Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
What enticed me kuja na topic hii ni kwamba kimsingi nakubaliana na hoja iliyoibulia na Mheshimiwa Zitto na baadae kuungwa mkono na Mheshimiwa January juu ya posho kuwa mzigo kwa taifa, mlipa kodi...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Written by makame silima // 18/06/2011 // Habari, Vidio // 3 Comments Juu ya jitihada za Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Shariff kufungua nyumba za wenye kuwasha kutumia Drug...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hivi unaweza ukawa na kauli iliyoenea nchi nzima mfano "KILIMO KWANZA" halafu budget inapangwa 3.4% ya budget nzima ktk kilimo,we kama mtanzania walionaje hili..................?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wale mnaofatilia maswala ya kisiasa, nadhani mmejiuliza ni kwanini kijana February Ma-ropes amekuwa kimbelembele sana, yaani amekuwa kama ndiye waziri wa nishati?? Amekuwa akijifanya...
2 Reactions
58 Replies
6K Views
kuna thread ilikuja hapa siku chache zilizopita ikisema rais kikwete amewahamisha watoto wake kutoka arusha walikokuwa wakisoma na kuwapeleka kusikojulikana, najua ni haki ya mzazi kuwapeleka...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa wataalamu wa Sheria na maswala ya bunge na , ningependa kujua kamati hii ina powers zipi, pia muundo wake ukoje, je kama ikithibitika kuwa Spika anakwenda kinyume na utaratibu ni hatua gani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi nashindwa kuelewa huu ni utamaduni gani ambao wanasiasa wamejiwekea, wa kunywa maji wakati wakitoa hotuba mbalimbali, mimi naweza kuwa nyuma na wala sina sayansi iliyopo lakini msingi wake...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Jana Waziri mkuu Pinda alisema posho ni halali kwa vile zipo kisheria. You might be right, but there are good and bad laws!!! Sheria ipo lakini ni sheria mbaya kwa vile inahalalisha WIZI wa fedha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sikwamba tu unapokwenda sheli kutiliwa mafuta kila katika litres 5 basi mbili upepo, hii nikutokana na utalamu wa wizi wa kuseti machine jinsi ya kupumpu. mimi binafsi nimemchudia fundi wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukitaka kujua uchafu wa manispaa unatokea wapai nenda kwenye nyumba za wakurugenzi namabosi wao\ ni kinyaa sasa ukitaka kujua wanavyofurahia uchafu nenda kawe shuka kituo cha mayfair ruka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni mwezi mzima sasa tangu kelele za kuchagua uongozi mpya wa african national congress, julius malema ambaye amekuwa akishutumiwa na wazungu kwa kuimba nyimbo za ukombozi zilizoimbwa miaka ile ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mh. Edward Lowassa, Andrew Chenge na Rostam Aziz, sikilizeni ushauri wangu. Inawezekana mmeshapata ushauri mwingi na toka kwa watu mbali mbali. Mimi ninawashauri hivi, (kwa kuwa naamini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Fedha za EPA kwenda Kagoda inasemwa ndizo zilimwezesha JK na ccm kushinda uchaguzi wa mwaka 2005 na kwa sehemu fedha hizo hizo (mtaji huo huo) umewarejesha JK na ccm madarakani katika uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika siku za karibuni tumekua tukishuhudia kelele majukwaani ,katika vyombo vya habari na kila kona jitihada za chama tawala CCM kujivua magamba.Pomoja na kuonekana wazi ya kua jitihada hizi za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Madudu ya vigogo hadharani • Viongozi wa wizara wadaiwa kupora mradi na Ratifa Baranyikwa SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete, kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara, imeingizwa katika mvutano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa ninjiuliza maswali mengi mojawapo likiwa ni kwanini shahada ya heshima ya udakatari ya rais wetu JM Kikwete inapembejewa sana. Ikizingatiwa kuwa hata viongozi waliopita kama Mwalimu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wabunge wachafua hali ya hewa bungeni Friday, 17 June 2011 22:27 Waandishi Wetu Mwananchi BAADHI ya wabunge wameendelea kuwa mwiba mkali kwa Serikali katika Mkutano wa Nne...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau najiuliza hivi zile ahadi za JK za kununua Meli na kuifanya Tanga jiji la Viwanda zimo kwenye bajeti hii. Maana Nape anapouliza ama kusema CDM wamewadanganya wananchi ameasahau mara hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania remains an Olympian when it comes to the pattern of violence that has dominated many parts of Sub Saharan Africa since the end of colonialism. In spite of the existence of several...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mandamano yaliyofanywa kanda ya ziwa na kisha kuhamia nyanda za juu kusini ni pigo kubwa kwa CCeM, kila unapoweza kupita katika maeneo hayo watu kwa takribani asilimia 80 wanazungumzia chama pekee...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom