Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
My partners and I are soon to launch a series of focus group meetings and workshops in Tanzania that aim to Raise Awareness Among Youths on how they can demand and make the new constitution become...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda, amesema ameanza kupokea ujumbe mfupi wa simu kutoka kwa wananchi wakieleza kutoridhishwa na mwenendo wa Bunge hilo. Akitoa matangazo mara baada ya kipindi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Africa - the most violent and lazy continent on earth. | Facebook
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mhe. Waziri Mkuu Peter Mizengo Pinda, Tunaomba kuanza kwa kukupa pole kwa majukumu mazito uliyo nayo katika ujenzi wa taifa letu. Pia tunakupongeza kwa uimara na ushupavu wako katika kusimamia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba ridhaa yenu ndugu watanzania,niwawakilishe mjengoni kwa miaka mitano kuanzia 2020-'25 kupitia jimbo la Nkenge,Kagera. Thn nitakua sawia kuwataka ridhaa yenu kuongoza nchi mwaka 2025-.. Roho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamii mnafahamu kuwa wabungwe hulipwa posho ya petrol kwa sh 2,500 per litre? Hebu tuone wabunge wetu wapiganaji watazipokea kimya kimya au
0 Reactions
63 Replies
5K Views
RAIS Jakaya Kikwete amesema ukuaji wa kasi wa uchumi na maendeleo katika Bara la Afrika unakwamishwa na ukosefu wa fedha za kutosha za kugharimia miradi ya maendeleo. Kwa mujibu wa taarifa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Nashindwa kutambua kama ikitokea mwaka 2015 wamechukua nchi kwenye uchaguzi huo, je wana uwezo kiasi gani wa kuongoza taifa hili masikini la kizazi kilichokata tamaa na kupoteza uelekeo. maswali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hivi akitokea mbunge aliyeruhusiwa kuchangia hoja au kuuliza swali la nyongeza halafu akasimama na kusema sentensi ifuatayo bungeni kisha kukaa kitini au kutoka nje ya bunge baada ya kuisema...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
bunge la tanzania linautofauti mkubwa sana na mabunge mengine ya africa mashariki kama ifutavyo. 1. kupongezana- bunge la tanzania ndo pekee linaongoza kwa kupongezana mabunge mengine wao ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Meya Arusha urudiwe. Kama CCM wanang'angania Mary Chitanda apige kura, basi na CHADEMA wamlete mbunge wao kama KOMU au Christina
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Namsikia hapa anatetea msafara wa Pinda kuwa na magari 50, kwani hata yeye akienda kijijini anapokelewa na pikipiki 50 na baiskeli 80. Anaendelea kusisitiza kwamba wananchi waendelee kujitokeza...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wasomi wengi sasa wapo katika Siasa za Tanzania,Matajiri pia,na nguvu kisiasa hutegemea uwezo wa mhusika.Je Siasa za Tanzania zimejikita kwa Watu wa aina hiyo?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kupitia Twitter Zitto leo alonga: Mijadala ya Bajeti haina mwelekeo kabisa. Nashangaa nipo vipi humu ndani.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wengi wetu tuta kubaliana kwamba Chadema wamejitahidi mno kama Chama kuonyesha nini Mtanania anahitaji . Pia Chadema wamekuwa wabunifu muda wote na CCM wanafuata . Zaidi ya yote Chadema wana...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri katka hotuba yake ya bajeti alisema kuna siku moja mishahara ya wafanyakazi italipwa nayo haijulikani kama kuja kwa yesu vile.Tujibu maswali yafuatayo. 1.Kama uko safarini itakuwaje...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimejikuta sina raha! Yawezekana video hii ulishaiona ktk forum hii, binafsi sijawahi. Asante wana Toronto. Wale ambao hawajawahi kuiangalia, ipe nafasi; bofya:
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Nashindwa kutambua kama ikitokea mwaka 2015 wamechukua nchi kwenye uchaguzi huo, je wana uwezo kiasi gani wa kuongoza taifa hili masikini la kizazi kilichokata tamaa na kupoteza uelekeo. maswali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NI AIBU TENA UKIWA TUNA RASILIMALI NYINGI LAKINI TU MASKINI WAKUTUPWA TUNANYANYASWA NA WAWEKEZAJI KWA MFANO KATIKA SEKTA YA MADINI WANACHAFUA MAZINGIRA WAUA WATU KAMA NYAMONGO, NA MENGINE MENGE...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Now we should address the circumstances which failed us as a Nation .There is no better time to tell ourselves the home truth than now. To say most Tanzanians have given up totally on any hope for...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom