Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
hivi nchi hii kuna watu ambao hawapashwi kukosa uwaziri?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wana JM-jana mh huyu alisema kuna hoteli moja imeajili wageni wengi ktk nafasi kadhaa ambazo wazawa wana uwezo na elimu ya kuzifanya.Lakini wazawa hawakuzingatiwa. Nami ningependa kuwaeleza ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
WAKATI mawaziri na manaibu wawaziri wakikabidhiwa magari mapya, baada ya kuapishwa Jumamosi iliyopita, serikali imeibuka na kusema sio mapya ni ya zamani. Kauli hiyo inaibua utata kutokana na...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Chama kilichojiita eti cha demokrasia na maendeleo, kimebainika kuwa hakina demokrasia yoyote. Kwenye maandamano ya Arusha walishawishi watu kuingia mtaani kusaka haki zao (mimi sikuenda kazini...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
I have been doing some little studying: In the US Average Senator or Rep in the US Congress receive about 174,000USD a year Average Secondary school teacher receives around 56,000USD a year. The...
8 Reactions
68 Replies
6K Views
* Msaada huyu ni Mke wa Gharib Bilal? Makamu wa Rais Tanzania? Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Fatma Gharib Bilal, kuwa Katibu Mkuu wa...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
GreatThinkers, Good news Ninapenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisheni ya kuwa CHADEMA imeshinda ktk uchaguzi wa Serikali ya kijiji cha KABIGA kata ya KAKOLA Jimbo la Nyang’wale wilaya ya Geita...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Hi all, kila wakati nimekuwa nikitafakari dynamics za politics hapa Tanzania na nimegundua kuwa Mungu nio mwema.. nikatafakari modalities za umafia wa siasa zinazotumiwa na CCM kuendelea kushika...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Asalaaam aleykum wanajf,wanajf naombeni kueleweshwa kwenye hili,nimekuwa nikifuatilia wabunge we2 wakichangia 'bajeti ya Mkulo'(maana si ya wananchi) hasa wabunge wa CCM eti wanaikosoa bajeti na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wanajf, napenda kuwataarifu ya kwamba, kesho kutakuwa na maandamano yaliyoandaliwa na chadema mkoani shinyanga. Maandamano hayo ni kwa ajili ya kupinga ongezeko kubwa la bei ya maji...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kila mara bajeti ya tz inaposomwa kwa miaka kadhaa sasa kodi( bei) za soda, bia na vilevi vingine houngezwa, nimekaa na kugundua kuwa ni wanawake na watoto wanaoumia coz kama mtu ni mlevi hakuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana katika kikao cha bunge jioni Mbunge wa korogwe Prof. Maji marefu alisema anayo majina ya wabunge wanaosign na kuchukua posho kutoka mashirika mengine na wakifika bungeni wanadai hawataki...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
wakati wa kuanza kupiga kura kwa ajili ya kupitisha bajeti mrema wa tlp alitoka nje ya ukumbi na hiyo ilikuwa ina ashiria yafuatayo. 1. Aliogopa kupiga kura ya ndiyo kuiunga ccm mkono kwa kuogopa...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Surely, its disgusting seing this mzee giving contribution in the parliament. What the hell do you wanna try to tell Tanzanians, WE HATE YOU, You are among the person who played a massive role...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Wadau kile kitabu cha mpiganaji mmekiona? jamaa zile tetesi za ccj sasa humu ndio ameeleza kila kitu namna Sita.Mwakiyembe.Nape.Makonda walivyoshiriki kuasisi ccj na baadae wakawakana wenzao kwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Jamani ninaomba mtu mwenye uhakika juu ya kuwa either chadema wanafadhiliwa na wafadhili toka nje au la atujuze.mana hi ni hatari
0 Reactions
43 Replies
6K Views
The Heart of Africa. Interview with Julius Nyerere on Anti-Colonialism New Internationalist Magazine, issue 309 | January-February 1999 The first issue of The Internationalist in 1970 had as...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna kitu kinaniumiza kichwa sana, nimejaribu kunywa maji na kumeza dawa imeshindikana, nauliza tu; kama nikikuudhi nisamehe; Eti ile kauli mbiu ya mwaka huu ya akina Magamba inayoenda kwa "Ari...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo jimbo la ukonga, kimetekeleza kwa vitendo sera yake ya kutaka viongozi wa umma wawe na uadilifu usiotiliwa shaka na jamii wanayoiongoza. Ktk kutekeleza hilo kwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Enyi Wabunge wa CCM, hivi hamjui kwamba mnachezewa kete ya hatari na Chadema ili mbele ya macho ya Watanzania muonekane kwamba hamna maana! Siku mtakapokuja kustuka itakuwa too late...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom