkuu au kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NILISHANGAZWA NA MAJIBU YA WAZIRI MKUU PINDA MIZENGO KUHUSU POSHO ZA WABUNGE NA WATUMISHI AKIJIBU SWALI LA POPO KWA HAPO..NAJUA MFUMO WA UONGOZI WA SERIKALI UNAWAAPA NAFASI VIONGOZI WA JUU...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The government should not shy away from making hard decisions on scrapping sitting allowances given to MPs and civil servants to reduce expenditure. This was said yesterday by the leader of...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Sitaisahau Jan, 5 nilipokoswa koswa na Risasi za moto, Mabomu ya machozi na Virungu vya FFU nilipokuwa kwenye Maandamano ya kupinga Uchaguzi batili wa Meya wa Arusha. Sitaisahau pia ile siku...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
sikuwa nimewahi kabla kumuona au kumsikia huyu mbunge..kwa kweli leo amenidhihirishia kuwa cdm ina hazina kubwa sanaa ya viongozi makini ! ujengaji wake wa hoja,pace yake,umakini wake na kujiamini...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Zama za wakoloni kweli walitumia nguvu kazi ya wananchi na rasilimali za nchi kujipatia utajiri mkubwa na matokeo yake leo ulaya hawashikiki kwa kila kitu.utamaduni huo umerudi tanzania na afrika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Written by mwamba // 21/06/2011 // Habari // 2 Comments DAILY NEWS Reporter in Zanzibar, THE 10th amendment of the Zanzibar constitution that led to the creation of Government of National Unity...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika uchaguzi mdogo wa mwenyekiti wa kijiji cha Kabiga tarafa ya msalala wilaya mpya ya nyang`hwale mkoa mpya wa Geita, kufuatia aliyekuwa mweyekiti wa kijiji kuchaguliwa kuwa diwani, umefanyika...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Hii habari nimeikuta gazeti la Mwananchi (21/June/2011). Hapa nahisi kuna kamchezo fulani. Hela za MCC zimetoka USA (alipokuja Bush junior). Symbion ni ya USA (imepata baraka tele...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yaani kwa mtazamo wangu 90% ya waheshimiwa wanapigania kuingia bungeni kwa minajili ya kujipatia/kuboresha maisha yao binafsi, hawana nia ya dhati kulikomboa taifa letu na umasikini uliokithiri...
2 Reactions
1K Replies
84K Views
By In2EastAfrica - Tue Jun 21, 10:07 pm Mukama resigns as TSN Board Chairman President Jakaya Kikwete has accepted the resignation of Mr Wilson Mukama from Chairmanship of Tanzania Standard...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom