Chama cha magamba kwa sasa kimepoteza mvuto kwa wananchi hasa vijana. Hili halina ubishi na limeshasemwa mara nyingi. Tathmini yangu ni kwamba, ifikapo 2020, chama hiki hakitakuwepo tena au...
Waraka wangu kwa Wabunge CHADEMAIkiwa leo ni Ijumaa ya 17 Juni 2011 tayari siku 9 za bunge la Bajeti zimekwishaondoka huku dhahiri kambi ya wabunge wa CDM haijakaa imara katika kutetea hoja zao...
RAIS mstaafu wa UJERUMANI Hosrt Kohler atakutana na viongozi wa kitaifa wa CHADEMA mjini Arusha siku ya Ijumaa tarehe 17 Juni 2011.
Taarifa zaidi ya kikao hicho tutawaletea baadae.
source...
The basic principal of survival is adaptation. What do you have to adapt to? Change? Can you avoid change? If you ask anyone they will tell you change is constant. The reason we humans have...
Habari ya leo wana JF wenzangu, najua kwa sasa macho yote ya watz yapo kwenye suala la posho na tumesahau kabisa kuhusu mkwara aliowachimba DK. Slaa na Mch. Mtikila, ninachojiuliza ni mbona alitoa...
Leo ni Alhamisi dk 30 zijazo tutamshuhudia waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda akijibu maswali ya Papo kwa papo kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya...
Salaam,
Posho za Vikao zinapingwa kwa sababu zinakataa mantiki- Mbunge kutokana na nafasi yake ni wazi atahudhuria vikao mbalimbali vinavyoendana na majukumu yake hivyo kumlipa posho kwa...
CDM na vyama vingine vya upinzani nashauri muwekeze sehemu kubwa ya mlichonacho kwenye hili la BALALI.. For sure it can be the last touch to win this Game of finishing CCM kwenye fikra za watz...
Kwa jinsi bunge linvyoendeshwa na kitendo cha spika kuwanyima nafasi wabunge wa upinzani kujieleza kinazidi kuwafanya watanzania kuendelea kuichukia serikali ya ccm.
ccm itakufa na haitafufuka kamwe.
Hodi wanaJF! Naomba kujuzwa na wanaojua. Hivi EL, RA na Chenge wanahuduria vikao vya bunge vinavyoendelea? Nauliza kwa sababu wameandamwa sana na chama chao. Kama wanahuhuduria basi ni majasiri...
Mama mkongwe kwenye kile chama cha magambaza ameshindwa kujizuia tbc muda sio mrefu na kuanza kummiminia jj mnyika sifa kibao na kumuambia wazi kuwa anamuombea mungu jj arudi bungeni 2015 na...
14 June 2011
Dodoma The minister for Defence and National Service, Dr Hussein Mwinyi, has refuted reports that Zanzibaris are subjected to rigorous health screening when applying to join the...
Ripoti hii ina mambo yake na ina hoja zake. Kama nilivyoahidi, baada ya hii ni sabbatical ya muda mrefu kupumzika (details in the report). Enjoy na tuwashukuru wale wote ambao wameweka mikononi...
Lissu aibua bungeni mauaji ya Nyamongo
NA WAANDISHI WETU
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, (Chadema)
Spika wa Bunge Anne Makinda, ametaka Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu...
Wednesday, June 15, 2011
Na Deodatus Balile
INANIWIA vigumu jinsi ya kuanza makala hii, kwani safu hii imekuwa na utaratibu wa kuja na kupotea. Inapotea si kwa nia mbaya, bali kutokana na mbanano...
Dah wana JF mmemcheck Jenista Muhagama alivyoliongoza Bunge leo japokuwa U-CCM ulimwathiri wakati akiliongoza Bunge leo toka asubuhi lakini ameonekana imara na kujiamini kuliko Mama Makinda?
Mambo yanavyoendeshwa hapa tanzania ni kama vile kubadilishana kipande cha chupa kwa kipande cha almasi.fikiria uwanja wa ndege kama kia unakodishwa kwa usd 1000.mrahaba unaotokana na madini...
Kama kuna mtu ana report (zote au mojawapo) kati ya ile Waziri Masha juu ya madini na ile ya tume ya Nyalali ya mwaka 1991 nitashukuru sana kama atatutupia pande hii.
I have been googling it up...
Hili Baraza la maadili nashindwa kuelewa utendaji wake upo vipi? Kuna haja gani ya kutumia resources nyingi kuwaita watu na kuwahoji? wanashindwa vipi kuwapigia simu? kwanini kurudisha form inakua...
Wdau embu nisaidieni kwenye red (from Wikipedia)
The Tanzanian national anthem is Mungu Ibariki Africa (God Bless Africa), composed by South African composer Enock Sontonga in 1897. The tune...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.