Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia haka kamradi cha Food Aid Counterpart waliopo pale lumumba street kunaonekana kunaufisadi wa kutisha.
Mradi huu upo katikati ya wizara ya fedha, kilimo na...
Nakaaya Sumari amerudisha kadi ya Chadema jioni ya leo na kumkabidhi JK kwenye mkutano wake ulio fanyika leo mkoani Arusha, JK amempongeza sana kwa kitendo hicho na kumwambia karibu mama CCM...
Ni kweli hata wabunge wa viti maalumu wa chadema wanachngia point kuliko wabunge wa viti maalumu wa CCM kama akina ESTER wanachangia kusifia tu. Wabunge wa CDM hongereni endelezeni mapambano...
Wanasheria na watetezi wa haki za Binadamu kutoka Canada, wanajitayarisha kuishtaki Barrick Gold katika mahaka ya kimataifa ya haki za kibinadamu kutokana na matendo ya kinyama ya shirika hilo...
kabla ya kifo chake mwalimu nyerere alipata kuamka baadahi ya mamabo ambayo hivi sasa ynajitokeza wazi wazi mathalani:-
1) wakati wote wa maisha yake mwalimu nyerere alisistiza kuhus umuhimu wa...
i
Neville Meena, Dodoma
BARAZA la mawaziri kivuli lililo na wabunge kutoka Chadema pekee, huenda likavunjwa na kuundwa jipya litakalojumuisha wabunge wa vyama vingine vya...
Naomba wabunge wasiingiliwe wakati wanawasilisha michango yao ktk vikao vya bunge vinavyoendelea huko bungeni. Sipika kama hawezi kusimamia bunge na anataka kuwa waziri aachie nafasi wengine na...
Tanzania ina rasilimali nyingi ( mf. Wanyama, misitu, samaki na madini) ambazo imezawadiwa na Mungu kwa manufaa ya wananchi wote. Tumekuwa tukizitunza rasiilimali hizi miaka mingi. Miaka ya...
Mapokeo ya Umma kwa Mijadala Bungeni Wiki Hii LIVE on Star TV this Morning Hatukuweza kuipost mada hii kutokana na kuwepo mijadala kama hiyo ikiendelea katika thread nyingi kama zilivyokuwa...
YouTube - ‪Toronto Tanzania Solidarity‬‏
Angalia hiyo Website inaonyesha uonevu unaofanywa na Barrick kwenye migodi na jinsi wa Canada walivyoandamana kulaani mauwaji na uonevu...
Mada hii itajadiliwa Jumapili 06 June 2011 kuanzia saa 1 na dk 30 asubuhi Star TV. Baada ya kimya kirefu na majukumu mengine ya Kiofisi tutakuwepo wiki hii kuwezesha mjadala pamoja na Watanzania...
Leo majira ya mchana tukiwa News room kuna taarifa ambayo imeandikwa na imesambazwa kwa wahariri ikiwa na lengo la kuwachafua wabunge wa CHADEMA kesho kuhusiana na posho.
Taarifa hiyo imetolewa...
Hatari ya vurugu inatoka kwa watawala, Slaa asiwape kisingizio
Jenerali Ulimwengu Juni 8, 2011
KATIKA kipindi hiki tunapoikazania Serikali ya Rais Jakaya Kikwete isifanye mchezo na suala la...
Hali halisi North Mara, yaani uchafu unaofanywa na barrick ni Sababu tosha serikali dhalimu ya CCM na mafisadi wake kung'olewa madarakani. Nguvu ya umma ndio dawa pekee ya kulikomboa taifa letu...
ast Updated on Saturday, 18 June
2011 09:12 Comments 12345 0 #63 ahmed 2011-06-18 16:09 Nini sifa ya kuwa mwanasiasa? Je
MAFISADI wanasifa ya kuwa
wanasiasa? Kikao cha Bunge
kilichopita Mh...
Kwa udhaifu wanaouonyesha wabunge wa chama cha magamba hakika, wasitarajie kurudi tena mjengoni, nalileta hili kwa wale wote wanaopenda kuwawakilisha wapiga kura majimboni mwao wanakotoka, tiketi...
Approximately 70 people on June 9, 2011 gathered outside the University of Toronto's Munk School of Global Affairs for a commemoration held for the seven individuals killed in Tanzania at African...
17 Jun 2011 | Ref. 110
BAE Systems today announces the formation of an advisory board on Tanzania.
The Board will be chaired by Lord Cairns. Philippa Foster Back, OBE will serve as Deputy...
Hivi karibuni Msanii Nakaaya Sumari aliamua kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kwa lengo la kufanya siasa.Pamoja nakujiunga na chama hicho lakini Nakaaya anatarajia kugombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.