Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mmoja wa Wenyeviti wa Bunge Mh. Jenista Mhagama amemtaka Mbunge wa Iringa mjini Mh. Mchungaji Peter Msigwa kuwasilisha kwa maandishi madai yake kuwa serikali ya CCM imepiga na kuuwa watu. Mambo...
3 Reactions
102 Replies
10K Views
Jengo la ofisi ya Mwalimu Nyerere Foundation lililokuwa karibu na chuo cha IFM lilibomolewa kwa ajili ya matengenezo/ujenzi wa jengo jipya. Eneo lilizungushiwa hadi mabati, but hivi karibuni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Utamaduni huwa chanzo cha falsafa. Mfano, falsafa ya ujamaa na kujitegemea ya tanzania ilitokana na tamaduni za kibantu za usawa, haki, ushirikiano, undugu, na upendo. Na kwa uchache ikachukua...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanajamvi, Jana nilikuta mabishano makao makuu ya chadema. Wengi wao ni wajumbe wa Baraza kuu ambao wanaamua hatma ya mgombea urais wa chadema 2015. Wanasema Rais ajaye atatoka chadema. Lakini...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
  • Closed
African jitters over blogs and social media By Karen Allen Southern Africa correspondent, BBC News African governments are turning to more sophisticated techniques to block internet sites and...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
Mh. Edward Lowassa, Andrew Chenge na Rostam Aziz, sikilizeni ushauri wangu. Inawezekana mmeshapata ushauri mwingi na toka kwa watu mbali mbali. Mimi ninawashauri hivi, (kwa kuwa naamini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ishu ya mgogoro baina ya wawekezaji wa mgodi wa Tarime na wakazi wa Nyamongo (mauaji ya polisi dhidi ya raia wasio na hatia) imechukua sura mpya baada ya vigogo kadhaa toka wizarani kuitwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
na Sitta Tumma, Musoma MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Musoma Mjini mkoani Mara na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Vedastus Mathayo, ametoa siri ya kushindwa kwake...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Si dhambi kukubali, kupongeza na wakati mwingine kuendelea kuchanga mawazo ya kuendelea kuboresha katika maeneo ambayo kimsingi yanatoa mashiko katika eneo zima la uchangiaji wa Hoja Bungeni kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sasa umepita tangu mh. lema kuambiwa* atoe taarifa ushaidi kwamba waziri mkuu wa tanzania amesema uongo lakini *mpaka leo hatouni kinachoendelea./ leo tena mch.msigwa anaambiwa alete...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nina hofu kubwa kwamba huko tuendako (si miaka mingi) Tanzania, hasa huku Tanganyika, amani itatoweka kabisa na watu wengi zaidi watapoteza maisha kwa sababu tu ama CCM haina uongozi au viongozi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, ni dhahiri kuwa Mh Makinda ameshindwa kuendesha bunge kwa Misingi ya Haki, ama kwa kutojua au kwa maslahi ya kundi flani. Mienendo ya spika kuwakingika kifua Mawaziri na watendaji wakuu wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Allowances: Ex-German president warns govt Wednesday, 15 June 2011 23:46 By Polycarp Machira The Citizen Reporter Dar es Salaam. The debate on allowances paid to civil servants took a...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia Bunge kwa siku hizi mfululizo lakini nikagundua kwamba pale anaposimama mpinzani kutoa mchango wake wabunge wa ccm wamekuwa watitulia kama vile wanaangalia cinema mpya ambayo...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa wale ambao tumekuwa tukifuatilia mjadala wa Bunge asubuhi hii mtakubaliana na mimi kwamba Lukuvi ni tabularaza wa kujitakia kwa kutoweza kuielewa mchango wa mchungaji Msigwa(mbunge CDM Iringa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Anasema mchango wa sekta ya madini kwa pato la serikali ni asilimia Tatu!, na bado hatujifunzi. Tunaendelea kuwapa misamaha ya kodi
0 Reactions
29 Replies
4K Views
BAJETI MBADALA YA KAMBI YA UPINZANI NI UTHIBITISHO WA UONGO WA CHADEMA 1.0 UTANGULIZI: Leo tarehe 15/06/2011 kambi ya upinzani bungeni ambayo inaundwa na chama cha CHADEMA kupitia waziri...
0 Reactions
336 Replies
27K Views
http://www.sonyclassics.com/insidejob/_pdf/InsideJob_StudyGuide.pdf
0 Reactions
0 Replies
853 Views
mimi siyo muongeaji sana. nadhani swali limeeleweka. naomba mwenye kujua sababu atujuze
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kikao kengine cha Bunge la kumi, hiki kikiwa ni kikao cha kupitisha Bajeti ya Taifa letu. Mijadala kwenye Bunge inaonekana kupamba moto sana, Wabunge wa CCM wakionekana kuunga Mkono kwa asilia...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom