Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
WAKATI Wizara ya Maliasili na Utalii ikihaha kuwabeba Wazungu kwenye ugawaji vitalu vya uwindaji wa kitalii, suala hilo sasa limeelekezwa kwa Waziri Mkuu na wabunge ili waweze kuihoji Serikali juu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Je, ulifahamu ya kuwa katika kutafuta jina la kuziunganisha nchi hizi majina kama vile Tanganzanziyikabar na Tangibar yalipendekezwa? Ikiwa ulifahamu ama la, soma taarifa zifuatazo ujikumbushe...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kikwete kuporomoka umaarufu kutoka kuaminiwa na wapigakura 85% mpaka 61% tena kwa kuchakachua. Dr. Slaa kushindwa uchaguzi kwa njia za mizengwe na kujizuia (kwa hekima) kuhamasisha vurugu licha ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Bajeti imepita na wabunge 81 wameipinga dhidi ya 234 kwa hesabu ya harakaharaka wabunge karibu wote wa upinzani wameungana kuipinga, hongera wabunge wetu naona huo ni mwanzo wa ushirikiano kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Msimamo kati ya familia mbili maarufu katika historia ya taifa hili umekuwa tofauti ndani ya bunge la bajeti, baada ya Mh. Leticia Nyerere kupiga kura ya 'Hapana' huku binti wa marehemu Sokoine...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Anaanza naibu waziri wa fedha kujibu hoja za wabunge.
0 Reactions
52 Replies
4K Views
AKIHOJIWA NA GAZETI LA RAIA MWEMA LA JUNI 9-JUNE 14,2011. LISU ALISEMA; ".................nilikuwa mwana ccm wakati ule wa chama kimoja usingeweza kuingia chuo bila kujiunga na chama.mara baada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana ktk Ukumbi wa Bajeti huko Mbezi katika Sherehe za Harusi Mh. G. Lema alifanya kitu ambacho ni nadra kufanywa ktk tasnia ya Siasa pale alipowakaribisha waalikwa wa harusi kujiunga na CHADEMA...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Siku 90 zilizo tangazwa CCM chama kinacho tawala nchini TZ kupia kwa katibu wa uenezi wa CCM zitaishia aidha ni; Siku ambayo mapacha 3 wataachia zote ndani ya CCM. Siku ambayo CCM itajinasibu...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Kuna viongozi walikuwepo Washington DC kutoka serikali ya JK kuomba Tanzania itolewe kwenye Black List ya madini ya USA. Congress iliweka hii list kwasababu madini mengi ya Diamond kutoka Congo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Monday, 20 June 2011 19:22 newsroom NA SHAABAN MDOE, ARUSHA SAKATA la Meya wa Jiji la Arusha, limefikia tamati baada ya CHADEMA kutangaza kumtambua rasmi Meya wa Jiji hilo, Gaudance Lyimo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani dodoma kuna nini??katikati ya nchi, kama tulivyofundishwa tangu tupo skuli kwamba ndiyo makao makuu ya nji hii njema. Tuliambiwa na kuaminishwa kuwa hii ndiyo makao makuu ya nchi na wizara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa kuwa pm anatetea posho, nawaomba wabunge wa chadema muwashe moto zaidi. pm ana nyumba dodoma amepewa na serikali na akiwa hapo yupo nyumbani. je analipwa per diem ya nini wakati hiyo ni posho...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Miaka kadhaa iliyopita serikali ya CCM iliaamua kuhamishia Makao Makuu ya Serikali Kutoka DAR ES SALAAM na kuhamia DODOMA! Uamuzi huo ulifuatwa na hataua za utekelezaji, ikiwemo kujenga Ofisi za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamvi mjadala. tuchangie bila kuweka ushabiki wa vyama Kuna PM (FS) aliijaribu kuwkeza tanzania lakini matokeo yake mambo tuliyosoma kwenye vyombo vya habari yalikuwa ni ngetive zaidi kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyota njema uonekana asubuhi na kijiji cha KABIGA mkoani Geita kimeshaanza kuwasha taa za kuelekea 2015 kwa kuibwaga CCM ktk uchaguzi huo na kuichagua chadema. SASA chadema inabidi muanze...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kweli maneno ya mboye kwamba watu wamekuwa wanalipana posho kwa semina ambazo wanaelewa kila kitu. Utashangaa semina za ukimwi au hata magonjwa mengine ni nyingi saana na kila kukicha...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama ningeambiwa nikamate machangudoa lazima ningeaza na ccm. Maana maazimio yao huwa hayafanani na walivyo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuropoka kumetuathiri CCM-Guninita Na Anneth Kagenda CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, kimesema wamepata madhara makubwa kutokana na baadhi yao kuropoka na kutoa siri za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. CUF – TUNAIPONGEZA CHADEMA KWA KUKUBALI KUUNDA SERIKALI YA PAMOJA – ARUSHA” Imetolewa na Mhe. Julius MtatiroNaibu Katibu Mkuu - Bara Juni 21, 2011 CUF – Chama Cha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom