SIKU moja baada ya viongozi wa dini kumpa saa 48 Rais Jakaya Kikwete kuwataja kwa majina ya baadhi yao wanaojihusisha na biashara ya dawa za
kulevya, Ikulu imeshindwa kutaja majina hayo, badala...
'Mkuki mtamu kwa nguruwe,ila mchungu kwa binadamu'. si kila siku tunasikia viongozi wetu wa dini tena kwa maono wanakemea na kusema baadhi ya viongozi wa nchi ni wala rushwa/mafisadi? Kwa nafasi...
Hivi karibuni Rais wetu aliwakemea viongozi wa dini kuhusu kuacha biashara ya madawa ya kulevya.
Kama ni kweli kuna viongozi wa dini wanauza madawa ya kulevya, unadhani njia gani ni sahihi kwa...
FROM: Facebook: by William Malecela on Sunday, June 19, 2011 at 8:19am
@ NEW YORK: Hatimaye nimepata nafasi ya kuisoma bajeti nzima ya serikali kwa mwaka 2011/2012, na kwa kweli ninasikitishwa...
HOTUBA YA KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI LEO IMEJAA UZALENDO NA UTAIFA WA KWELI,IMENIPA MACHUNGU NA UWEZO WA KUFIKIRIA ZAIDI NATAMANI WATANZANIA TUUNGANE KWA PAMOJA TUNAWEZA KUMUONDOA MDUDU ccm...
@ Facebook: by William Malecela on Wednesday, June 15, 2011 at 10:57pm
@ NEW YORK CITY - USA: Ujira wa Wabunge wetu wanapokuwa bungeni kutuwakilisha wananchi, je ni mkubwa sana kuliko uwezo...
Dear wananjamvi
naandika message hii kwa uchungu na pia kwa matumaini...kama mtanzania, na mpenda maendeleo nimekuwa mwenye masikitiko sana kugundua kumbe busara za mwenyekiti wetu Freeman Mbowe...
kasumba ya kuajiri wageni hasa kutoka kenya naomba iangaliwe kwa makini,
tukumbuke tuna wasomi wanagraduate kila mwaka,kama muungano wa africa mashariki unakuja na hasara
kwa watanzania kiasi hiki...
Sifa kubwa ya kiongozi anayeweza kuleta mabadiliko makubwa katika jamii yoyote ile ni kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi magumu katika kuhakikisha dira, malengo na majukumu anayoamini yanateklezwa...
Nawawekea taarifa ya Press Conference ya Mhe.Lissu leo kuhusiana na sakata la mauaji ya polisi Tarime....
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
Simu Na. 026 2322761-5
Fax Na...
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari kupitia Ch10, nikamuona waziri mkuu wetu Pinda eti anaiomba ofisi ya CAG itoe mapendekezo ya namna ya kuwabana wanaofuja pesa za serikali.
Hiki nimeona ni...
Muafaka ndo hivyo umepatikana ni hatua moja mbele..bt je unadhan ni nini hatma ya ripot alotoa lema kwa spika wa bunge na ikizingatiwa mpaka leo maamuz hayajatolewa km ni pinda au lema ndo...
Wapi yule mama alikua anavunja manyumba na matingatinga usiku- Aligusa pasipo penyewe?
Wapi ile spidi ya magufuli, Nakumbuka karibu kila wiki tulikua tunapata tamko kutoka kwake kuhusu mipango...
Wadau Salam.Naomba mawazo yenu wakuu. Muafaka uliofikiwa kati ya CDM na CCM Arusha Unaweza kufananishwa na makubaliano yaliyofikiwa Zanzibar kati ya CCM na CUF?
Matokeo ya huu Muafaka si...
Nimekuwa nikijiuliza kuhusu maamuzi ndani ya Bunge ambapo maamuzi mengi hutolewa kwa kuuliza walioafiki wanasema ndiyo na wasioafiki wanasema hapana. Kiongozi wa shughuli za bunge wakati huo...
Foleni za magari Dar miezi minane iliyopita linazidi kukua siku hadi siku hadi katika barabara za vunji na hata usiku. Je tutarajie ufumbuzi wa tatizo katika bajeti hii?
Kwa miaka takribani 47 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna malalamiko mengi juu ya muungano wenyewe ingawa wana ccm wenyewe wanakaa kwamba hakuna matatizo. Swali langu ni, kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.